el nino

El Niño–Southern Oscillation (ENSO) is a global climate phenomenon that emerges from variation in winds and sea surface temperatures over the tropical Pacific Ocean. Those variations have an irregular pattern but do have some appearance of cycles. The occurrence of ENSO is not easily predictable. It affects the climate of much of the tropics and subtropics, and has links (teleconnections) to higher-latitude regions of the world. The warming phase of the sea surface temperature is known as "El Niño" and the cooling phase as "La Niña". The Southern Oscillation is the accompanying atmospheric oscillation, which is coupled with the sea temperature change.
El Niño is associated with higher than normal sea level air pressure over Indonesia, Australia and across the Indian Ocean to the Atlantic Ocean. La Niña has roughly the reverse pattern: high pressure over the central and eastern Pacific and lower pressure through much of the rest of the tropics and subtropics. The two phenomena last a year or so each and typically occur every two to seven years with varying intensity, with neutral periods of lower intensity interspersed. El Niño events can be more intense, but La Niña events may repeat and last longer.
A key mechanism of ENSO is the Bjerknes feedback (named after Jacob Bjerknes in 1969) in which the atmospheric changes alter the sea temperatures that, in turn, alter the atmospheric winds in a positive feedback. Weaker easterly trade winds result in a surge of warm surface waters to the east and reduced ocean upwelling on the equator. In turn, this leads to warmer sea surface temperatures (called El Niño), a weaker Walker circulation (an east–west overturning circulation in the atmosphere) and even weaker trade winds. Ultimately, the warm waters in the western tropical Pacific are depleted enough so that conditions return to normal. The exact mechanisms that cause the oscillation are unclear and are being studied.
Each country that monitors the ENSO has a different threshold for what constitutes an El Niño or La Niña event, which is tailored to their specific interests.
El Niño and La Niña affect the global climate and disrupt normal weather patterns, which can lead to intense storms in some places and droughts in others. El Niño events cause short-term (approximately one year in length) spikes in global average surface temperature, while La Niña events cause short term surface cooling. Therefore, the relative frequency of El Niño compared to La Niña events can affect global temperature trends on timescales of around ten years. The countries most affected by ENSO are developing countries that are bordering the Pacific Ocean and dependent on agriculture and fishing.
In climate change science, ENSO is known as one of the internal climate variability phenomena. Future trends in ENSO due to climate change are uncertain, although climate change exacerbates the effects of droughts and floods. The IPCC Sixth Assessment Report summarized the scientific knowledge in 2021 for the future of ENSO as follows: "In the long term, it is very likely that the precipitation variance related to El Niño–Southern Oscillation will increase". The scientific consensus is also that "it is very likely that rainfall variability related to changes in the strength and spatial extent of ENSO teleconnections will lead to significant changes at regional scale".

View More On Wikipedia.org
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Akwilapo atoa Rai maandalizi ya EL NIÑO kulinda makazi

    DODOMA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, ametoa rai kwa mamlaka za miji, taasisi na wananchi kuanza kuchukua hatua za maandalizi dhidi ya athari zinazoweza kujitokeza wakati wa mvua za El Niño na kusisitiza umuhimu wa upangaji bora wa maeneo ya makazi...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tuombe Mungu atuepushe na El Niño

    Tukumbuke pia kuendelea kumuomba Mungu atuepushe na tishio hili ambalo tumethibitishiwa kwamba ni jambo lililotathminiwa kitaalamu la uwezekano wa kuwepo elinino na tutumie muda wetu wa ibada kuendelea kumuomba Mungu aepushe. Mungu, yeye anaweza kutuepusha na haya yote. Dkt. Mwigulu Nchemba...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tangu lini watawala wa ccm wakawa na uchungu na wananchi! EL NINO kwao ni fursa kubwa ya kupiga hela na most likely "zimeshapigwa".

