Zamani kidogo mitaa ya Africa sana Sinza nikiwa na washikaji zangu tukawakuta dada poa wamejipanga barabarani katika wengi mmoja akanishtua sana alikua ni mjamzito tumbo kama miezi saba au nane hivi, tukasimama wakaja wote akiwemo na yule mjamzito nikamwita karibu, ilikua hivi.
Mimi; Mambo mrembo
Mjamzito; Fresh, kaka
Mimi; mimi ni mwanamke
Mjamzito; wow! siku nyingi kweli sijasagana, na hao wengine vipi?
Mimi; hujasagana hahaha, hawa washikaji zangu hawana shida
Mjamzito; okay nilijua na wao wanataka maana kwa hali yangu nisingewamudu wote lakini kwa zamani ningeweza
Mimi; nilitaka kujua hilo, wewe ni mjamzito?
Mjamzito; yes,
Mimi; unawezaje kufanya kazi hii ukiwa hivyo?
Mjamzito; weee tena ndio soko linaongezeka mpaka wenzangu wananionea wivu, wateja wengi wanataka joto na mnato
Mimi; unataka kusema wanakuchukua ukiwa hivyo hivyo tena wanakugombania?
Mjamzito; sasa je....
Ghafla sauti ikatokea kwa wenzake, "Frolaaaaa kama hawana hela achana nao bhana"
mwingine "acha tamaa wote hao utawaweza au unataka ujifungulie gest?"
Mimi; sasa mrembo ngoja niwarudishe hawa kisha nakuja kukufata, mpaka asubuhi
Mjamzito; Mmh kama nikipata kichwa je, maana me sikai sana hapa.
Nikampa elfu 20.
Mjamzito; Basi poa nitachukua wa short time tu ili nisikukose, ukifika uliza Frola.
Tukasepa, sikurudi ila iliniumiza sana nikamshukuru Mungu kwa kunipa akili, utashi, kujithamini na kipato.