Mumwi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 592
- 122
Kuna njano na kijani kwa mbele nitashangaa kama ni chadema hao wenye njano na kijani sio kwamba anawania ubwabwa?mmmmmmmm
Jamani hizi njaa nazo zikizidi mh!
Kuna njano na kijani kwa mbele nitashangaa kama ni chadema hao wenye njano na kijani sio kwamba anawania ubwabwa?mmmmmmmm
Jamani hizi njaa nazo zikizidi mh!
Bila kukosea wewe ni Joseph Mbilinyi.Hakuna hoja hapo utumbo mtupu.
Ahh, huyu hapa member mwingine wa CHADEMA akiongea na watoto. Kweli watoto ni Mungu, wapigie magoti.
Hizi ndyo fact tunazozitaka si kutoa maelezo bila vithibitisho....!!! Safi MkuuMzumbe aibu yako aibu ya Nape, haya sema sasa, kwa ushahidi huu wewe na Chadema nani mwenye kimbelele?
Kwanza Bwana Sikonge ututake radhi watu wa CHADEMA. Unaposema kuwa huyu katika picha hii ni wa CHADEMA, mbona hatuoni hata Bendera zetu? Badala yake kwa pembeni, kushoto tunaona mashati ya kijani, kofia za kijani na bendera za kijani. Ipo wapi rangi hata moja ya bendera za CHADEMA? Huyu Bwana aliyepiga magoti lazima atakuwa ni Bwana Ngeleja, au Maige. Mwangalieni kwa umakini. Sisi hatuna tabia ya kupiga magoti, maana wananchi wanajua thamani ya CHADEMA kwao.
Kelele Zote ambazo Zitto,mnyika,pro-cdm mulizokuwa munapiga kuhusu mkonge nilijua wananchi wa Tanga wapo upande wenu kumbe kimbelembele chenu ndicho kilichokuwa kinawasumbua.
Wananchi wa Tanga hawapo tayari kuhusika kwenye kilimo cha MkONGE,ushaidi wakimazingira unaonesha wazi kabisa jinsi wananchi walivyokataa kuitikia kwenye mkutano wa CDM. Picha zilizooneshwa kwenye media mbalimbali utagundua ninachonena.
Kwanza, mkutano uliuzuliwa na watu wachache,tofauti na mikutano mingi ya CDM.
Pili,hata hao tunaosema ni wachache kwenye uchache wao huohuo watoto wadogo ambao hawawezi kupiga kura hata baada ya 2015 kufikia ndio walikuwa weng kuliko hao watu wazima.
My take:
-kesheni mukiomba wa CDM cha chenu kiwe na mvuto sehemu mbalimbali ya Tz.
-Wabunge wenu wasipende kutia chapuo vitu ambavyo hawajafanyia uchunguzi.
Nimefuatilia mjadala huu tokea jana....Sasa natoa maksi zangu.
Mr Mzumbe,umechemka vibaya sana na umeangukia pua kwa kutoziweka hizo picha hapa na hoja zako ni dhaifu sana.
So nakupa 10% kama kifuta jasho ili siku nyingine ujipange kwa hoja mzuri zenye ushahidi wa ukweli.
Wachangiaji wengine wakiongozwa na Chief Sikonge,Albeto,Bigirita nk....nawapeni ushindi wa kishindo wa 90%
kwa hoja mzuri na ushahidi wa picha kutoka uwanja wa mapambano mkoani Tanga. Hongereni sana na musichoke
kuwaelimisha watu kama Mr Mzumbe kwa faida ya nchi yetu.
mkuu kuweka picha sio paka uambiwe ulitakiwa uweke kwa sababu sio watu wote wanaopata muda wa kuangalia tvkelele zote ambazo zitto,mnyika,pro-cdm mulizokuwa munapiga kuhusu mkonge nilijua wananchi wa tanga wapo upande wenu kumbe kimbelembele chenu ndicho kilichokuwa kinawasumbua.
Wananchi wa tanga hawapo tayari kuhusika kwenye kilimo cha mkonge,ushaidi wakimazingira unaonesha wazi kabisa jinsi wananchi walivyokataa kuitikia kwenye mkutano wa cdm. Picha zilizooneshwa kwenye media mbalimbali utagundua ninachonena.
Kwanza, mkutano uliuzuliwa na watu wachache,tofauti na mikutano mingi ya cdm.
Pili,hata hao tunaosema ni wachache kwenye uchache wao huohuo watoto wadogo ambao hawawezi kupiga kura hata baada ya 2015 kufikia ndio walikuwa weng kuliko hao watu wazima.
my take:
-kesheni mukiomba wa cdm cha chenu kiwe na mvuto sehemu mbalimbali ya tz.
-wabunge wenu wasipende kutia chapuo vitu ambavyo hawajafanyia uchunguzi.