Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,373
- 5,030
Wanapenda kuishi kimakundi unakuta chumba kimoja wanaishi hata nane wanapika na kula pamoja! Wakishatengeza sambusa/mishikaki hao kila mtu na njia yake kwenda kutafuta wateja..
Biashara zao hazinaga maongezi bei za bidhaa zao ni standard (500 per piece). Unaweza kumtambua kama huyu ni muhamiaji?
Kwa upande wangu ningekuwa na mamlaka wahamiaji haramu ambao wanajishughulisha na kazi halali nisingewatimua. Ungewekwa utaratibu wa kuwatambua kama wakimbizi ambao wamekuja kutafuta maisha ili sehemu yoyote atakoyotia pua yake mfumo umtambua kama mkimbizi hana haki au prioritizes za kuingia au kuhudumiwa humo! Ila kuwatimua inauma aisee endapo walikuwa watu wema tu mtaani!