Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

jamani hali huku ni mbaya mbaya mbaya sana usalama wa taifa uko mashakani yale ya chini ya godoro yanarushwa huku, Mungu ibariki Tanzania kweli kuvua gamba ni sawa na kujifungua (kuzaa) machungu na kuropoka kumbe raisi kwenye kikao cha chama anakuwa mwenyekiti tu hii kiboko

Ndiyoooo! na iwe mbaya tu tena mbaya sanasana na ikibidi watifuane tu, hiyo ndiyo itakuwa tijara yetu panzi (vita vya kunguru)
nahisi upepo wa siasa za bongo utakuwa na mvumo tofauti kesho.

Amani yetu inatumiwa vibaya.
 
Again Very LOW bro. Mie tu nina miaka 42 na hizo USD 490,000 mbona ninazo kwenye account yangu moja tu hapa Tanzania?. Sasa Lowassa na mvi zote hizo asiwe na hizo senti!! Unasoma darasa la ngapi ndugu yangu.
Unajua biashara za Lowassa?. Usiwe mfuata upepo kama wale wapenzi wa magazeti PENDWA.

Kimemo, tuonyeshe kwenye kimemo palipoandikwa toeni rushwa, pendeleeni, nipeni hela, nunua mtambo hewa au chakavu...etc. Waziri mkuu ana njia zipi za mawasiliano na mawaziri wengine?

Think basi kaka usitake magazeti yafikirie kuliko wewe. By the way they are just piece of shit papers.
Okay hebu tuambie hizo £400,000 umezipataje katika account yako? Tupatie mshahara wako tangu umemaliza shule mpaka sasa una miaka 42. Tupatie vitega uchumi vyako? Tupe connection zako. I am sure tukianza kukuchimba tutakuta na wewe ni gamba tu kama Lowassa.

Unfortunately, jamaa amekuwa kwenye public spotlight tu ila kama alivyosema Nyerere na mie narudia hivyo inakuwaje mfanyakazi wa serikali akawa na mali hivi?

Tunakuuliza amezipataje hizo mali? na Watanzania hasa vijana ambao ndio watakuwa wapiga kura wengi 2015 sasa hivi wako makini watawachimba mpaka vijijini kujua kama wasafi au la.
 
This is crap dude. Ngoja nikuulize unadhani wizi wa ufisadi utaumbuliwa wapi kama sio magazeti? By the way unafahamu magazeti hayachapishi tuhuma pasina kuwa na vithibitisho? Sasa kwanini basi walichapisha habari hizo wakati hawana vithibitisho? Lowassa alishindwa nini kuwashtaki?

SAS aliandamwa na wabunge wabaguzi kutoka zanzibar hilo hakuna asiyelijua. Walimwita Hizbu kwasababu ya kuwa baadhi ya ndugu zake walikuwa wanachama wa chama cha ZNP. Wabunge hawa walimbagua Salim na kumjeruhi na magazeti yakaripoti hayo kama yalivyo sasa sifahamu kosa la magazeti lipi. Wao wanataka kuuza magazeti na habari kama hiyo lazima itauza magazeti.

Kumbe unakumbuka ila unajifanya mwanafunzi na kufikiria kutumia magazeti?. Kama magazeti hayaandiki bila EVIDENCE, na SAS aliandikwa sana na wakati ule kuhusu HIZBU. Basi lazima yale magazeti yalikuwa na EVIDENCE kua SAS ni HIZBU. Na SAS bado ni HIZBU!. AU siyo mkuu wangu? si ndio ilivyo? au?
 
bila ya shaka na ndio maana SAS alikaa kimya but ingelikuwa nchi zilizoendelea angeliwashtaki kwa kumchafulia reputation yake.
 
hatutegemei chochote cha ajabu kutoka dom kwani tushazoea danganya toto na hiyo this time hakuna mtu yuko tayari danganywa. CCM ur done for good now mbele giza nyuma kaburi unless
 
ni lahisi kusema ila kiutendaji wa kiuongozi ni ngumu sana ngoja tusubili ilo gwambala kama sio ngozi
 
Okay hebu tuambie hizo £400,000 umezipataje katika account yako? Tupatie mshahara wako tangu umemaliza shule mpaka sasa una miaka 42. Tupatie vitega uchumi vyako? Tupe connection zako. I am sure tukianza kukuchimba tutakuta na wewe ni gamba tu kama Lowassa. Unfortunately, jamaa amekuwa kwenye public spotlight tu ila kama alivyosema Nyerere na mie narudia hivyo inakuwaje mfanyakazi wa serikali akawa na mali hivi??? Tunakuuliza amezipataje hizo mali? na Watanzania hasa vijana ambao ndio watakuwa wapiga kura wengi 2015 sasa hivi wako makini watawachimba mpaka vijijini kujua kama wasafi au la.

