Ata mm najua hawa CDM hawana mvuto maneno yao mengi kwenye mikutano yao ni ya kukosoa tu huwa hawaelezi nini kifanyike ni watu wa kulaumu tu sasa watanzania wameanza kuwashtukia wanawakimbia hawana mvuto, sera na agenda zao wawapo mikutanoni wanazungumzia mafisadi tu yani hawana jipya wenzao CCM wana sera zinazoeleweka na kutekelezeka huwa wanaeleza walihaidi nini na mpaka wakati huo kipi kimeshatekelezwa na kilichobaki kitatekelezwa lini watanzania wanawaelewa, watanzania wameshaanza kujua hiki chama cha CDM ni chama cha kindugu baba,mama,wakwe,wachumba,dada,kaka na urafiki umejaa humo lakini CCM ni chama cha watanzania wote yeyote ili mradi tu anazo sifa anaweza kuwa kiongozi lakini si kwa hawa CDM mpaka uwe ndugu,rafiki au shemeji hapo watakupa uongozi hawa jamaa huwa hawanaga demokrasia ya uchaguzi ndani ya chama chao wanaogopa kweli uchaguzi na siku ukisikia uchaguzi unafanyika kuanzia ngazi ya taifa ujue chama kinakufa kwa kuwa watataka walazimishe kuwaweka watu wao wanachama wao hawatakubaliana nao wanapiga kelele huku nje ya kutaka demokrasia na wakati ndani ya chama chao haipo,watalala doro kama wenzao CUF muda si mrefu kama wataendekeza undugu, urafiki, ubinafsi na siasa za jazba na uzushi ili kupata umaarufu!