Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Amini usiamini gamba lowasa na chenge wametemwa katika chama cha Mapinduzi muda huu tnitawajuza zaidi yanayojiri

Wasalaam

Mmemkwa.
Kama ni kweli, basi CCM wameanua kubadilika. Na hatua hiyo itawasaidia kujenga umoja.
 
Amini usiamini gamba lowasa na chenge wametemwa katika chama cha Mapinduzi muda huu tnitawajuza zaidi yanayojiri

Wasalaam

Mmemkwa.

mkuu kuwa karibu zaidi,inavyoonekana unapata taabu sana kupata zile za ndani,jitahidi mkuu tuko pomaja,big up:embarassed2:
 
hizi habari kweli ni za chini ya kapeti yaani mpaka sasa ni porojo tu hakuna wa kudhibitisha
 
Kama unayo madudu ya Kikwete yaeleze mkuu. Mie simtetei mtu Fisadi hata siku moja but napenda vile vile napenda utoe evidence. mie nayafahamu ya Lowassa kwani yako katika kumbukumbu za magazeti tangu enzi za nyerere.
Unao ushahidi wa wazi wa wizi wa Lowassa?? Ninazungumzia ushahidi unaofanana kama ule wa wizi wa Kagoda ambao tumeuona hapa...! Kwa kutumia vigezo ambavyo umetumia kumhukumu lowassa tunaweza kusema hata Kikwete ni fisadi...
Alikuwa ni waziri wa nishati na madini wakati mkataba wa kinyonyaji wa IPTL unasainiwa,,, alivunja sheria kwa kutumia mamlaka yake ya kifalme kwa kurusu baadhi ya wezi wa EPA kurudisha fedha za wizi bila kushtakiwa....plus madudu mengine ...rejea orodha ya mafisadi(List of shame)...!
 
Asanteni wote mliochangia thread hii. Tulikuwa tunapima upepo ili turudishe feedback kwenye vikao. Tumekusanya mitazamo ya kutosha na tutayafanyia kazi. Asanteni na endeleeni na shughuli zenu au threads nyingine.
 
mh!!!!!haya bwana!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mfukuzane msifukuzane; who cares?

mnatusaidia nini waTZ wachovu?

to hell with u thieves
 
Kama unayo madudu ya Kikwete yaeleze mkuu. Mie simtetei mtu Fisadi hata siku moja but napenda vile vile napenda utoe evidence. mie nayafahamu ya Lowassa kwani yako katika kumbukumbu za magazeti tangu enzi za nyerere.

Kaka/dada, nachelea kuanza kukuelewesha maana wajuzi watashindwa kujua nani kichaa. Alieibiwa nguo akioga au kichaa anayefukuzwa na alieibiwa nguo aliye uchi.

This is very LOW of you my friend. Giving and judging a person on hearsay and magazeti. LOL. lazima upo mdogo kisiasa na hata kimajadiliano.
Unakumbuka yaliyompata SAS (Salim A Salim) kwenye kampeni ya 2005?. Think again MAGAZETI. LOL

Poleeeeeeeee na byeee. sitokujibu mpaka ukue kidogo KISIASA.
 
Gamba bado halijavuka tu?
Na huyu Memkwa kadanganya na kupotosha watu adhabu yake apewe asitufanye sisi watoto.
 
Lowasa na Chenge kung'oka CCM ni Ndoto za mchanaa kweupe.. sidhani kama inawezekana
 
Ndani ya CCM hakuna mtu wa kumfukuza EL,hiyo lazima tukubaliane,nani huyo atakuwa ametoka wapi?hizo ni mtizamo lakini ki uhalisia hakuna wa kumtoa EL ndani ya chama cha magamba
 
Leo mchana nikijadiliana na mbunge mmoja wa CCM kutoka mkoa wa Dar, aliniambia wazi kwamba, Lowassa hawezi kufukuzwa chamani, kwani ndiye anayeunganisha chama. Kabla ya EL kungo'lewa gamba, mwenyekiti atakuwa wa kwanza kwani matatizo lukuki ndani ya chama na taifa yametokea katika utawala wake. Amesema udini, ufisadi, umasikini, siasa ya makundi yameendelezwa na mwenyekiti wa chama na siyo Lowassa, kwa maana hiyo gamba kubwa ni Rais mwenyewe na siyo EL.