Born 1969. Graduate first degree mwaka 1992, nikaanza kazi mwaka 1993, by then nilikua napata USD 200 kwa mwezi net.
Mwaka 1995 nikawa manager kwenye international agency take ikawa 600 usd. 1999 nikawa director nikapata kazi kwenda makao makuu ya nchi nilikua nalipwa 4000 usd take home na gratuity ya kila mwaka ya asilimia 25 ya annual salary. Mwaka 2003 nikawa nalipwa 5000 usd , mwaka 2007 nikaachia ngazi na kuanzisha biashara ya kukodisha magari hapa Tanzania. Nimeoa mwaka 2003.

Bado mi ni fisadi? sijaongelea mali nilizokuta kwetu (kuanzia kwa babu mpaka baba). Ng'ombe 600 wa kiasili na utitiri wa mbuzi na kondoo na nyumba kama nne hapa Dar kariakoo na nyingine mbili Arusha.

Acha uvivu USD 400,000 is nothing bro.
 
hatutegemei chochote cha ajabu kutoka dom kwani tushazoea danganya toto na hiyo this time hakuna mtu yuko tayari danganywa. CCM ur done for good now mbele giza nyuma kaburi unless

Yaani umechelewa kujua. Kwanini umechelewa hivyo?
 
Born 1969. Graduate first degree mwaka 1992, nikaanza kazi mwaka 1993, by then nilikua napata USD 200 kwa mwezi net.
Mwaka 1995 nikawa manager kwenye international agency take ikawa 600 usd. 1999 nikawa director nikapata kazi kwenda makao makuu ya nchi nilikua nalipwa 4000 usd take home na gratuity ya kila mwaka ya asilimia 25 ya annual salary. Mwaka 2003 nikawa nalipwa 5000 usd , mwaka 2007 nikaachia ngazi na kuanzisha biashara ya kukodisha magari hapa Tanzania. Nimeoa mwaka 2003.

Bado mi ni fisadi? sijaongelea mali nilizokuta kwetu (kuanzia kwa babu mpaka baba). Ng'ombe 600 wa kiasili na utitiri wa mbuzi na kondoo na nyumba kama nne hapa Dar kariakoo na nyingine mbili Arusha.

Acha uvivu USD 400,000 is nothing bro.

Hhahahahah kiongozi umnifanya nicheke aise!

Kiukweli I can agree with you..sema tuu ni umasikini wa wananchi wetu ila hiyo figure 400,000USD ni hela ya kawaida sana. na mtu kuwa nayo isnt a big deal kabisa.

Ila mkuu hapa tuwekane sawa kwanza. Tunaongelea watumishi wa Umma. Lowassa hajawahi kufanya kazi nyingine zaidi ya serikalini. Kwa hiyo while mimi nitakubaliana na wewe kwamba mtu binafsi kuwa na hizo pesa inawezekana, kwa mtumishi wa umma si rahisi kama HUKUIBA! na ukiangalia trend ya mtu kama Lowassa SI KWELI kwamba he got the money in a clean way. WE ALL know that.

Unajua mkuu..kama umeingia kwenye siasa..forget kujitajirisha....sasa akina Lowassa et al..wameingia kwenye siasa zetu wakiwa na njaa..baada ya kuwahudumia wananchi..wakaanza kuhudumia matumbo yao..na sasa unaona umasikini ulioghubika wananchi wetu. Its because of corrupt and greedy politicians like Lowassa et al.

Lowassa mi namheshimu sana..ni mtu anajua uongozi na ufuatliaji......BUT I will probably never vote for him because of his greedy and corrupt behavior. Anastahili kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Hizo hadithi za ushahidi na mengineyo..ni ujanja wa wasomi wa kila siku kutumia sheria kutudanganya wananchi....

We need clean people in public service! Not the current crop of leaders we have now.
 
