Kilimo Cha mpunga kinalimwa mikoa mingi Tanzania sio Mbeya na Morogoro watu walivyo kalili

ngomaxtz

Member
Joined
Jun 6, 2025
Posts
43
Reaction score
62
Kwa wadau wa kilimo hasa kilimo Cha mpunga Kwa mikoa ile maarufu Kwa uzarishaji wa mpungu ushindani umekua mkubwa , wakulima wamekua wengi na aridhi ndogo ivyo inapelekea mashamba kupatikana Kwa gharama mkubwa Kwa wale wanaokodisha

Kwa uzoefu nilio nao mfano mikoa wa Mbeya wilaya ya Mbalari kuna mashamba makubwa sana ya mpunga lakini kutokana na wakulima kuwa wengi inapelekea mashamba kupatikana Kwa bei kubwa sana ukilinganisha mikoa ambayo sio maarufu.

Mbalari mikoa Mbeya mashamba yanakodishwa laki nne hadi tano ambayo Kwa mikoa wa Tanga sehemu wanaita lunguza wanaokodisha erfu 70 hadi laki 1 na aridhi zuri aijatumika miaka mingi. Kuna mikoa kama iringa, songea, mikoa ya Kanda ya ziwa mpunga unakubari na uzarishaji ni nafuu sana, hoja yangu kuwa wewe unayetaka kulima na mtaji ni mdogo nenda sehemu ambazo azina ushindani mkubwa sana utatoboa kirahisi.
 
Attachments

  • FB_IMG_1749280768816.jpg
    FB_IMG_1749280768816.jpg
    102.8 KB · Views: 24

Mkoa wa ruvuma sehemu gani mpunga unakubali kama mbarali?
 
Labda wewe ndio umekariri
 
Hata Dodoma wilaya ya Bahi!
 
Mpunga unalimwa almost mikoa yote Tanzania isipokuwa Arusha, Manyara, Dodoma, Singida na Kilimanjaro. Nazungumzia at least medium scale.
Si kweli Kilimanjaro mimi nimeshuhudia wana skimu za mashamba zaidi ya mia tano mpunga unalimwa sana labda sio Kilimanjaro ya Tanzania.. Arusha mpunga unalimwa .. Manyara mpunga unalimwa ..
 
Uko sahihi ila mikoa niliyoitaja ni kwa scale ndogo sana kulinganisha na mikoa mingine.

Kilimanjaro najua unalimwa pale Mabogini karibu na TPC, Arusha unalimwa maeneo ya Usa River, Manyara pale Magugu but very litle.

Dukani au sokoni ulishawahi kusikia mchele wa Moshi? Au Arusha? Kama ambavyo iko michele ya Mbeya (Kyela, Mbarali) au Ifakara, Mang'ula? Au Shinyanga? Au Iringa?

Niliongea kwa muktadha huo.
 
Kwa wadau wa kilimo hasa kilimo Cha mpunga Kwa mikoa ile maarufu Kwa uzarishaji wa mpungu ushindani umekua mkubwa , wakulima wamekua wengi na aridhi ndogo ivyo inapelekea mashamba kupatikana Kwa gharama mkubwa Kwa wale wanaokodisha

Kwa uzoefu nilio nao mfano mikoa wa Mbeya wilaya ya Mbalari kuna mashamba makubwa sana ya mpunga lakini kutokana na wakulima kuwa wengi inapelekea mashamba kupatikana Kwa bei kubwa sana ukilinganisha mikoa ambayo sio maarufu.

Mbalari mikoa Mbeya mashamba yanakodishwa laki nne hadi tano ambayo Kwa mikoa wa Tanga sehemu wanaita lunguza wanaokodisha erfu 70 hadi laki 1 na aridhi zuri aijatumika miaka mingi. Kuna mikoa kama iringa, songea, mikoa ya Kanda ya ziwa mpunga unakubari na uzarishaji ni nafuu sana, hoja yangu kuwa wewe unayetaka kulima na mtaji ni mdogo nenda sehemu ambazo azina ushindani mkubwa sana utatoboa kirahisi.
hapa kapunga
 
Michele unajulikana kama Michele wa mbeya , unatoka kyela (mbeya)
Na Rukwa (kamsamba)
 
Mpunga unalimwa almost mikoa yote Tanzania isipokuwa Arusha, Manyara, Dodoma, Singida na Kilimanjaro. Nazungumzia at least medium scale.
manyara wanalima pale magugu'kilimanjaro wanalima kule ndungu same.dodoma wanalima pale bahi.singida manyoni na itigi
 
Very little! Chakula cha wakulima na familia zao sio wa kupelekwa sokoni.
 
Mbarali ni large scale mzee, Wana highland Estates na Kapunga. Huku hawategemei mvua ni umwagiliaji ingawa ni gharama Sana kilimo cha kisasa.
 
hapa kapunga
Hata apo kapunga au pale ubaruku mbarali mashamba nigharama sana kukodisha hasa yalio chini ya wawekezaji na gharama ya kuzalisha ipo juu sana kila mtu anataka kulima na wageni ni wengi wanamwaga pesa zao ndio inaleta ushindani bei zinakua juu
 
Back
Top Bottom