Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

Status
Not open for further replies.
Bwana Sigates to be honest, nini mnakipigania dhidi ya Zito? abaki Chadema? asivuliwe uanachama? manaa hayo yote yalishafanyika na mmeshaambiwa kuwa hata akibaki hatashirikishwa kwenye mambo ya msingi, sasa mnachoandamana na kwenda kufanya vurugu ni kwa ajili ya nini hasa?

Kwa mfano, ikiamuliwa kuwa chadema wam'bakishe wasimfukuze, si atabaki na ubunge na huo uenyekiti wa PAC pekee? still haimsaidii, mimi bila kusimamia upande wowote nilifikiri ni wakati wa Zito kukaa na kutafakari pasipo kuonyesha chuki maana ukifanya maamuzi ukiwa na hasiri you always Loose. Niko tayari kukosolewa kwa hili
CC: Pasco MANI zumbemkuu na wengineo including Ritz

Unadhani huo Ubunge ne Uenyekiti wa PAC sio vitu muhimu kwake na kwa jamii? Angalia Kafulila na Hamad Rashid mpaka leo ni wabunge japokuwa vyama vyao vilitaka kuwafukuza uanachama. Hizi siasa za majitaka zina shida sana.
 
tuhuma za mbowe zimewasilishwa kwenye kikao gani ? Na nani ameziwasilisha ?

Utamshtaki Mwenyekiti wa Chama kwa nani? Kama anaambiwa uanachama wa Zitto ukajadiriwe kwenye Baraza Kuu la Cham anakataa, huo kwamba huo ni ubabe?
 
CCM endelea kupoteza pesa za umma kwa kuandaa hicho ulichoandika hapa. Either mahakama izuie Zitto kufukuzwa au isizuie, Zitto kwisha habari yake.

Tiba
 
Najua chadema wengi mnanidharau, ila mtaniheshimu tuu. Nimependekezwa bunge la katiba.. Nyota yangu inawaka

HIVI UNADHANI MNAWEZA KUISHINDA CHADEMA KWA HIZO POSHO ZA LAKI MBILIMBILI MNAZOTUMIANA KWENYE SIMU ZENU ? AU mmechagua SHEREHE YA WIKI MOJA KWA GHARAMA YA KUJUTA MILELE ?
 
sixgate siku zote una mrengo wa ki ccm ccm,imekuaje unashupalia mambo ya chadema? poleni sana magamba agent wenu hakubaliki tena ndani ya cdm.Rip ccm Rip zzk politicaly.
 
Bwana Sigates to be honest, nini mnakipigania dhidi ya Zito? abaki Chadema? asivuliwe uanachama? manaa hayo yote yalishafanyika na mmeshaambiwa kuwa hata akibaki hatashirikishwa kwenye mambo ya msingi, sasa mnachoandamana na kwenda kufanya vurugu ni kwa ajili ya nini hasa?

Kwa mfano, ikiamuliwa kuwa chadema wam'bakishe wasimfukuze, si atabaki na ubunge na huo uenyekiti wa PAC pekee? still haimsaidii, mimi bila kusimamia upande wowote nilifikiri ni wakati wa Zito kukaa na kutafakari pasipo kuonyesha chuki maana ukifanya maamuzi ukiwa na hasiri you always Loose. Niko tayari kukosolewa kwa hili
CC: Pasco MANI zumbemkuu na wengineo including Ritz

uko right kaka,zito angetulia tu ili maamuz ya busara yafanyike.hatukatai kuwa alikuwa anakubalika.ila kwa kweli usaliti ni ki2 kibaya sana,Mungu daima amesaidia cdm.zitoumevuna ulichopanda.
 
Last edited by a moderator:
tuhuma za mbowe zimewasilishwa kwenye kikao gani ? Na nani ameziwasilisha ?

yeye ni kiongozi mkuu wa chama - tuhuma zozote haswa dhidi yake ni ishu, haijalishi zimefikaje ndani ya chama......vinginevyo atoe maelezo na vielelezo vya kina yeye mwenyewe ili kukanusha tuhuma!
 
Baada ya hukumu ya pingamizi la Zzk kutosomwa jana kuaahirishwa mpaka leo saa nane mchana, hali ya taharuki kutokaana na matokeo ya hukumu hiyo imetanda, yamkini hukumu hiyo haikusomwa jana kw sababu ya tamko la mwanasheria wa CDM kuhusu uwepo wa Zitto CDM ni kw sababu ya kimahakama,kw hiyo mahakama inatambua impact ya maamuzi yaake leo.

Nimepita manzese nimepita buguruni, sasa tupo temeke mwisho tunatoka kuelekea mwembe yanga (sio viwanjani), yapo magari, na mapikipiki yamechomekeza bendera za chadema (wanasema wao ni wanachama,wanakuja H.C na kadi zao) woote ni #teamZitto ..nimepenyezewa ratiba ya wafuasi haawa wa Zitto naambiwa watawapitia wenzao wa buguruni, watapita manzese then wataingia mjini posta wakilakiwa na kundi jingine ambalo limejiandaa kuwafanyia mapokezi.

