Kina dada wanaofanya biashara ya ngono, wanajiskiaje

Kwa hiyo mkuu kama mvuto wangu ungekuwa mzuri huyu dada naye angenipenda kama wewe...

Sawasawa.

nimepata jibu la kwamba wanahisia? Na wanazicontrol vipi hisia zao zisiwaharibie biashara.

Ona sasa akawa anakupa bure ukamharibia biashara.
Mvuto sio muonekano tu hata the way you react,
 
Kisaikolojia ngono tamu ni ile inayokuwa na chemistry baina ya wafanyaji...

Lazima kuwe na mental connection, hormanal stimulation na kila aina ya mshawasha ambao waswahili huita nyegez

Kwa mantiki hiyo wanawake wanaojiuza asilimia ndogo mno pengine 1% tu ndio wanaweza kuwa na sexual arousal na hawani wale wenye "pepo la ngono" au walio na sex drive iliyopitiliza ambao kwao mwanaume yoyote anaweza mtosheleza...
Nimekuelewa Watu8...

Hawa uliowataja mwisho ndiyo wale tunaowaskia walikutana na mwanaume wakampenda wakaamua kutulia wakaolewa.

Ni vigumu kuwa na hisia kama unangonoka na watu 5 kwa siku...
 
Kwa hiyo mkuu kama mvuto wangu ungekuwa mzuri huyu dada naye angenipenda kama wewe...

Sawasawa.

nimepata jibu la kwamba wanahisia? Na wanazicontrol vipi hisia zao zisiwaharibie biashara.

Ona sasa akawa anakupa bure ukamharibia biashara.
Hisia wanazicontrol kwa sababu wanakutana na watu wengi kwahiyo hata ikitokea umemtreat vizuri kesho yake atasahau coz atakutana na watu wengine but ukifanya repetition anaweza kukupenda
 
Kiuhalisia kila binadamu anahitaji mtu wa kuwa nae. Mapenzi sio ngono maana ngono inapatikana popote ila upendo haupatikani kila sehemu. Kuwa na mtu wa kukujulia hali wakati wa kuamka na kulala ni nzuri, kuwa na mtu utakaemlilia na kumuhusisha katika furaha zako ni muhimu sana. Unaweza ukapata ngono na kuwa na marafiki wa kukuliwaza lakini hawawezi kuwa replacement ya hisia zako kimapenzi. Hata wauzaji pia huwa hawaondoki katika huu uhalisia na ndio wapo baadhi wanaolewa na kutulia pamoja na kuzijua mashine za aina zote.
Unataka kuniambia ulimwengu wa ngono hauna madhara ya moja kwa moja kwenye ulimwengu wa mapenzi?

Je, hawa kinadada hawaathiri wale wanaokuwa nao kwenye mapenzi? Au wanakuwa hawajui biashara waifanyao?

Au wanakuwa na hawa wapenzi baada tu ya kuacha biashara....! Swali langu limejikita kama watakuwa na wapenzi wakiwa kwenye biashara.
 
Hisia wanazicontrol kwa sababu wanakutana na watu wengi kwahiyo hata ikitokea umemtreat vizuri kesho yake atasahau coz atakutana na watu wengine but ukifanya repetition anaweza kukupenda
Hahaha...

Hapa siutakuwa mteja wa kudumu sasa.
 
Kwenye biashara hiyo hakuna raha sababu unafanya bora liende na sio kwa ajili ya starehe
 
Unataka kuniambia ulimwengu wa ngono hauna madhara ya moja kwa moja kwenye ulimwengu wa mapenzi?

Je, hawa kinadada hawaathiri wale wanaokuwa nao kwenye mapenzi? Au wanakuwa hawajui biashara waifanyao?

Au wanakuwa na hawa wapenzi baada tu ya kuacha biashara....! Swali langu limejikita kama watakuwa na wapenzi wakiwa kwenye biashara.
Kiasilia mwanamke ni nadra kumfungulia miguu mwanaume kimwili bila kuwa na connection nae kihisia na ndio maana mke akicheat ni rahisi kujua maana huamisha mwili na mapenzi.. Wanaume ni kawaida kufanya sex for fun hivyo unaweza kumaintain hisia kwa mpenzi wako.
Wauzaji huwa wametoka katika uhalisia wao na ndio maana huwa hawana connection na wateja wao. Ila kama mapenzi ya kawaida inaweza kutokea akampenda mteja wake aidha alivyo au akamkubali kwa show zake na hivyo akaamua kumpa full access.

