kwani yeye mungu mpaka wamuogope sana, nyerere aliwahi sema hata yeye ccm hakuwa mama yake
Waambie hao wanaodhani kwamba kuna mtu ni indispensable CCM.
kwani yeye mungu mpaka wamuogope sana, nyerere aliwahi sema hata yeye ccm hakuwa mama yake
JK ana uwezo wa kumvua Nape gamba, lakini hana uwezo wa kumvua gamba Lowassa
Ifungulie uzi wake hii kitu...ni habari njema!wakati mnasubiri taarifa za dodoma...kuna taarifa zimenifikia dakika 2 zilizopita kuwa jukwaa katiba limetangaza maanadamano ya amani yatakayofanyikanchi nzima tarehe 26 Nov 2011 Jumamosi ......Jitokezeni wadau na nimaandamamno yasiyokoma
Nawasilisha
wakati mnasubiri taarifa za dodoma...kuna taarifa zimenifikia dakika 2 zilizopita kuwa jukwaa katiba limetangaza maanadamano ya amani yatakayofanyikanchi nzima tarehe 26 Nov 2011 Jumamosi ......Jitokezeni wadau na nimaandamamno yasiyokoma
Nawasilisha
Ifungulie uzi wake hii kitu...ni habari njema!
kikwete anatakiwa kuonesha urais wake na uenyekiti wake kwa kumng'oa EL
kikwete anatakiwa kuonesha urais wake na uenyekiti wake kwa kumng'oa EL
unataka kusema hawa wazee wanageuka CHADEMA kwa kususia kikaoBAADHI YA WAZEE WALIOWAHI KUVUMAA HUKO CCM WADAIWA KUKACHA VIKAO VYA NEC DODOMA BAADA YA KUNUSA HARUFU ZA FEDHA HEWANI NA POTEZESHA DIRA MKUTANO MZIMA NA VILE VILE 'MUSWADA WA MAKINDA' KUONEKANA SUBILI
Eti mkutano wa CCM Dodoma; hakuna kitu pale na ni bure kabisa!!! Swala lote la gamba kuvuka limegoma mara baada ya kuloweshwa na utitiri wa vijisenti na kuwa ngumu na kunata zaidi mwilini. Hiyo ndio maana baadhi ya wazee wa chama hicho wakaamua kujitunzia heshma zao mbali yale yanayoendelea huko.
Kuna ugomvi mkali mno wa makundiunaoendelea ndani CCM hadi dakika hii lakini yote yanaendelea hivi sasa nyuma ya pazia.
Nasema ugomvi hatari ya kuwahi kutokea CCM unaendelea kupamba moto hadi kakika hii tunavyoendelea kuandika humu.
HAKUNA tena mwenye ubavu wa kufungia paka fisadi kengele baada wale wazee wenyewe kusikia ukigeugeu na unafiki kutoka Magogoni hdi wakaamu kujiweka kando na mkutano wa NEC CCM kule Daodoma ambao kwa maelezo yao ni kwamba hauna dira.
Vile vile kuna taarifa kwamba nako nyumbani kwa wana CUF nako si shwari kote Bara na Visiwani kutokana na uamuzi wao kuunga mkono muswada uliowaondolea kabisa matumaini wananchi wa pande zote mbili.
Kama mtu bado anasubiri zaidi moshi wa kijani na zambarau kuhusu BOMU linalowasubiri hadi hivi sasa basi kajikalie hapo. Mama Anna Makinda wabunge wa CUF huku Dodoma wamevimaliza kabisa hivi vyama viwili vya CCM na KAFU; hakuna tena kitu pale!!
I think this is currently enough for your stomach. Just accept that Lowassa and Chenge are no longer CCM's team players as of today. I am still gathering more information about this story and therefore stay tuned as the page is loading..............