tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,566
- 28,729
Mkuu ina maana serikali ambayo yenyewe ndiyo imetugawia viwanja huku mabondeni na kutuletea barabara, umeme na maji haijui tulipo? Let us be serious on serious issues mkuu.Mkuu umesema sahihi.
Ila kwenye majanga kama haya ukisema utegemee serikali ambayo hata haijui uko wapi, ni kujitoa mhanga.