    Bilioni 700 ni pesa zimeshagawanywa ...ni fursa...vikao nadhani vimeshakula robo! ☺️ ☺️:CarltonPls: Time will tell!
  4. U

    JamiiForums Tanzania 1/3 ya pesa za el nini zimetafunwa Kwa vikao, na sioni el nino

    Nina wasi wasi ana upigaji unaoendelea kupitia mambo ya el nini, Kuna baadhi ya watu nawajua kupitia hii el nino wameshajenga nyumba na kuisha, El nino hatutaki itokee, lakini maandalizi na vikao vya kuikabili El nino inasemekana zimeshatafuna 1/3 ya bilioni 780, hivyo , tunasuburi Sasa itokee...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hakuna El Nino, ni mastory ti!

    Ni kutishana, sijui kwa manufaa gani. Walisema mwezi wa 10.......kwa uhakikisho wa 100%! Jua limekaza uzi kila kitu kinakauka, eti El Nino!
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwa mjibu wa wataalam hata mwaka 2023–2024, kulikuwa na El Nino kwanini mwaka huu tumeipa promo sana?

    Kila siku El nino Hizi mvua za El nino ni za kwanza kunyesha Tanzania? Wakuu kuweni serious
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Shule zote kufungwa Novemba 13 kutokana na tahadhari ya mvua za El Nino

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (WyEST) imekuwa ikifuatilia kwa karibu taarifa za hali ya hewa zinazotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Katika taarifa yake ya tarehe 18 Agosti 2026, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania ilitoa mwelekeo wa mvua za vuli kwa kipindi cha Oktoba – Desemba...
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Serikali yasisitiza wananchi kuendelea kusikiliza wataalamu athari za El Nino

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza na wananchi wa Kata ya Muhonda na Sungaji wakati akiwa kwenye ziara Wilaya Mvomero mkoani Morogoro, Septemba 28, 2026. Serikali imeendelea kutoa wito kwa wananchi kuendelea kusikiliza...
  9. Moshilabusara

    JamiiForums Tanzania MATANGAZO YA TAHADHARI YA EL NIÑO YANATUTIA HOFU BADALA YA KUTUPA MAJIBU YA KUFANYA

    Matangazo ya mara kwa mara kuhusu El Niño yameanza kuwapa hofu baadhi ya wananchi. Wakati mwingine mtu anafikia hatua ya kusita hata kufanya mambo ya msingi kwa sababu anawaza, “Itakuwaje?” Maana ukweli ni kwamba, nyumba nyingi tunazoishi ni za hali ya kawaida tu na si kila mtu ana uwezo wa...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Masauni Akagua Hatua Zilizochukuliwa Kukabiliana Na El Nino

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, ameanza ziara mkoani Morogoro ya kukagua hatua mbalimbali zilizochukuliwa kukabiliana na mvua za El Niño kwa ajili kubaini mapema maeneo na miundombinu hatarishi ili hatua zichukuliwe kabla ya mvua...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali imetenga Bilioni 730 za El nino, je isipotokea zitarudishwa hazina?

    TMA ilisema el nino inatarajia kuanza mwezi wa 9 mwishoni, huko kwenu kuna hata dalili. Tukaambiwa el nino bado inajijenga baharini tangu mwezi wa nne. Nikasikia tena wanasema el nino sio lazima iwe mvua inaweza kuwa ni hali ya mawingu na upepo. Serikali kupitia kwa msemaji wake Msigwa...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TMA yathibitisha El Nino, mvua za awali zimeanza

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema hali ya El Nino nchini inaendelea kuimarika, huku kilele chake kikitarajiwa kufikiwa katika kipindi cha Novemba na Desemba. Ofisa Habari wa TMA, Ramadhan Omary katika taarifa yake Jumapili, Septemba 27, 2026, kwamba El Niño tayari imejijenga na...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mnaosoma UDSM vipi ratiba ya masomo itaendelea vile vile licha ya uwepo wa El Nino? Kuna mtu anataka kulipa ada nataka nimshauri kabla hajafanya maamu

