Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Acha ukenge, umeambiwa mtumishi wa umma asie mfanya biashara kama lowassa!, hata hivyo hizo ulizojaribu kufikiria mbona hazifiki hata 200,000? achilia mbali kwamba ulikua unatumia pia

Umesahau time value of money na pia umesahau nimeanza business lini. Umesahau sikua namsaidia ndugu yoyote, umesahau sio mvivu kama nyie mnaoshindwa kukataza matumizi yasiyo na lazima ya HARD currencies kwenye nchi yenu. Umesahau nimekuwa exposed mapema na best practices za nchi za watu.

Umesahau 1+1 = 5 synergy
 
"When in trouble adopt diversionary tactics"! Hizi ni mbinu za siku nyingi za kujihami zinazitumika na watawala waliofikia kikomo cha utawala wao. watawala wameshindwa kutawala angalia mlolongo wa crisis ya nchi yetu na hatari kubwa ambayo nchi yetu inaelekea (Uchumi ulioporomoka, mfarakanio wa jamii, na reversal ya indicators zote za maendeleo). hawana jibu la kuwapa wananchi kwa hiyo wanajinusuru kwa kuanzisha "mini crises" kila siku kila saa kuwafanya wananchi wasahau the real issues!

Kuna hatari ya watu kuwa swept na hizi petty politicking and internal power shifts (threads nyingi ni issues za nape, Lowassa na kujivua Gamba, etc) lakini what are the real root causes of the crisis? is it Bad governance? Is it the constitution? Is it the Dabblings of International capital, etc, etc?
Tuwe waangalifu jamani; Nchi yetu ina a lot of potential lakini inamezewa mate na wengi sana kutokana na resources zake. Forums kama ya Kwetu (jamii forums) ina potential kubwa ya kuwa chombo kikubwa cha national reconcilliation na national building kama tutakubaliana vitu vya msingi na vya kizalendo nje ya ushabiki wa kisiasa. mambo kama national Identity (What makes us proudly tanzanian), mambo ya maadili (ethics), etc. mambo ambayo yanatuunganisha pamoja na tofauti zetu mbalimbali.
Bila hivi this beautiful country itakuwa haina wenyewe and it will go to the dogs or the highest bidder..and our dreams with it.

lets think 50 years ahead and this forum can elevate itself and take the role of the vanguard
(haya matusi, mipasho, vibweka nadharau za itikadi, unazi etc. kwa kweli inaboa na inauma sana tukichukulia hasa destiny ya nchi yetu iko mikononi mwetu and we are messing it up!) tutamlaumu nani?
 
Imeshathibitika, source: MWANGAZA FM, Dodoma.

Teh,teh.Halafu hii MWANGAZA FM umeisingizia mda mrefu tangu asubuhi!Unajua utasababisha watu waamini uongo?Jamani MWANGAZA FM haijatangaza hiyo kitu,over!
 
Mimi nasubiri muhutasari wa habari saa 4:00pm kwenye hii tv yao ya TBC1 kama wanaweza kurusha hizi habari kama nizakweli.
 
"When in trouble adopt diversionary tactics"! Hizi ni mbinu za siku nyingi za kujihami zinazitumika na watawala waliofikia kikomo cha utawala wao. watawala wameshindwa kutawala angalia mlolongo wa crisis ya nchi yetu na hatari kubwa ambayo nchi yetu inaelekea (Uchumi ulioporomoka, mfarakanio wa jamii, na reversal ya indicators zote za maendeleo). hawana jibu la kuwapa wananchi kwa hiyo wanajinusuru kwa kuanzisha "mini crises" kila siku kila saa kuwafanya wananchi wasahau the real issues!

