Kina dada wanaofanya biashara ya ngono, wanajiskiaje

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,648
75,732
Nitajitahidi nitumie lugha ya staha.

Kina dada wanaofanya biashara ya ngono, wanajiskiaje namaanisha wanajihisi wanafanya biashara hii kama wafanyabiashara wengine wanavyojihisi?

Wakati wa kusex wanaskia uchungu au raha?[nauliza hivi maana mama klaree aliniambia kwenye tendo huwa anaskia utamu] sasa hawa wanaofanya na wanaume zaidi ya tano kwa siku je, kuna utamu au uchungu?

Huwa wanachagua wateja au kikubwa kwao ni pesa. Biashara nyingine hazichagui wateja ilimradi unapesa yako unapewa huduma. Sasa hii biashara vipi wanabagua wateja au hawabagui ikitegemea mteja anamwingilia mwilini mwake.

La mwisho. Je, wakiwa kwenye huduma wanaweza kupata hisia kwa baadhi ya wateja? Hili swali linategemea swali la uchungu au raha. Kama kuna kipindi wanapata hisia wanatumia mbinu gani kuzi-control ili zisiathiri biashara yao?

True story. Sahau kwa muda hayo maswali.

Kwenye pitapita zangu za maisha kiusema ukweli nilikuwa nashangaa saana kuskia habari za wanaume kununua hawa wadada. Nikikaa na wana wanaanza kusimuliana hadi wanawataja majina na kuelezana yule yupo hivi yule yupo vile.

Sijawahi kuvutiwa nao maana kwangu mzuka unaanzia mbali, bali sio sex tu. kwa upande wa pili sio mtumiaji wa kilevi. Siku moja hawa jamaa nikatoka nao kufika maeneo nikasema ngoja nitest kilaji. Lahaula, yakanoga mambo nikaendelea.

Jamaa walijitwalia tulipokuwa tunakunywa mie nikajikaza nikasema hapana nilishaapa sitafanya hiki kitu. Tukamaliza tukarudi chuo kila mtu anapoishi. Usiku nikabanwa saana nikasema hapana si nikifanya ni kwa leo tu! Kwanini nijinyime.

Huyo nikaita tax hadi maeneo. Kufika hata sikuhangika kwenda mbali mdada wa kwanza aliponiona akaniita huku mimi nikiwa na uoga kwa mbali. Akaniambia Kaka njoo yangu ni ya m...to kaka njoo. Akaniambia twende ukalipie chumba na unikatie zangu.(sikuwa na wasiwasi na kiasi nilikuwa na pesa+ ATM).

Kuingia ndani akamulikwa na taa mwili ukasema paaaa! walah nilitaka kukimbia hapa ila nikasema nilishalikoroga acha nilinywe. Nikamuuliza shingapi? Akasema 8 000 kondomu buku jumla 9 000 ila wewemdogo wangu nitakufanyia 15000 pamoja na chumba.

Nilishangaa..yaani ku-do elfu kumi na tano tu pamoja na chumba??? Nikasema ok pesa hii hapa. Akabaki na buku tano as my change.

Hao hadi chumbani, ebwana ee..chumba kufunguliwa kinanuka in short kilikuwa vibaya saana kipo ovyo saana. Akawa wa kwanza kuvua na kunikabidhi kondomu zangu. ..bwana demu ana pengo na chini alikuwa na hali mbaya labda maDr mtanisaidia..nadhani aliingiliwa saana nyuma sasa kulianza kuharibika...nimeshindwa cha kuandika hapa..ila alikuwa mgonjwa.

Nikamwambia hapana dada, samahani kwa kukuingiza humu ila siwezi kufanya lolote naondoka..demu alishangaa kinoma..change yako chukua counter hata sikuikumbuka.

Nilifika gheto bado nikiinusa ile harufu. Sikulala week nzima harufu haikuniisha na nikawasiwasogelei wanawake kwa muda. Ni moja ya experience isiyofutika kichwani mwangu.

hayo maswali nimeyatoa kwenye hii story. Lengo langu sio kuwasimanga.
 
Wangekuwa wanapata raha wasingetuharakisha mpaka saa nyingine unatoka hujafikia hata robo ya kukojoa
Washenzi hawa! Yani sitokaa ninunue tena maraya la muda mfupi

Ni sawa uende hotelini uletewe chakula alafu ile umekula vijiko vitano tu unyang'anywe sahani. Mbaya zaidi chakula ulilipa cash

Kauli mbiu ni nunua wa kukesha nae sio wa shot time
 
Wangekuwa wanapata raha wasingetuharakisha mpaka saa nyingine unatoka hujafikia hata robo ya kukojoa
Washenzi hawa! Yani sitokaa ninunue tena maraya la muda mfupi

Ni sawa uende hotelini uletewe chakula alafu ile umekula vijiko vitano tu unyang'anywe sahani. Mbaya zaidi chakula ulilipa cash

Kauli mbiu ni nunua wa kukesha nae sio wa shot time

Hahaaha...

Hilo swali ushalijibu mkongwe wa hii mambo. Watakuwa wanaumia sasa mkuu kama hawaskii raha.
 
Back
Top Bottom