    Huyu mmama alikuwaga " Mtu' Wangu wa karibu Sana wakati nasoma UDSM. Amegraduate mwaka 2010 anatoka nchi jirani. Anataka kuja kufanya Masters UDSM.. Kwa mujibu wa ratiba iliyopo ni kwamba classes zinaanza October mwishoni. She was about to pay her fee ila amesikia kuhusu El Nino na mabadiliko ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania KERO Open University wamefanya suala la Research kuwa kitega uchumi, Supervisor anataka kutumia El Nino kunipressure nimlipe TZS 250,000 ili nimalize chuo

    Hii si hadithi ya kusimuliwa bila ushahidi, nina vielelezo vinavyothibitisha ninachokizungumza. Nimekuwa nikijiuliza kama niwashirikishe hapa kwa kuwa wahusika wanaonekana kuwa na kiburi na hawajali malalamiko ya wanafunzi, nimeamua pia kuweka wazi suala hili kupitia mitandao mingine kama...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Leo Hii Watu Wanapuuza Habari za El Nino kama Wakati Nuhu Anawahubiria watu Kuhusu Ujio wa Gharika watu walimpuuza

    HAKIKA LEO HII WATU WANAPUUZA TAARIFA ZA EL NIÑO KAMA VILE NYAKATI ZA NUHU: Je, Tunasubiri Gharika Itukumbuke Ndipo Tuamini? Ndugu zangu wa JamiiForums, leo nimekaa na kutafakari sana mwenendo wa jamii yetu linapokuja suala la kuchukulia kwa uzito tahadhari zinazotolewa na mamlaka za hali ya...
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Hakuna cha El nino wala Super El nino wewe lala fofo .

    Lala fofo ewe mtanganyika mwenzangu. Kama alisababisha mvua kunyesha kule mwanza mbele ya shuhuda Rais Samia ,Mapadre wako wa Roma na masister wako wa Roma. Je atashindwa kuzuia isije ni yeye mwamba kasema.. Anthony Lusekelo
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya taifa yasogezwa kuepuka athari za El Nino

    W izara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanya marekebisho ya ratiba ya upimaji na mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026, kwa lengo la kuzuia athari zinazoweza kujitokeza kutokana na uwezekano wa mvua kubwa za El Nino zinazotarajiwa katika baadhi ya maeneo nchini. ILA TANZANIA Akizungumza Jijini...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Siasa kwenye Elimu ya Tanzania: Wanafunzi 2,4, ii na iv, wabadilishiwa tarehe ya Mitihani kisa El Nino. Wizi Mtupu

    Kwa mujibu wa Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6, 2026, badala ya Oktoba 21 na 22. Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili, uliokuwa umepangwa kufanyika Novemba 17 na 18, sasa utafanyika Oktoba 7 na 8, 2026. Kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Vipi kama El nino hii ijayo ndio "Gharika" ilee tuliyowahi kusimuliwa?

    Kuna kipande nimepita pale maeneo ya Mbezi kibanda, kuna kijumba kando ya daraja huwa wanakutana na adha mara nyingi wakati wa mvua,haswa inapoongezeka kidogo tu (juu ya wastani)na maji ya mto yakiongezeka. Na ni kama nimesikia Wanasayansi huko wameongeza kiasi cha tahadhari. Tutarajie makubwa...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania UKAME vs EL NINO;Je ni mabadiliko ya tabianchi au laana...?

    Kuna watu wanajiita (watabiri wa hali ya hewa) ukishajua maana ya utabiri/mtabiri basi utajua wale ni watu wa aina gani. Dunia ya leo,ukiwa na makaratasi yaliyoandikwa (certificate) unaonekana ni msomi sana hata kama bado ujinga flan kichwani. Kuna taarifa kuhusu el Nino kila kona ya dunia .na...
Back
Top Bottom