Kina dada wanaofanya biashara ya ngono, wanajiskiaje

Kina dada wanaofanya biashara ya ngono, wanajiskiaje

Kwa hiyo kwa mawazo yako Daby unadhani hadi nimefika umri huu sijawahi kuona pilau? Hapana simjui, majina mnayajulia wapi hivi
Wewe mkali...nikajua eti wewe unavyojiheshimu hadi nikashindwa kukufuata PM hauzijui pilau.

Majina si yameandikwa unapobofya? Au wewe utamu hukupelekesha hadi usahau kusoma majina?
 
Wewe mkali...nikajua eti wewe unavyojiheshimu hadi nikashindwa kukufuata PM hauzijui pilau.

Majina si yameandikwa unapobofya? Au wewe utamu hukupelekesha hadi usahau kusoma majina?
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi mwanaume nisiyempenda siwezi mpa aseehh!naona kama ananibak vile
Kwa akili yangu ya kawaida.

Wanajiuzia shida...hivyo huo ni mbadala wa kupambana na shida..

Akishaanza anasema kadhia zote nitapambana nazo.

Huku tukisubiria ushuhuda wa Castr naamini wengi watasema sio wenyeji wa sehemu wanayofanyia ukahaba ni watu wa kuja.

Wakishafika mijini hawana la kufanya...kifuatacho ITV.
 
Wapo wanaofanya kwa hulka tu za kupenda kulala na wanaume wengi wengi ujue kaka yangu
 
Wapo wanaofanya kwa hulka tu za kupenda kulala na wanaume wengi wengi ujue kaka yangu
Kwa hiyo hawa pesa si kipaumbele wanaweza kukusamehe pia?

Castr ulizia kama kuna anayefanya kwa hulka ebu.
 
Nitajitahidi nitumie lugha ya staha.

Kina dada wanaofanya biashara ya ngono, wanajiskiaje namaanisha wanajihisi wanafanya biashara hii kama wafanyabiashara wengine wanavyojihisi?

Wakati wa kusex wanaskia uchungu au raha?[nauliza hivi maana mama klaree aliniambia kwenye tendo huwa anaskia utamu] sasa hawa wanaofanya na wanaume zaidi ya tano kwa siku je, kuna utamu au uchungu?

Huwa wanachagua wateja au kikubwa kwao ni pesa. Biashara nyingine hazichagui wateja ilimradi unapesa yako unapewa huduma. Sasa hii biashara vipi wanabagua wateja au hawabagui ikitegemea mteja anamwingilia mwilini mwake.

La mwisho. Je, wakiwa kwenye huduma wanaweza kupata hisia kwa baadhi ya wateja? Hili swali linategemea swali la uchungu au raha. Kama kuna kipindi wanapata hisia wanatumia mbinu gani kuzi-control ili zisiathiri biashara yao?

True story. Sahau kwa muda hayo maswali.

Kwenye pitapita zangu za maisha kiusema ukweli nilikuwa nashangaa saana kuskia habari za wanaume kununua hawa wadada. Nikikaa na wana wanaanza kusimuliana hadi wanawataja majina na kuelezana yule yupo hivi yule yupo vile.

Sijawahi kuvutiwa nao maana kwangu mzuka unaanzia mbali, bali sio sex tu. kwa upande wa pili sio mtumiaji wa kilevi. Siku moja hawa jamaa nikatoka nao kufika maeneo nikasema ngoja nitest kilaji. Lahaula, yakanoga mambo nikaendelea.

Jamaa walijitwalia tulipokuwa tunakunywa mie nikajikaza nikasema hapana nilishaapa sitafanya hiki kitu. Tukamaliza tukarudi chuo kila mtu anapoishi. Usiku nikabanwa saana nikasema hapana si nikifanya ni kwa leo tu! Kwanini nijinyime.

Huyo nikaita tax hadi maeneo. Kufika hata sikuhangika kwenda mbali mdada wa kwanza aliponiona akaniita huku mimi nikiwa na uoga kwa mbali. Akaniambia Kaka njoo yangu ni ya m...to kaka njoo. Akaniambia twende ukalipie chumba na unikatie zangu.(sikuwa na wasiwasi na kiasi nilikuwa na pesa+ ATM).

Kuingia ndani akamulikwa na taa mwili ukasema paaaa! walah nilitaka kukimbia hapa ila nikasema nilishalikoroga acha nilinywe. Nikamuuliza shingapi? Akasema 8 000 kondomu buku jumla 9 000 ila wewemdogo wangu nitakufanyia 15000 pamoja na chumba.