EL akingo'lewa basi tutaelekea kwenye uchaguzi mara moja na CCM itakufa kwa maana 70% ya wabunge CCM wanamuunga mkono EL. JK hawezi kumgusa EL na anajua hilo

Huo ndio ukweli EL anaogopwa na kumtoa kunaweza kukimaliza chama
 
Nahisi watazungumzia kuhusu ushindi katika JIMBO la Igunga, Mchakato wa Katiba Mpya, Vurugu za MBEYA Na Tamko la CHADEMA.
 
Unao ushahidi wa wazi wa wizi wa Lowassa?? Ninazungumzia ushahidi unaofanana kama ule wa wizi wa Kagoda ambao tumeuona hapa...! Kwa kutumia vigezo ambavyo umetumia kumhukumu lowassa tunaweza kusema hata Kikwete ni fisadi...
Alikuwa ni waziri wa nishati na madini wakati mkataba wa kinyonyaji wa IPTL unasainiwa,,, alivunja sheria kwa kutumia mamlaka yake ya kifalme kwa kurusu baadhi ya wezi wa EPA kurudisha fedha za wizi bila kushtakiwa....plus madudu mengine ...rejea orodha ya mafisadi(List of shame)...!

Ushahidi uliotolewa na Raia mwema ulikuwa sawa sawa na uliotolewa na Kagoda. Invisible alituletea ushahidi hapa wa manunuzi ya nyumba london yenye thamani ya zaidi ya £400,000. Unataka ushahidi gani mwengine zaidi yao huo? Vile vile ushahidi wa vimemo vya Richmond vilivyotoka kwa waziri mkuu vimo katika report ya Mwakyembe au unakataa? Worse enough unamsingizia JK kuhusu EPA hivi unajua aliyekuwa akisimamia account ya EPA BOT ni nani na mtoto wa nani ? Hebu jihangaishe kichwa chako kidogo.

Lete ufisadi wa JK kwa evidence mie nakuunga mkono vyenginevyo naona kama ni majungu na fitina tu!
 
Again Very LOW bro. Mie tu nina miaka 42 na hizo USD 490,000 mbona ninazo kwenye account yangu moja tu hapa Tanzania?. Sasa Lowassa na mvi zote hizo asiwe na hizo senti!! Unasoma darasa la ngapi ndugu yangu.
Unajua biashara za Lowassa?. Usiwe mfuata upepo kama wale wapenzi wa magazeti PENDWA.
Kimemo, tuonyeshe kwenye kimemo palipoandikwa toeni rushwa, pendeleeni, nipeni hela, nunua mtambo hewa au chakavu...etc. Waziri mkuu ana njia zipi za mawasiliano na mawaziri wengine?

Think basi kaka usitake magazeti yafikirie kuliko wewe. By the way they are just piece of shit papers.
 
Kaka/dada, nachelea kuanza kukuelewesha maana wajuzi watashindwa kujua nani kichaa. Alieibiwa nguo akioga au kichaa anayefukuzwa na alieibiwa nguo aliye uchi.

This is very LOW of you my friend. Giving and judging a person on hearsay and magazeti. LOL. lazima upo mdogo kisiasa na hata kimajadiliano.
Unakumbuka yaliyompata SAS (Salim A Salim) kwenye kampeni ya 2005?. Think again MAGAZETI. LOL

Poleeeeeeeee na byeee. sitokujibu mpaka ukue kidogo KISIASA.

This is crap dude. Ngoja nikuulize unadhani wizi wa ufisadi utaumbuliwa wapi kama sio magazeti? By the way unafahamu magazeti hayachapishi tuhuma pasina kuwa na vithibitisho? Sasa kwanini basi walichapisha habari hizo wakati hawana vithibitisho? Lowassa alishindwa nini kuwashtaki?

SAS aliandamwa na wabunge wabaguzi kutoka zanzibar hilo hakuna asiyelijua. Walimwita Hizbu kwasababu ya kuwa baadhi ya ndugu zake walikuwa wanachama wa chama cha ZNP. Wabunge hawa walimbagua Salim na kumjeruhi na magazeti yakaripoti hayo kama yalivyo sasa sifahamu kosa la magazeti lipi. Wao wanataka kuuza magazeti na habari kama hiyo lazima itauza magazeti.
 
Back
Top Bottom