Nyie watu mnaudhi sana unataka evidence tuambie basi nyumba ya london ya £400,000 hela ameitoa wapi? Vile vile tunaomba atuambie kwanini Nyerere alipatwa na mshtuko alipokuta mmfanyakazi wa serikali who happened to be EL alikuwa akimiliki nyumba ambayo alitaka apangishiwe balozi wa South Africa? Tunaomba maelezo ya ufisadi wa Wizara ya maji ambapo tenda ya kusambaza mabomba ya maji alitaka kampuni yake ipewe tenda.
Bado unataka madudu mengine? Maana yapo ya AICC? Wizara ya Ardhi? Waziri mkuu? na kwengineo
CCM wakitaka usalama na uhai wa chama wamfukuze Kikwete kwenye chama! hiyo ndiyo suluhu yao, kwani hana uwezo wa kuwafukuza wezi wa mali umma!
Who is JF?JF is no longer a trusted source. Haiwezekani habari itoke tangu asubuhi, lakini hadi saa hizi hakuna anayeconfirm au kukanusha. Tunaomba mods mmchukulie hatua za kinidhamu yule aliyezusha kwamba Lowasa na chenge wamevuliwa uanachama CCM.
CCM wakitaka usalama na uhai wa chama wamfukuze Kikwete kwenye chama! hiyo ndiyo suluhu yao, kwani hana uwezo wa kuwafukuza wezi wa mali umma!
Duh kweli this time kuna kazi, yaani hadi mida hii hakuna updates ya maana iliyofika JF? kaazi kweli kweli! Magamba wanafundishana jinsi ya kuteteana watakapotoka ila naamini lazima watamtoa mtu kafara, wait and see!!!!