Nilishangaa..yaani ku-do elfu kumi na tano tu pamoja na chumba??? Nikasema ok pesa hii hapa. Akabaki na buku tano as my change.

Hao hadi chumbani, ebwana ee..chumba kufunguliwa kinanuka in short kilikuwa vibaya saana kipo ovyo saana. Akawa wa kwanza kuvua na kunikabidhi kondomu zangu. ..bwana demu ana pengo na chini alikuwa na hali mbaya labda maDr mtanisaidia..nadhani aliingiliwa saana nyuma sasa kulianza kuharibika...nimeshindwa cha kuandika hapa..ila alikuwa mgonjwa.

Nikamwambia hapana dada, samahani kwa kukuingiza humu ila siwezi kufanya lolote naondoka..demu alishangaa kinoma..change yako chukua counter hata sikuikumbuka.

Nilifika gheto bado nikiinusa ile harufu. Sikulala week nzima harufu haikuniisha na nikawasiwasogelei wanawake kwa muda. Ni moja ya experience isiyofutika kichwani mwangu.

hayo maswali nimeyatoa kwenye hii story. Lengo langu sio kuwasimanga.
hayo mambo ni ya kweli, nilichukua lidemu limoja arusha, ni muuza k maarufu nadhani, alipovua nguo aisee niliona vidotidoti kama liliugua ukimwi vile, mwili si wa mzee wala kijana, ila akivaa nguo usoni amenipodoa na nywele za garama, huwezi amini wakati anavua mdudu alisimama balaa, nilipoona mwili wake hofu ya ajabu iliniingia ubooo ukasinyaaa, nilijaribu kuuamsha nikashindwa, nilimpa hela akasema nikamshukuru Mungu kwamba sijapata gonjwa siku hiyo kwasababu naamini kabisa Mungu asisiyaisha ubooo wangu ili nisijefanya nikateketea siku ile. haya mambo yapo, zamani nilikuwa naapia kuwa siwezi kukimbia k hata kama ikoje kama mwanaume rijani, lakini siku ila Mungu aliingilia kati nikaamii kumbe hisia/ubongo una nafasi kubwa sana kwenye ngono.
 
Wewe mkali...nikajua eti wewe unavyojiheshimu hadi nikashindwa kukufuata PM hauzijui pilau.

Majina si yameandikwa unapobofya? Au wewe utamu hukupelekesha hadi usahau kusoma majina?
Endelea kuniheshimu hivyo hivyo dogo kwani kujiheshimu na kuona pilau vinahusiana nini? Isitoshe niliangalia enzi za ujana sio sasa. Siwezi kukariri jina bwana loh
 
hayo mambo ni ya kweli, nilichukua lidemu limoja arusha, ni muuza k maarufu nadhani, alipovua nguo aisee niliona vidotidoti kama liliugua ukimwi vile, mwili si wa mzee wala kijana, ila akivaa nguo usoni amenipodoa na nywele za garama, huwezi amini wakati anavua mdudu alisimama balaa, nilipoona mwili wake hofu ya ajabu iliniingia ubooo ukasinyaaa, nilijaribu kuuamsha nikashindwa, nilimpa hela akasema nikamshukuru Mungu kwamba sijapata gonjwa siku hiyo kwasababu naamini kabisa Mungu asisiyaisha ubooo wangu ili nisijefanya nikateketea siku ile. haya mambo yapo, zamani nilikuwa naapia kuwa siwezi kukimbia k hata kama ikoje kama mwanaume rijani, lakini siku ila Mungu aliingilia kati nikaamii kumbe hisia/ubongo una nafasi kubwa sana kwenye ngono.
Aseeh kisa chako karibu kifanane na changu.

Mapenzi ni hisia mkuu....kuanza kufanya mapenzi na mtu usiyemjua awe msafi au mchafu...lazima uwe na ukame wa muda mrefu.

Yes, kinachwaharibia ni injini ingekuwa kuna uwezo wa kuipaka injini foundation wagefanya kama wafanyavyo usoni na kichwani.

Uliapia au uliendelea kuchukua wenhime?
 
Endelea kuniheshimu hivyo hivyo dogo kwani kujiheshimu na kuona pilau vinahusiana nini? Isitoshe niliangalia enzi za ujana sio sasa. Siwezi kukariri jina bwana loh
Tehteh...
Hongera kama umeacha.

Ulikuwa unapenda zipi enzi zako basi?
 
Back
Top Bottom