Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
- Thread starter
- #61
Hahaha..bro labda ule ugonjwa akajua ndiyo mnato wenyewe.Teh teh..Na huyo anajinasibu kuwa mnato..Nawaza hao ambao sio mnato wana hali gani..
Bro..Ungekuta mandhari ni rafiki..Ungeendelea kuwa mteja mwaminifu??
Au labda wanaweka grisi mimi niliona vibaya? Hili nalo swali lingine.
Vipi haujawahi kuingia humo wewe!..maana toka biashara ya vifuniko ikunywee umepotea.