Born 1969. Graduate first degree mwaka 1992, nikaanza kazi mwaka 1993, by then nilikua napata USD 200 kwa mwezi net.
Mwaka 1995 nikawa manager kwenye international agency take ikawa 600 usd.

1999 nikawa director nikapata kazi kwenda makao makuu ya nchi nilikua nalipwa 4000 usd take home na gratuity ya kila mwaka ya asilimia 25 ya annual salary. Mwaka 2003 nikawa nalipwa 5000 usd , mwaka 2007 nikaachia ngazi na kuanzisha biashara ya kukodisha magari hapa Tanzania. Nimeoa mwaka 2003.

Bado mi ni fisadi? sijaongelea mali nilizokuta kwetu (kuanzia kwa babu mpaka baba). Ng'ombe 600 wa kiasili na utitiri wa mbuzi na kondoo na nyumba kama nne hapa Dar kariakoo na nyingine mbili Arusha.

Acha uvivu USD 400,000 is nothing bro.

Umesahau additional profile: Ulijiunga JF 2006!
 
Born 1969. Graduate first degree mwaka 1992, nikaanza kazi mwaka 1993, by then nilikua napata USD 200 kwa mwezi net.
Mwaka 1995 nikawa manager kwenye international agency take ikawa 600 usd. 1999 nikawa director nikapata kazi kwenda makao makuu ya nchi nilikua nalipwa 4000 usd take home na gratuity ya kila mwaka ya asilimia 25 ya annual salary. Mwaka 2003 nikawa nalipwa 5000 usd , mwaka 2007 nikaachia ngazi na kuanzisha biashara ya kukodisha magari hapa Tanzania. Nimeoa mwaka 2003.

Bado mi ni fisadi? sijaongelea mali nilizokuta kwetu (kuanzia kwa babu mpaka baba). Ng'ombe 600 wa kiasili na utitiri wa mbuzi na kondoo na nyumba kama nne hapa Dar kariakoo na nyingine mbili Arusha.

Acha uvivu USD 400,000 is nothing bro.

Are you familiar with forensic accounting? Ngoja tukuulize umesema umeanzia kulipwa $200 net mwaka 1993 naomba unipatie disposable income yako ilikuwa bei gani? nakutokea 1993 -1995 uliweza kusave bei gani? Vile vile kuanzia 1999 disposable income yako bei gani? na kuendelea.

Ulipoamua kuanzisha biashara ya magari kukodisha ulikuwa unapata bei gani.

Usichezee forensic accountant mkuu huwezi kuwa na mshahara mbuzi kama huo ukasave USD 400,000 kama hujawa fisadi kidogo. Tupatie mchakato wa mapato yako kuanzia 1993 hadi leo. Vile tupatie utaratibu wa uendeshaji biashara yako na kodi unayolipa. Bila kusahau mtaji wabiashara umeutoa wapi.
 
Born 1969. Graduate first degree mwaka 1992, nikaanza kazi mwaka 1993, by then nilikua napata USD 200 kwa mwezi net.
Mwaka 1995 nikawa manager kwenye international agency take ikawa 600 usd. 1999 nikawa director nikapata kazi kwenda makao makuu ya nchi nilikua nalipwa 4000 usd take home na gratuity ya kila mwaka ya asilimia 25 ya annual salary. Mwaka 2003 nikawa nalipwa 5000 usd , mwaka 2007 nikaachia ngazi na kuanzisha biashara ya kukodisha magari hapa Tanzania. Nimeoa mwaka 2003.

Bado mi ni fisadi? sijaongelea mali nilizokuta kwetu (kuanzia kwa babu mpaka baba). Ng'ombe 600 wa kiasili na utitiri wa mbuzi na kondoo na nyumba kama nne hapa Dar kariakoo na nyingine mbili Arusha.

Acha uvivu USD 400,000 is nothing bro.

kuandka ni rahisi..hzo hela bila shaka unazo,lakn hukupata kihalali mkuu!
 
Kuna tetesi zisizokuwa za kuaminika toka Dodoma kwny mkutano wa CCM unaoendelea kuwa viongozi tajwa hapo juu "wamevuliwa gamba"...jamani kuna Ukweli wowote?!!!....mwenye habari atuhabarishe jamani.!!!
 
Kuishi kwa matumaini ni jambo jema maishani, ila ktk hili umetoka mchomo
 
Back
Top Bottom