Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,715
- 10,200
Wataalamu wanasema El nino sio mvua bali ni ongezeko kubwa la joto baharini linelopelekea mabadiliko makubwa katika mifumo ya hali ya hewa.
Wanasema madhara yake yanaweza kuwa mvua kubwa, kimbunga, ukame nk.
Kuna shemeji yangu anaitwa Chivayo juzi kati amepata ajali ya helicopter akafa yeye, mke wake na wengine kadhaa.
Nimeanza kuhisi kuwa huenda alicho kumbana nacho ni El Nino.