Kuna hatari ya watu kuwa swept na hizi petty politicking and internal power shifts (threads nyingi ni issues za nape, Lowassa na kujivua Gamba, etc) lakini what are the real root causes of the crisis? is it Bad governance? Is it the constitution? Is it the Dabblings of International capital, etc, etc?
Tuwe waangalifu jamani; Nchi yetu ina a lot of potential lakini inamezewa mate na wengi sana kutokana na resources zake. Forums kama ya Kwetu (jamii forums) ina potential kubwa ya kuwa chombo kikubwa cha national reconcilliation na national building kama tutakubaliana vitu vya msingi na vya kizalendo nje ya ushabiki wa kisiasa. mambo kama national Identity (What makes us proudly tanzanian), mambo ya maadili (ethics), etc. mambo ambayo yanatuunganisha pamoja na tofauti zetu mbalimbali.
Bila hivi this beautiful country itakuwa haina wenyewe and it will go to the dogs or the highest bidder..and our dreams with it.

lets think 50 years ahead and this forum can elevate itself and take the role of the vanguard
(haya matusi, mipasho, vibweka nadharau za itikadi, unazi etc. kwa kweli inaboa na inauma sana tukichukulia hasa destiny ya nchi yetu iko mikononi mwetu and we are messing it up!) tutamlaumu nani?

Tuwalaumu mafisadi na chama chao cha kifisadi!!
 
Unless someone is hit by Stroke or Heart attack.... you can celebrate ...otherwise ... STOP DREAMING!
 
I think this is currently enough for your stomach. Just accept that Lowassa and Chenge are no longer CCM's team players as of today. I am still gathering more information about this story and therefore stay tuned as the page is loading..............
 
FairPlayer,

Kwanza hongera kwa mafanikio hayo. Ni poa kujua kuwa una kampuni ya kukodisha magari kwani kuna jamaa zangu wanaweza kuwa Dar mwakani mwezi May na hivyo kukodisha gari kwa bei ya ki-JF JF.

Nakubaliana na wewe kuwa hiyo hela si kubwa sana ila kwa upande wa pili kwa mwananchi wa kawaida ni kubwa sana.

Namfahamu jamaa mmoja hapa hapa JF ambaye kashajiwekea mradi mkubwa hapa Bongo wa zaidi ya 1milion US $. Jamaa amendoka Tanzania masikini tu kama mie hapa na kaenda kusoma nje na kumaliza huko mwisho kuanza kazi. Pamoja na kuwa walikuwa wengi, yeye tu amekuwa na pesa kiasi hicho ingawa ukweli ni kuwa ni yeye na mkewe.

Inategemea bahati ya mtu na ADABU ya hali ya juu katika maisha yake na utunzaji wa pesa. Sasa wewe hata kama wapata elfu 5 kwa mwezi US $, lakini nyota wote wa Dar wanakufahamu na wanakuimba kwenye nyimbo zao, basi ujuwe utakuwa kama bomba la ambalo uwezo wake wa kuingiza na kutowa ni sawa kabisa.

Toa shule kwa watu maana wengine wanaweza kufaidika na shule yako kuwa NI VITU VINAWEZEKANA.
 
I think this is currently enough for your stomach. Just accept that Lowassa and Chenge are no longer CCM's team players as of today. I am still gathering more information about this story and therefore stay tuned as the page is loading..............

CDM mkanyakue majimbo hayo mawili!
 
I think this is currently enough for your stomach. Just accept that Lowassa and Chenge are no longer CCM's team players as of today. I am still gathering more information about this story and therefore stay tuned as the page is loading..............

That's true beyond reasonable doubt ! I am compiling the whole evidences needed for journalism reporting.........swallow it the game is over for the two companion
 
CDM ndo kila kitu..!!! Lets wait 4the changes, we're about to take over!!
 
That's true beyond reasonable doubt ! I am compiling the whole evidences needed for journalism reporting.........swallow it the game is over for the two companion
Kumfukuza Lowasa CCM ni kitu kigumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano. Mtaishi kwa matumaini ambayo hayatazaa matunda hata siku moja.
 
kumfukuza lowasa ccm ni kitu kigumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano. Mtaishi kwa matumaini ambayo hayatazaa matunda hata siku moja.

kwani yeye mungu mpaka wamuogope sana, nyerere aliwahi sema hata yeye ccm hakuwa mama yake
 
Back
Top Bottom