Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kuna tetesi zisizokuwa za kuaminika toka Dodoma kwny mkutano wa CCM unaoendelea kuwa viongozi tajwa hapo juu "wamevuliwa gamba"...jamani kuna Ukweli wowote?!!!....mwenye habari atuhabarishe jamani.!!!

Msubiri Nape atatoa taarifa
 
Huto white hair nae ni mjumbe wa CC?mbona yupo huko au ana lobby asifukuzwe?
 
:director::director::director::director::director::washing::juggle:😛oa😛oa😛oa😛oa😛oa
 
Watu hatutulii.....watangaze basi?!!.tujue kwamba CCM wamejichimbia kaburi.!
 
Born 1969. Graduate first degree mwaka 1992, nikaanza kazi mwaka 1993, by then nilikua napata USD 200 kwa mwezi net. Mwaka 1995 nikawa manager kwenye international agency take ikawa 600 usd.

1999 nikawa director nikapata kazi kwenda makao makuu ya nchi nilikua nalipwa 4000 usd take home na gratuity ya kila mwaka ya asilimia 25 ya annual salary. Mwaka 2003 nikawa nalipwa 5000 usd , mwaka 2007 nikaachia ngazi na kuanzisha biashara ya kukodisha magari hapa Tanzania. Nimeoa mwaka 2003.
Ama kweli nchi hii ina vilaza kweli! Wewe naye ni msomi?siamini! Mchanganuo wako waweza kuwa sawa! Lakini kwa nini useme hizo hela c kitu?

Acha ujinga gamba wewe, kote uko umebebwa wewe, ungezaliwa na wazazi wasiojua kusoma na kuandika, wanafanya vibarua vya kulima, halafu ukaenda shule ungezungumza ningekuelewa.
 
bado tuna muda tuwe nasubira watu watafunguka mida simerefu kutujuza
 
Hatoki mtu CCM wala kuingia mtu, walioko wamesema watakufa nayo. Si Lowasa wala si Vijisenti anayetoka, tetesi nu kuwa Mzee Vijisenti keshachimba mkwara mzito wakimfukuza yatakayotokea asilaumiwe.
 
Hatujadili tetesi hapa, tunataka habari zenye kuhakikiwa. Mambo ya vijiweni tuwaachie wavijiweni.
 
jamani msiumize kichwa hawa ccm hata wavuane magamba wote bila kuwa na uongozi mpya kuanzia juu hakuna jipya maisha yataendelea kuwa magumu sana
 
Hatujadili tetesi hapa, tunataka habari zenye kuhakikiwa. Mambo ya vijiweni tuwaachie wavijiweni.

Tumeiweka hapa ili wenye habari kamili na waliopo Dodoma au wenye access ya habari hii watujuze..."kila habari huanza kama tetesi" jua hilo ndg.
 
Kuna tetesi zisizokuwa za kuaminika toka Dodoma kwny mkutano wa CCM unaoendelea kuwa viongozi tajwa hapo juu "wamevuliwa gamba"...jamani kuna Ukweli wowote?!!!....mwenye habari atuhabarishe jamani.!!!

This will never happen to CCM!!!!! Hakuna mwenye nguvu ya kufanya hivyo katika jopo lote si Kikwete etc. Kwa hao wawili hakuna anayeweza kuwagusa maana wakigusika tu, Top executives watakuwa wameguswa even the president himself will be implicated in one aspect or another
 
Hhahahahah kiongozi umnifanya nicheke aise!

Kiukweli I can agree with you..sema tuu ni umasikini wa wananchi wetu ila hiyo figure 400,000USD ni hela ya kawaida sana. na mtu kuwa nayo isnt a big deal kabisa.

Ila mkuu hapa tuwekane sawa kwanza. Tunaongelea watumishi wa Umma. Lowassa hajawahi kufanya kazi nyingine zaidi ya serikalini. Kwa hiyo while mimi nitakubaliana na wewe kwamba mtu binafsi kuwa na hizo pesa inawezekana, kwa mtumishi wa umma si rahisi kama HUKUIBA! na ukiangalia trend ya mtu kama Lowassa SI KWELI kwamba he got the money in a clean way. WE ALL know that.

Unajua mkuu..kama umeingia kwenye siasa..forget kujitajirisha....sasa akina Lowassa et al..wameingia kwenye siasa zetu wakiwa na njaa..baada ya kuwahudumia wananchi..wakaanza kuhudumia matumbo yao..na sasa unaona umasikini ulioghubika wananchi wetu. Its because of corrupt and greedy politicians like Lowassa et al.

Lowassa mi namheshimu sana..ni mtu anajua uongozi na ufuatliaji......BUT I will probably never vote for him because of his greedy and corrupt behavior. Anastahili kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Hizo hadithi za ushahidi na mengineyo..ni ujanja wa wasomi wa kila siku kutumia sheria kutudanganya wananchi....


We need clean people in public service! Not the current crop of leaders we have now.

Mkuu sawa, hilo atajibu yeye, angalau wewe umejadili kwa kufikiria. Sasa unapojadiliana na mtu ambaye usd 400,000 ni nyingi kwake.. inakua ngumu kumuelimisha.

Lowassa usisahau alianza biashara za maua kitambo, sijui kipato chake ila weka hiyo in consideration, vipi utumishi wa AICC nadhani lile sio Govt kaka.
Posho za vikao na safari za serikalini ni nyingi kuliko hata 5000usd niliyokua napata.
Biashara za ng'ombe sijui alianza lini. Pia ukisha invest kumbuka zinazaliana.

Anyway afadhali wewe unayeona kwa jicho hilo.

We nawe, Yeah sisi ndo wale wakwanza kwanza kujiunga na JF. Wakati huo internet hapa nchini ilikua ya kusua suaa na madogo wote walikua sekondari LOL
 
ama kweli nchi hii ina vilaza kweli!!!!wewe naye ni msomi?siamini!mchanganuo wako waweza kuwa sawa!lakin kwa nini useme hizo hela c kitu?acha ujinga gamba wewe!!!kote uko umebebwa kenge wewe!ungezaliwa na wazazi wasiojua kusoma na kuandika!wanafanya vibarua vya kulima,alafu ukaenda shule ungezungumza ningekuelewa,kenge wewe!!!!

Utaendelea kuwa MASKINI hivyo hivyo milele. Jikomboe kimawazo. Njoo basi nikukopeshe angalau dola 20,000. lol

Njaa mbaya sana jamani.

Asante sana.
 
Back
Top Bottom