Kimsingi sijajipanga na hii El nino.

Kimsingi sijajipanga na hii El nino.

😆😆😄

Ngoja nifungue akaunti maalumu ya maafa.
Alafu serikali ikichungulia ikiona zimefika mabilioni itazitaifisha wakati ni jasho langu😀😄
Waambie waweke kwenye akaunti yangu kwa kuwa serikali haikagui akaunti za sisi tulio kwenye system.

Kwa maana nyingine pesa yako itakuwa kwenye mikono salama.

Ac. No. : Q555JZ1123 Name: Joji W. Kaiser
Branch: MIX Jersey Island
 
Tubuni...maana kwa maneno mwamkataa Shetani ila kwa Matendo mnampenda hasa...Samia unaua watu na kuna wana CCM wanakusapoti....sasa mtashuhudia uharibifu mkubwa kwasababu watu wamelia wamechoka ...na watu hawatokufa ila Serikali izo bilioni zenu za kukabili hili bure, mtanyenyekea tu kwenye miundo mbinu ambayo misaada haitokuwapo.Tutaumia cuz yenu
 
Back
Top Bottom