MTOA mada, tambua wazi kuwa watanzania wengi hususani waswahili hawapendi kusikia mambo ya msingi mf.ukweli kuhusu kilima,ufugaji,uvuvi na biashara.wanapenda sebene za Diamond na wengine kama hao.CDM inazungumza ukweli na wanaoujua wanawakubali.Watoto pia wanautu na haki ya kuhudhuria na kushiriki la msingi tuu ni kwamba hawapigi kura.Na pia watoto ni watoa habari kwa wazazi na walezi wao.CDM is always structured and coordinated. Follow the river to get the fruits.
wewe kweli hamnazo,kipi unachojivunia hapo???
Una utani na NAPE wewe ushaona CDM ina njano na kijani? Angalia kushoto kwa huyo gamba aliyepiga magoti!
***** huu!!, eti member wa CHADEMA, hizo bendera za kijani zinafanya nini kama ni mkutano wa CHADEMA?
nikweli hata kwa mbali naona sare za chadema ??????
Kweli huna akili,unaweka ppicha hiyo ukituambia ni mkutano wa CDM wakati nyuma kwenye iyo picha tunaona bendera nyingine.Au wewe kipofu?sikunyingine jipange kabla hujaweka picha za ajabu
CDM hovyo kabisa!!bado mulete fact,mng'ang'ania mwandishi hajui kiswahili....kama huu ndio utetezi basi mutaendelea kupata kula za kaskazini miaka yote...
Eti Huyu ndiye Mwakilishi wa CCM hapa JF. Ni vizuri vijana wa CCM kama Mwigulu wakawa wanawakana hawa Mamluki maana wanafanya tudhani kwamba CCM wote ndivyo Mlivyo. Rejao huyu jamaa wenu?
Eti Huyu ndiye Mwakilishi wa CCM hapa JF. Ni vizuri vijana wa CCM kama Mwigulu wakawa wanawakana hawa Mamluki maana wanafanya tudhani kwamba CCM wote ndivyo Mlivyo. Rejao huyu jamaa wenu?
Naona Dada Mzumbe Amesikia Sauti za Nne Amesepa. Dada Tulia Utaolewa Bado Mwanafunzi. By The Way hujatueleza Unasoma Mzumbe Chuo au Mzumbe Girls? Tuko Hapa Vijana wa Ilboru Bado hatujaoa
CDM hoja zimekwisha kilichobaki kebehi,lugha chafu ....
Ahh, huyu hapa member mwingine wa CHADEMA akiongea na watoto. Kweli watoto ni Mungu, wapigie magoti.
![]()
Ukitafuta hupaswi kuona aibu!mmmmmmmm
Jamani hizi njaa nazo zikizidi mh!
CDM hovyo kabisa!!bado mulete fact,mng'ang'ania mwandishi hajui kiswahili....kama huu ndio utetezi basi mutaendelea kupata kula za kaskazini miaka yote.
Bila kukosea wewe ni Joseph Mbilinyi.Hakuna hoja hapo utumbo mtupu.
Mwandishi ana kiswahili cha mtu asiyejua kusoma wala kuandika