Sex ni muhimu katika mapenzi yaani kama chumvi katika mboga, mboga ikikosa chumvi inalika ila ikiwekwa chumvi huongeza hamasa na ladha kiujumla. Hiyo ndo sex, jiulize ni wangapi wanawake wana waume wenye visukari au hitilafu lakini bado wakaendelea nao. Mapenzi ni zaidi ya ngono ila good sex hunogesha mahusiano. Usisahau katika tafsiri sahihi, ngono bila hisia ni "Kufanya ngono" ila hisia za kimapenzi zikihusika ndio huitwa "kufanya mapenzi"
 
Dah ila kuna wengine wamekwiva katika customer care, lugha safi laini, wasafi wananukia, wanaheshima atataka akupe hata namba yake nk, wengine wana tamaa akisema 4000 wewe mpe 10,000 akupe chenchi utaona anakwambia nikupe na biriani mradi tu pesa isirudi..
Mwengine ndio vibaka, wachafu wananuka..
 
Hahaha...

Hapa siutakuwa mteja wa kudumu sasa.
Yaa sio mbaya,kikubwa ukumbuke kutumia condom tu,hata hivyo kuna Malaya hawana ngona,kuna mmoja nilimpima alikuwa Neg
 
Dah ila kuna wengine wamekwiva katika customer care, lugha safi laini, wasafi wananukia, wanaheshima atataka akupe hata namba yake nk, wengine wana tamaa akisema 4000 wewe mpe 10,000 akupe chenchi utaona anakwambia nikupe na biriani mradi tu pesa isirudi..
Mwengine ndio vibaka, wachafu wananuka..
Hahaa ndo ivyo,wengine wana Ku....ma safi unatamani uzame chumvini
 
Kiasilia mwanamke ni nadra kumfungulia miguu mwanaume kimwili bila kuwa na connection nae kihisia na ndio maana mke akicheat ni rahisi kujua maana huamisha mwili na mapenzi.. Wanaume ni kawaida kufanya sex for fun hivyo unaweza kumaintain hisia kwa mpenzi wako.
Wauzaji huwa wametoka katika uhalisia wao na ndio maana huwa hawana connection na wateja wao. Ila kama mapenzi ya kawaida inaweza kutokea akampenda mteja wake aidha alivyo au akamkubali kwa show zake na hivyo akaamua kumpa full access.

Sex ni muhimu katika mapenzi yaani kama chumvi katika mboga, mboga ikikosa chumvi inalika ila ikiwekwa chumvi huongeza hamasa na ladha kiujumla. Hiyo ndo sex, jiulize ni wangapi wanawake wana waume wenye visukari au hitilafu lakini bado wakaendelea nao. Mapenzi ni zaidi ya ngono ila good sex hunogesha mahusiano. Usisahau katika tafsiri sahihi, ngono bila hisia ni "Kufanya ngono" ila hisia za kimapenzi zikihusika ndio huitwa "kufanya mapenzi"
Sawa sawa bwana confession.

Nimekupata vyema.
 
Unataka kuniambia ulimwengu wa ngono hauna madhara ya moja kwa moja kwenye ulimwengu wa mapenzi?

Je, hawa kinadada hawaathiri wale wanaokuwa nao kwenye mapenzi? Au wanakuwa hawajui biashara waifanyao?

Au wanakuwa na hawa wapenzi baada tu ya kuacha biashara....! Swali langu limejikita kama watakuwa na wapenzi wakiwa kwenye biashara.
Kingine ambacho huwa nawasisitiza watu ni kuelewa suala kama lilivyo pasipo kuongeza mitazamo yao binafsi ili kutokuathiri uhalisia wa suala lenyewe. Nimeshawahi kuwajua wanawake wanaojiuza part time na wana ndoa zao kabisaa. Wanachokifanya ni kuondoa mazingira ambayo mumewe au mpenzi wake ataushtukia michezo yake kuanzia sehemu wanazofanyia biashara. Kingine huwa wanawapenda watu wao kama kawaida na hata kama atakutana na michezo mikare huko nje anaweza akaendelea nayo lakini asipunguze mapenzi au heshima kwa mumewe. Huwa wanaanza kuwa na hulka za kiume [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Dah ila kuna wengine wamekwiva katika customer care, lugha safi laini, wasafi wananukia, wanaheshima atataka akupe hata namba yake nk, wengine wana tamaa akisema 4000 wewe mpe 10,000 akupe chenchi utaona anakwambia nikupe na biriani mradi tu pesa isirudi..
Mwengine ndio vibaka, wachafu wananuka..
Hahaha.

Nimecheka saana mkuu.

Labda hawa ni wale confession aliosema wanafanya kama kazi ya ziada.
 
Yaa sio mbaya,kikubwa ukumbuke kutumia condom tu,hata hivyo kuna Malaya hawana ngona,kuna mmoja nilimpima alikuwa Neg
Bila shaka ndiye shemeji yetu kwasasa.
 
Back
Top Bottom