Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,852
- 100,046
Hahhah kondoo wako busy na siasa mambo ya el nino wote ni matomaso mpaka tushuhudie😁Halleluya nimefufuka katika kristo 😁😁 nimekuja humu nikajua watu wanajinda na maombi ya kuzia maafa
Hahhah kondoo wako busy na siasa mambo ya el nino wote ni matomaso mpaka tushuhudie😁Halleluya nimefufuka katika kristo 😁😁 nimekuja humu nikajua watu wanajinda na maombi ya kuzia maafa
Saa hv wamenipa ofa ya laki mbili plusUmekopa shingapi😂
We rudi ukalime kama mimi ukivuna utakula jasho lako! Ef5 hiyo utanywea kiwingu!
Umekwisha sio tume😳
Tuliokuwepo El nino ya 98, msaada ulipatikana sana, kutoka kwa watu wa marekani,Thubutuuu!!
Hiyo ni Impact ya october 29 hile damu inliyomwagiga bado ina vilio vingi maafa ni lazima watu waliosababisha hawatakua na amaniNaweza hapa kwa sauti kubwa kuhusu SGR letu kama litaponaa kama El Nino atakuwepo kweli kweli nawaza sana
Mungu atusaidie...
Naombeni 5k nikale 🥺
Inasikitisha sana
Hii mvua inanyesha km hainyeshi haielewekiHamjambo!
Kama mambo yataenda hivi yalivyo. Nikiri kwamba hali yangu itakuwa ngumu na mbaya sana.
Pesa huna
Chakula huna.
Kazi haieleweki.
Tumekwisha
El La Ninyoo ni kudumbukia tu, kuhakikisha umeweka generator na vyakula vya kutoshaaa ...View attachment 3672246View attachment 3672247
Ni mvua tu kawaida sio el ninoEl nino imewaka
😂😂😂 acha tu likija tukio kama hili ni hasara kweliKama zile siku Tatu tano za lockdown ya mo29 watu walipiga mayowe vile. Vipi El nino ipige mwezi tuu.
Tumekwisha
Hakuna kitu kitatokea bwashee relax
Hebu walipe haraka unikopee na mimi dooh🤩Saa hv wamenipa ofa ya laki mbili plus
Ni maandilizi ya kitaifa kupitia kitengo cha maafa, so ukikumbwa, serikali itakupa msaada.
Bado mzee hata hivyo mvua bd zipo zipoEl nino imewaka
Unajua mwanzo nilijua wewe ni mama fulani kumbe ni mwanaumeEl La Ninyoo ni kudumbukia tu, kuhakikisha umeweka generator na vyakula vya kutoshaaa ...View attachment 3672246View attachment 3672247
Kama umetishwa na kauli za wanasiasa wala usiogope, daima wanaongea kinyumenyume.
😂 Ndo nakusanya itimie wiki ijayo nilipeHebu walipe haraka unikopee na mimi dooh🤩
Labda kutoka marekani, ila huku kwetu sidhani!Tuliokuwepo El nino ya 98, msaada ulipatikana sana, kutoka kwa watu wa marekani,
El nino ni janga kubwa sana,