kelele zote ambazo zitto,mnyika,pro-cdm mulizokuwa munapiga kuhusu mkonge nilijua wananchi wa tanga wapo upande wenu kumbe kimbelembele chenu ndicho kilichokuwa kinawasumbua.
Wananchi wa tanga hawapo tayari kuhusika kwenye kilimo cha mkonge,ushaidi wakimazingira unaonesha wazi kabisa jinsi wananchi walivyokataa kuitikia kwenye mkutano wa cdm. Picha zilizooneshwa kwenye media mbalimbali utagundua ninachonena.
Kwanza, mkutano uliuzuliwa na watu wachache,tofauti na mikutano mingi ya cdm.
Pili,hata hao tunaosema ni wachache kwenye uchache wao huohuo watoto wadogo ambao hawawezi kupiga kura hata baada ya 2015 kufikia ndio walikuwa weng kuliko hao watu wazima.
my take:
-kesheni mukiomba wa cdm cha chenu kiwe na mvuto sehemu mbalimbali ya tz.
-wabunge wenu wasipende kutia chapuo vitu ambavyo hawajafanyia uchunguzi.
ahsante mwenyekiti wa jumuiya ya walima mkonge tanga wasiotaka maendeleo, waliolala kimawazo, wasioona mbali, wenye tamaa ya kitu bila jasho, na ndiyo maana kwenu neno karibu ni poa kwaheri hakuna, kulaladek baadhi ya wanawake wamekuwa wavivu kukimbilia waume za watu tuu na kutafuta maisha kwa jasho halali hakuna...pumba mbovu
[/QUOTE wewe si mchadema majibu yenu na hoja zenu ni za jazba na matusi na ndiyo maana watanzania wamshawajua wanawanyima kura kama uamini utaona na kitakachowakuta jimbo la Arumeru!
Kwanza unajua maana yake??
ebana mtoa hoja kaishia wapi? mbona baada ya ushahidi jamaa kachoma?
Ata mm najua hawa CDM hawana mvuto maneno yao mengi kwenye mikutano yao ni ya kukosoa tu huwa hawaelezi nini kifanyike ni watu wa kulaumu tu sasa watanzania wameanza kuwashtukia wanawakimbia hawana mvuto, sera na agenda zao wawapo mikutanoni wanazungumzia mafisadi tu yani hawana jipya wenzao CCM wana sera zinazoeleweka na kutekelezeka huwa wanaeleza walihaidi nini na mpaka wakati huo kipi kimeshatekelezwa na kilichobaki kitatekelezwa lini watanzania wanawaelewa, watanzania wameshaanza kujua hiki chama cha CDM ni chama cha kindugu baba,mama,wakwe,wachumba,dada,kaka na urafiki umejaa humo lakini CCM ni chama cha watanzania wote yeyote ili mradi tu anazo sifa anaweza kuwa kiongozi lakini si kwa hawa CDM mpaka uwe ndugu,rafiki au shemeji hapo watakupa uongozi hawa jamaa huwa hawanaga demokrasia ya uchaguzi ndani ya chama chao wanaogopa kweli uchaguzi na siku ukisikia uchaguzi unafanyika kuanzia ngazi ya taifa ujue chama kinakufa kwa kuwa watataka walazimishe kuwaweka watu wao wanachama wao hawatakubaliana nao wanapiga kelele huku nje ya kutaka demokrasia na wakati ndani ya chama chao haipo,watalala doro kama wenzao CUF muda si mrefu kama wataendekeza undugu, urafiki, ubinafsi na siasa za jazba na uzushi ili kupata umaarufu!
Kelele Zote ambazo Zitto,mnyika,pro-cdm mulizokuwa munapiga kuhusu mkonge nilijua wananchi wa Tanga wapo upande wenu kumbe kimbelembele chenu ndicho kilichokuwa kinawasumbua.
Wananchi wa Tanga hawapo tayari kuhusika kwenye kilimo cha MkONGE,ushaidi wakimazingira unaonesha wazi kabisa jinsi wananchi walivyokataa kuitikia kwenye mkutano wa CDM. Picha zilizooneshwa kwenye media mbalimbali utagundua ninachonena.
Kwanza, mkutano uliuzuliwa na watu wachache,tofauti na mikutano mingi ya CDM.
Pili,hata hao tunaosema ni wachache kwenye uchache wao huohuo watoto wadogo ambao hawawezi kupiga kura hata baada ya 2015 kufikia ndio walikuwa weng kuliko hao watu wazima.
My take:
-kesheni mukiomba wa CDM cha chenu kiwe na mvuto sehemu mbalimbali ya Tz.
-Wabunge wenu wasipende kutia chapuo vitu ambavyo hawajafanyia uchunguzi.
Yaani mtu na §&%* zake timamu unakuwa mwanachama wa CDM.??Bora NCCR kuliko ili zimwi likujualo.
Walifikiri kumpeleka Zitto Tanga kwa jamaa zake itasaidia.
Watakuja muda si mrefu na siasa zao za taarabu.
Kweli huna akili,unaweka ppicha hiyo ukituambia ni mkutano wa CDM wakati nyuma kwenye iyo picha tunaona bendera nyingine.Au wewe kipofu?sikunyingine jipange kabla hujaweka picha za ajabu