sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,673
Baada ya hukumu ya pingamizi la Zzk kutosomwa jana kuaahirishwa mpaka leo saa nane mchana, hali ya taharuki kutokaana na matokeo ya hukumu hiyo imetanda, yamkini hukumu hiyo haikusomwa jana kw sababu ya tamko la mwanasheria wa CDM kuhusu uwepo wa Zitto CDM ni kw sababu ya kimahakama,kw hiyo mahakama inatambua impact ya maamuzi yaake leo.
Nimepita manzese nimepita buguruni, sasa tupo temeke mwisho tunatoka kuelekea mwembe yanga (sio viwanjani), yapo magari, na mapikipiki yamechomekeza bendera za chadema (wanasema wao ni wanachama,wanakuja H.C na kadi zao) woote ni #teamZitto ..nimepenyezewa ratiba ya wafuasi haawa wa Zitto naambiwa watawapitia wenzao wa buguruni, watapita manzese then wataingia mjini posta wakilakiwa na kundi jingine ambalo limejiandaa kuwafanyia mapokezi.
Historia inakwenda kuandikwa ambapo jiji la DSM litasimama kw muda kusubiri hukumu hiyo ya kihistoria mbayo itaandika dibaji katika harakati mpya za kidemocrasia.
-------------------------
-------------------------
More info:
Zitto anatarajiwa kuongea na wana wa hili taifa mida ya saa kumi, tutaawjulisha venue itaakuwa wapi..
---------------
---------------
Picha
Nitaendelea kuwaleteeni taarifa
--------------------------
--------------------------
Tumesimamishwa na polisi wale wa "pikipiki" (vodafasta) wanadai wametuona saa nyingi na hwatambui ni nini kinaendelea, wamekagua magari na pikipiki. Pikipiki zimeachiwa, gari niliopo aina ya Harrier limekutwa bima imeisha kama ina siku nne, wanapambana na dereva kidogo aliwajibu vibaya police kw hiyo wamekataaa gari isitoke wanataka tuende kituoni.
------------------
------------------
TAAHADHARI
Wapo kundi la vijana ambao ni wakutengenezwa nasikia wanasubiri tukifika HC waje kuanzisha fujo wajidai wanadai hela kutoka kwetu, eti tumewanunua n hatujawlipa..ninachosema hakuna anaetudai.