Historia inakwenda kuandikwa ambapo jiji la DSM litasimama kw muda kusubiri hukumu hiyo ya kihistoria mbayo itaandika dibaji katika harakati mpya za kidemocrasia.

-------------------------
-------------------------
More info:
Zitto anatarajiwa kuongea na wana wa hili taifa mida ya saa kumi, tutaawjulisha venue itaakuwa wapi..

---------------
---------------
Picha

Nitaendelea kuwaleteeni taarifa

attachment.php


--------------------------
--------------------------
Tumesimamishwa na polisi wale wa "pikipiki" (vodafasta) wanadai wametuona saa nyingi na hwatambui ni nini kinaendelea, wamekagua magari na pikipiki. Pikipiki zimeachiwa, gari niliopo aina ya Harrier limekutwa bima imeisha kama ina siku nne, wanapambana na dereva kidogo aliwajibu vibaya police kw hiyo wamekataaa gari isitoke wanataka tuende kituoni.

------------------
------------------
TAAHADHARI
Wapo kundi la vijana ambao ni wakutengenezwa nasikia wanasubiri tukifika HC waje kuanzisha fujo wajidai wanadai hela kutoka kwetu, eti tumewanunua n hatujawlipa..ninachosema hakuna anaetudai.

Kweli ukisha kuwa mjinga na upumbavu unakutawala na uchumia tumbo unakuongoza.Best kwenu ni kumwambia Zitto aanzishe Chama chake cha siasa mwende huko .Sasa kuratibu maandamano unatumia muda na gharama za nani ? Ili iweje ? Mahakama impe Zito ushindi au imnyime Chadema hatakiwi yeye aende tu .Si ana nguvu anahangaikia nini ?
 
HIVI UNADHANI MNAWEZA KUISHINDA CHADEMA KWA HIZO POSHO ZA LAKI MBILIMBILI MNAZOTUMIANA KWENYE SIMU ZENU ? AU mmechagua SHEREHE YA WIKI MOJA KWA GHARAMA YA KUJUTA MILELE ?

Mkuu acha, umepanic. Kwani kuna ubaya nkilipwa ujira kama nimefanya kazi halali?
 
Utamshtaki Mwenyekiti wa Chama kwa nani? Kama anaambiwa uanachama wa Zitto ukajadiriwe kwenye Baraza Kuu la Cham anakataa, huo kwamba huo ni ubabe?

kwahiyo kumbe hakuna tuhuma bali ni uzushi siyo ? Sasa mnapata wapi ujasiri wa kumfananisha TAJIRI MBOWE na FUKARA ZITTO ?
 
Kazi sisi tulishaimaliza na tunasonga mbele, Zitto atakua mbunge wa mahakama
 
uko right kaka,zito angetulia tu ili maamuz ya busara yafanyike.hatukatai kuwa alikuwa anakubalika.ila kwa kweli usaliti ni ki2 kibaya sana,Mungu daima amesaidia cdm.zitoumevuna ulichopanda.

Kuna msaliti mkubwa kama Mbowe? Mbona macho yenu yamejaa chongo?
 
CCM endelea kupoteza pesa za umma kwa kuandaa hicho ulichoandika hapa. Either mahakama izuie Zitto kufukuzwa au isizuie, Zitto kwisha habari yake.

Tiba
Yani na wewe mdada mzima unaongea vituko au huujuwi ukweli ndiyo maana unaongea bila hata kutafakari mambo pole dada.
 
Mkuu, kuna binti anaaelekea H.C yeye ndie atarusha updates za moja kwa moja toka H.C..tulikamatwa na polisi pale pugu road, wametupiga fine, kwa sasa naelekea ubungo nina kikao kifupi, kama sitachelewa nitakuja
Mtakaa vikao mpk m.t.ko yachakae kupanga mipango ya kuiua CDM ila hii ndio karata yenu ya mwisho maana agent wenu ndio.huyooo icu/mahakama anapumulia mashine. Mwisho wenu huo. Mungu awalaaani kuchelewesha ukombozi
 
---------------
---------------
Picha


Tumesimamishwa na polisi wale wa "pikipiki" (vodafasta) wanadai wametuona saa nyingi na hwatambui ni nini kinaendelea, wamekagua magari na pikipiki. Pikipiki zimeachiwa, gari niliopo aina ya Harrier limekutwa bima imeisha kama ina siku nne, wanapambana na dereva kidogo aliwajibu vibaya police kw hiyo wamekataaa gari isitoke wanataka tuende kituoni.

------------------
------------------
TAAHADHARI
Wapo kundi la vijana ambao ni wakutengenezwa nasikia wanasubiri tukifika HC waje kuanzisha fujo wajidai wanadai hela kutoka kwetu, eti tumewanunua n hatujawlipa..ninachosema hakuna anaetudai.

Hapo kwenye red hiyo statement ina maana mmewalipa wote?? Calorine mbona unajichanganya?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom