Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

ama kweli nchi hii ina vilaza kweli!!!!wewe naye ni msomi?siamini!mchanganuo wako waweza kuwa sawa!lakin kwa nini useme hizo hela c kitu?acha ujinga gamba wewe!!!kote uko umebebwa kenge wewe!ungezaliwa na wazazi wasiojua kusoma na kuandika!wanafanya vibarua vya kulima,alafu ukaenda shule ungezungumza ningekuelewa,kenge wewe!!!!

Daaaa!, nimecheka sana mpaka watu ofisini wakashangaa, Mkuu vipi tena, jamaa kajitahidi kutoa mchanganuo, wewe umemmiminia matusi kibao....

Kazi kweli kweli!
 
Kuna tetesi zisizokuwa za kuaminika toka Dodoma kwny mkutano wa CCM unaoendelea kuwa viongozi tajwa hapo juu "wamevuliwa gamba"...jamani kuna Ukweli wowote?!!!....mwenye habari atuhabarishe jamani.!!!

Wewe unasema ni tetesi sasa unataka ukweli wa nini? Futa subira, utajua tu muda ukifika.
 
Born 1969. Graduate first degree mwaka 1992, nikaanza kazi mwaka 1993, by then nilikua napata USD 200 kwa mwezi net.
Mwaka 1995 nikawa manager kwenye international agency take ikawa 600 usd. 1999 nikawa director nikapata kazi kwenda makao makuu ya nchi nilikua nalipwa 4000 usd take home na gratuity ya kila mwaka ya asilimia 25 ya annual salary. Mwaka 2003 nikawa nalipwa 5000 usd , mwaka 2007 nikaachia ngazi na kuanzisha biashara ya kukodisha magari hapa Tanzania. Nimeoa mwaka 2003.

Bado mi ni fisadi? sijaongelea mali nilizokuta kwetu (kuanzia kwa babu mpaka baba). Ng'ombe 600 wa kiasili na utitiri wa mbuzi na kondoo na nyumba kama nne hapa Dar kariakoo na nyingine mbili Arusha.

Acha uvivu USD 400,000 is nothing bro.

Umesahau additional profile: Ulijiunga JF 2006!

Acha ukenge, umeambiwa mtumishi wa umma asie mfanya biashara kama lowassa!, hata hivyo hizo ulizojaribu kufikiria mbona hazifiki hata 200,000? achilia mbali kwamba ulikua unatumia pia
 
hapoooooooooooooooooooooooooooooooooo.....................
 
Wewe unasema ni tetesi sasa unataka ukweli wa nini? Futa subira, utajua tu muda ukifika.

So kwan ww cku zote unaamini tetesi?!!!!....nlitaka kujua ukweli ili nisiendelee kuwa na doubts ktk hzo tetesi....got me mister??!
 
Born 1969. Graduate first degree mwaka 1992, nikaanza kazi mwaka 1993, by then nilikua napata USD 200 kwa mwezi net.
Mwaka 1995 nikawa manager kwenye international agency take ikawa 600 usd. 1999 nikawa director nikapata kazi kwenda makao makuu ya nchi nilikua nalipwa 4000 usd take home na gratuity ya kila mwaka ya asilimia 25 ya annual salary. Mwaka 2003 nikawa nalipwa 5000 usd , mwaka 2007 nikaachia ngazi na kuanzisha biashara ya kukodisha magari hapa Tanzania. Nimeoa mwaka 2003.

Bado mi ni fisadi? sijaongelea mali nilizokuta kwetu (kuanzia kwa babu mpaka baba). Ng'ombe 600 wa kiasili na utitiri wa mbuzi na kondoo na nyumba kama nne hapa Dar kariakoo na nyingine mbili Arusha.

Acha uvivu USD 400,000 is nothing bro.

I see na wewe bilionea kama EL
 
Daaaa!, nimecheka sana mpaka watu ofisini wakashangaa, Mkuu vipi tena, jamaa kajitahidi kutoa mchanganuo, wewe umemmiminia matusi kibao....

Kazi kweli kweli!

Mi mwenyewe bado nacheka kaka, yaani acha tu. Halafu tunasema nchi hii itaendelea. Ndo maana watu wana chuki za BINAFSI na wenye hela.
Tatizo sio wenye hela tatizo ni serikali kutotekeleza sera zake.

Mfano ngoja nimsaidie huyu Mtanzania asinichukie mimi na Lowassa, Hapa Town kila unachouliza madukani ni USD based price, computer USD, hotelini USD, Rentals USD. Sasa ndugu yangu inahitaji hata darasa la nne kuona kuwa mnaongeza demand ya USD hapo na kuiuwa TSHS?

Tukiwaambia mnasema sisi ni Kenge. Jamani Tanzania bila umasikini inawezekana.
 
Kichwa cha mada hii kimekaa mfumo wa swali! Kwa hiyo imethibitika nini hasa? Wameng'olewa au hawajang'olewa?

kunamtu amejibu hilo swali kuwa kituo cha radio cha MWANGAZA kimetangaza na kuthibitisha kuwa wamevuliwa gamba
 
Back
Top Bottom