Kina dada wanaofanya biashara ya ngono, wanajiskiaje

Kwa akili yangu ya kawaida.

Wanajiuzia shida...hivyo huo ni mbadala wa kupambana na shida..

Akishaanza anasema kadhia zote nitapambana nazo.

Huku tukisubiria ushuhuda wa Castr naamini wengi watasema sio wenyeji wa sehemu wanayofanyia ukahaba ni watu wa kuja.

Wakishafika mijini hawana la kufanya...kifuatacho ITV.

Sidhani kama ni kweli wanajiuza kutokana na shida au kwa shida. Hili lifatilie vizuri utaona.

Nipo ....
 
Sio kweli kama wanajiuza kutokana na shida au kwa shida. Hili lifatilie vizuri utaona.

Nipo ....
 
Sidhani kama ni kweli wanajiuza kutokana na shida au kwa shida. Hili lifatilie vizuri utaona.

Nipo ....
Sijaelewa vizuri hapa mzee baba.

Yaani unaunga mkono hoja au umeparangua hoja.
 
Bro usife moyo.

Kuna mwana kasema kule juu nilienda kwa wa bei rahisi.

Kuna wa bei kubwa kubwa kidogo hawa wanatimia vifaa vya kisasa kujisafisha.

Ile harufu haijaniisha aseeh.

Biashara iliishia wapi? espy kanenepa vifuniko habimtoshi nataka nimnunulie vipya.
Hebu subiri kwanza nisome mada alafu ndio uje uniambie hivyo vifuniko vya asali tangu lini navivaa!
 
Hivi nimesoma mada hadi mwisho au kichwa changu ndio kigumu?🙆🙆🙆🙆
 
Sijaelewa vizuri hapa mzee baba.

Yaani unaunga mkono hoja au umeparangua hoja.

Nakataa hoja. Hawajiuzi sababu ya shida bali ni ujinga na tamaa,hakuna zaidi ya hapo.

Nipo ...
 
Zamani kidogo mitaa ya Africa sana Sinza nikiwa na washikaji zangu tukawakuta dada poa wamejipanga barabarani katika wengi mmoja akanishtua sana alikua ni mjamzito tumbo kama miezi saba au nane hivi, tukasimama wakaja wote akiwemo na yule mjamzito nikamwita karibu, ilikua hivi.

Mimi; Mambo mrembo

Mjamzito; Fresh, kaka

Mimi; mimi ni mwanamke

Mjamzito; wow! siku nyingi kweli sijasagana, na hao wengine vipi?

Mimi; hujasagana hahaha, hawa washikaji zangu hawana shida

Mjamzito; okay nilijua na wao wanataka maana kwa hali yangu nisingewamudu wote lakini kwa zamani ningeweza

Mimi; nilitaka kujua hilo, wewe ni mjamzito?

Mjamzito; yes,

Mimi; unawezaje kufanya kazi hii ukiwa hivyo?

Mjamzito; weee tena ndio soko linaongezeka mpaka wenzangu wananionea wivu, wateja wengi wanataka joto na mnato

Mimi; unataka kusema wanakuchukua ukiwa hivyo hivyo tena wanakugombania?

Mjamzito; sasa je....

Ghafla sauti ikatokea kwa wenzake, "Frolaaaaa kama hawana hela achana nao bhana"
mwingine "acha tamaa wote hao utawaweza au unataka ujifungulie gest?"

Mimi; sasa mrembo ngoja niwarudishe hawa kisha nakuja kukufata, mpaka asubuhi

Mjamzito; Mmh kama nikipata kichwa je, maana me sikai sana hapa.

Nikampa elfu 20.

Mjamzito; Basi poa nitachukua wa short time tu ili nisikukose, ukifika uliza Frola.

Tukasepa, sikurudi ila iliniumiza sana nikamshukuru Mungu kwa kunipa akili, utashi, kujithamini na kipato.
 
Kuna jamaa mtaani alikuwa anaishi na malaya ,jioni anamsindikiza kwenda kujiuza ,alikuwa mmanyema ana bonge la tako,jamaa alikuwa hana garama anapikiwa ,anafuliwa ,yaani hana wasiwasi.Yule demu baadaye akarudi Kigoma baada ya kuanza kuumwaumwa.Sasa sijajua jamaa alikuwa anavumilia vipi.
 
Zamani kidogo mitaa ya Africa sana Sinza nikiwa na washikaji zangu tukawakuta dada poa wamejipanga barabarani katika wengi mmoja akanishtua sana alikua ni mjamzito tumbo kama miezi saba au nane hivi, tukasimama wakaja wote akiwemo na yule mjamzito nikamwita karibu, ilikua hivi.

Mimi; Mambo mrembo

Mjamzito; Fresh, kaka

Mimi; mimi ni mwanamke

Mjamzito; wow! siku nyingi kweli sijasagana, na hao wengine vipi?

Mimi; hujasagana hahaha, hawa washikaji zangu hawana shida

Mjamzito; okay nilijua na wao wanataka maana kwa hali yangu nisingewamudu wote lakini kwa zamani ningeweza

Mimi; nilitaka kujua hilo, wewe ni mjamzito?

Mjamzito; yes,

Mimi; unawezaje kufanya kazi hii ukiwa hivyo?

Mjamzito; weee tena ndio soko linaongezeka mpaka wenzangu wananionea wivu, wateja wengi wanataka joto na mnato

Mimi; unataka kusema wanakuchukua ukiwa hivyo hivyo tena wanakugombania?

Mjamzito; sasa je....

Ghafla sauti ikatokea kwa wenzake, "Frolaaaaa kama hawana hela achana nao bhana"
mwingine "acha tamaa wote hao utawaweza au unataka ujifungulie gest?"

Mimi; sasa mrembo ngoja niwarudishe hawa kisha nakuja kukufata, mpaka asubuhi

Mjamzito; Mmh kama nikipata kichwa je, maana me sikai sana hapa.

Nikampa elfu 20.

Mjamzito; Basi poa nitachukua wa short time tu ili nisikukose, ukifika uliza Frola.

Tukasepa, sikurudi ila iliniumiza sana nikamshukuru Mungu kwa kunipa akili, utashi, kujithamini na kipato.
Sasa babe, hiyo elfu ishirini ulimpa ya nini? Asiendelee kujiuza? Halafu ulimchomesha mahindi mwenzio ndio nini?
 
Back
Top Bottom