Kimsingi sijajipanga na hii El nino.

Kimsingi sijajipanga na hii El nino.

Anzisha tone tone tukuchangie. ILA, nikuonye mapema, usizichepushe kununua magari ya bei mbaya kama yule jamaa yetu. Ukijaribu tu tunakupeleka kwa Katuga fasta.

😆😆😄

Ngoja nifungue akaunti maalumu ya maafa.
Alafu serikali ikichungulia ikiona zimefika mabilioni itazitaifisha wakati ni jasho langu😀😄
 
Hatari sana
Hii miguu itaenea tope na hizo barabarana
#explore #explorepage #fyp #trending.webp
#explore #explorepage #fyp #trending (1).webp

C.c Tresor Mandala
 
Naweza hapa kwa sauti kubwa kuhusu SGR letu kama litaponaa kama El Nino atakuwepo kweli kweli nawaza sana
Hii kitu ya SGR nami imenifikirisha sana.
Kuna mahali tuta limeinuliwa kwenye mapitio ya maji, mfano Morogoro pale kwenye njia ya maji jirani na Mto Ngerengere.

Naamini TRC watakuwa nao wanatengeneza njia za maji kuyaeleleza mtoni na kuutanua mto.
 
Hamjambo!

Kama mambo yataenda hivi yalivyo. Nikiri kwamba hali yangu itakuwa ngumu na mbaya sana.

Pesa huna
Chakula huna.
Kazi haieleweki.

Tumekwisha
Mkuu wewe hutakiwi kujipanga chochote bali serikali yako tukufu ndiyo inatakiwa ijiandae kukabiliana na hayo maafa yajayo. Kwa bahati mbaya, mpaka sasa serikali yako haijanunua hata helicopter moja ya uokoaji zaidi ya kununua magari ya pilipili za kuwasha pamoja na mabomu ya machozi ili kuwatisha raia waliofiwa na wapendwa wao MO29.
 
Mkuu umesema sahihi.
Ila kwenye majanga kama haya ukisema utegemee serikali ambayo hata haijui uko wapi, ni kujitoa mhanga.
 
Ni maandilizi ya kitaifa kupitia kitengo cha maafa, so ukikumbwa, serikali itakupa msaada.
Serikali ya nani?

Ya sa100?yenyewe haijui hata ianzie wapi wapo wapo tu wamezubaa wanatujua wabongo kuku wa kienyeji kila mmoja atapambana kwa style yake aishi
 
Back
Top Bottom