Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,550
- 18,440
Hatari sanaKhaa we Daby unaona sasa nilichofanya hapa
Hatari sanaKhaa we Daby unaona sasa nilichofanya hapa
Nimelemaa na niniHivyo umelemaa?
Hao ndio balaa. Kuna mmoja tulisumbuana sana kisa hizo video za xxxlHata kwa wanawake mkuu?
Hamna son nilikuwa na uncle wako hapa namsimulia mambo ya ujana kidogoHatari sana
Mimi sina kabisa waswasi na wewe.Hamna son nilikuwa na uncle wako hapa namsimulia mambo ya ujana kidogo
......Hamna son nilikuwa na uncle wako hapa namsimulia mambo ya ujana kidogo
Mimi sina kabisa waswasi na wewe.
Say something......
Hahaha...haya bhana.Hawa wa biashara sihitaji bro.
Hapo kwenye harufu nacheka sana teh teh ..Pole sana bro.. Ila huyu dada inabidi alaaniwa na dadapoa wenzake..Amewaharibia soko..Mteja mmoja wameshamkosa..
Biashara imekuwa ngumu..Wadada wengi hawavai hizo vitu siku hizi..Espy ameokoka siku hizi..Anatumia vifuniko vya kilokole
Kwa hiyo mkuu kama mvuto wangu ungekuwa mzuri huyu dada naye angenipenda kama wewe...Inategemea na mvuto wako,Mimi niliwahi kulala mmoja hapo buguruni,kileleni alifika zaidi ya Mara tatu,baada ya hapo akawa anakuja getto tena siku nyingine simtoi hata nauli,alinipenda sana yule dada ,saivi kashaolewa
Umelikuza jambo kutokana na experience yako ila kuna thread ya wanunuzi ilianzishwa humu na wachangiaji walikuwa wengi tu. Kuna wauzaji wao ni full time case na ndio wengi hujiuza kwa kila mtu, hawa hawana matunzo sana na huishi kwenye vile vijumba vya mitaa maarufu..
Kuna Wengine hufanya part time , hawa ndio wengi na group lao ni kubwa na wengine huwezi hata kuwafikiria kwa mfano wanachuo, wafanyakazi ndogo ndogo kama saloon na bar na wengine wanaojiuza mitandaoni. Wapo wauzaji wengi tu wana mahusiano na wameolewa kawaida na waume zao hata hawajui.
Usiseme uliona kinyaa maana yawezekana ushawahi pita na binti mkare ambaye kwako anajiheshimu ila kwa wengine ni malaya na muuzaji. Siku hizi wauzaji wanaita kudanga na hii ndio mbinu mpya ya kujiweka classic. WANAWAKE WENGI SIKU HIZI WANAJIUZA ILA WANATOFAUTIANA LOCATION TU
Kiuhalisia kila binadamu anahitaji mtu wa kuwa nae. Mapenzi sio ngono maana ngono inapatikana popote ila upendo haupatikani kila sehemu. Kuwa na mtu wa kukujulia hali wakati wa kuamka na kulala ni nzuri, kuwa na mtu utakaemlilia na kumuhusisha katika furaha zako ni muhimu sana. Unaweza ukapata ngono na kuwa na marafiki wa kukuliwaza lakini hawawezi kuwa replacement ya hisia zako kimapenzi. Hata wauzaji pia huwa hawaondoki katika huu uhalisia na ndio wapo baadhi wanaolewa na kutulia pamoja na kuzijua mashine za aina zote.Kwa hiyo mkuu kama mvuto wangu ungekuwa mzuri huyu dada naye angenipenda kama wewe...
Sawasawa.
nimepata jibu la kwamba wanahisia? Na wanazicontrol vipi hisia zao zisiwaharibie biashara.
Ona sasa akawa anakupa bure ukamharibia biashara.