Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Magamba magamba magamba magamba magamba magamba hawana huo uwezo wa maamuzi magumu, Coz EL wanamuogopa kama njaa. Na atatoa siri zote
 
Hii habari sijui kama ina ukweli kwani CCM hakuna mwenye sauti ya kukemea maovu na ufisadi. Nawaombea kila la kheri wamchague Lowassa kuwa mgombea wa uenyekiti 2012 na mgombea urais wa 2015. Vile vile waandae mazingira ya kuwa chama cha upinzani 2015.
 
Magamba magamba magamba magamba magamba magamba hawana huo uwezo wa maamuzi magumu, Coz EL wanamuogopa kama njaa. Na atatoa siri zote


Siri zote tayari zinajulikana...sema atatoa ushahidi kwa madudu yote wanayotuhumiwa kuwa waliyatenda kuingia Ikulu, kuibia Serikali, kuiba kura, etc
 
Kikao cha jana/leo ni tofauti sana na huko nyuma = Mkapa yupo. Hivyo tutarajie maamuzi magumu (good or bad) lakini lazima maamuzi magumu yatafanyika.
 
Kama ni UONGO napiga mtu jiwe!!
Ila mods naomba msiwape ban!! PLEASE!!
 
hiki kweli kimuhemhuhe kama hizo flash ulizopata zina uhakika basi kazi ndio imeanza.....:hug:
 
hii dhama ya kujivua gamba inasaidiaje matatizo ya kawaida ya watz?nashangaa jk wasijadili mkakati wa kutatua matizo ya wanatulea usanini,bora chadema wape hii nchi
 
Jamani eeee!hiyo ni ndoto ya mchana huyu nae alitaka tu watu tuchangie kwa wingi kwa kuwa alijua habari kama hii ina influence ya aina yake,tutafakari kidogo tu,hivi ni nani anaweza kumtoa Lowasa kwenye CCM?tena kumfukuza? hakuna kitu kama hicho hawawezi maana jamaa alishawagawana watu na jingine halitawezekana sababu mwenyekiti ni mshikaji wa jamaa ni lazima ampiganie kwa kila hali hata kama ni kutumia indirect way.Na kingine mtu hatoi source sasa tutamwaminije?
 
habari za uhakika,lowasa is da next president,mmemkwa ni mbeya like a gal,hajui aongeacho,mods pls ban him for LIFE.
 
Kwahiyo uchaguzi unarudiwa jimboni kwa white hair.......!!!!!!!!!!????
 
kinachofanyika hapa ni kupima upepo how Lowasa is acceptable to Tanzanian society particulaly YOUTH and no more,take care,habari za MMEKWA hazina tija,dara wala mwelekeo,mwongo na mzushi alie ishiwa,dont think of HIM.
 
Back
Top Bottom