Kilimo cha Mihogo(Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake | Page 16 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimo cha Mihogo(Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by JamiiForums, Aug 7, 2011.

 1. JamiiForums

  JamiiForums Official Robot

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 5,104
  Likes Received: 2,304
  Trophy Points: 280
  Wakuu,
  Kutokana na uhitaji wa kuwepo mjadala endelevu na wa tija kwa wajasiriamali, tumeona ni vema tukaweka hii thread kwa maslahi ya wengi.
  Tunashauri Mjadala huu ujikitae kwenye maeneo yafuatayo:

  1. Aina za mihogo na maeneo inakostawi vizuri
  2. Misimu ambayo mihogo inapandwa ni miezi ipi? Inaweza kupandwa misimu yote ya mwaka?
  3. Mihogo inashambuliwa na magonjwa yapi? Zipi mbinu za kukabiliana na maradhi hayo?
  4. Mihogo inachukua muda gani tangu kupandwa hadi kuvunwa?
  5. Hekari moja inaweza kutoa magunia mangapi ya mihogo?
  6. Masoko ya mihogo na bidhaa zake ndani na nje ya nchi yapoje?
  Asante

  ===============================================
  Michango ya wadau mbalimbali kuhusu kilimo cha mihogo
  =============================================
   
 2. h

  hel b New Member

  #301
  Nov 1, 2017
  Joined: Jun 11, 2014
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nkuna fursa nimeikia kwenye redio ikitangazwa juu ya kilimo cha mihogo. Fursa hio inaletwa na wachina wao wanasema watakupa mbegu bure awali utalima na watanunua mihogo toka kwako wao wenyewe. Mihogo hiyo wanatumia kutengeneza starch vyakula vya kuku nk. Kama kuna mdau yeyote mwenye contact za hao wachina au anaye weza facilitate nifanikiwe kukutana nao.. msaada please
   
 3. h

  hel b New Member

  #302
  Nov 1, 2017
  Joined: Jun 11, 2014
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Z
  Hii link iko invalid
   
 4. xxxxlevel

  xxxxlevel Member

  #303
  Nov 3, 2017
  Joined: Sep 20, 2015
  Messages: 50
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 15
  Habari wana janvi!!!!!

  kwa yeyote anaefahamu upatikanaji wa mbegu bora za muhogo ambazo zilifanyiwa utafiti na kuthibitika kustaihimiri magonjwa mbalimbali na ukame, pia zenye kutoa mazao kwa wingi anakaribishwa...............................
  .......................................................................................................
  ................................................................................................................................
  ................................................................................................................................................
   
 5. kukumdogo

  kukumdogo JF-Expert Member

  #304
  Nov 3, 2017
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 826
  Likes Received: 581
  Trophy Points: 180
  Kawaulize wala mihogo sisi hatuli mihogo. We unauliza maswali ya mbegu umeambiwa JF kuna mla mihogo.
   
 6. Chupayamaji

  Chupayamaji JF-Expert Member

  #305
  Nov 3, 2017
  Joined: Sep 19, 2017
  Messages: 932
  Likes Received: 1,117
  Trophy Points: 180
  Aiseeee
   
 7. xxxxlevel

  xxxxlevel Member

  #306
  Nov 3, 2017
  Joined: Sep 20, 2015
  Messages: 50
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 15
  asante kwa maoni
   
 8. xxxxlevel

  xxxxlevel Member

  #307
  Nov 3, 2017
  Joined: Sep 20, 2015
  Messages: 50
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 15
  asante mwana janvi
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #308
  Nov 3, 2017
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 21,673
  Likes Received: 9,213
  Trophy Points: 280
  Unajuaje kwamba JF hakuna wala mihogo??
   
 10. bongo nyoso

  bongo nyoso JF-Expert Member

  #309
  Nov 3, 2017
  Joined: Aug 5, 2017
  Messages: 307
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  Hao ndio binadam ndugu
   
 11. Kine3

  Kine3 JF-Expert Member

  #310
  Nov 3, 2017
  Joined: Jan 29, 2013
  Messages: 288
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 60
  Mbona umekosa ustaarabu?
   
 12. kasulamkombe

  kasulamkombe JF-Expert Member

  #311
  Nov 3, 2017
  Joined: Oct 3, 2017
  Messages: 2,268
  Likes Received: 2,377
  Trophy Points: 280
  MBEGU NZURI NI KIROBA NA NALIENDELE HUZAA TANI 20 KWA HEKTA MOJA NA INAKOMAA BAADA YA MIEZI TISA
   
 13. wa hapa hapa

  wa hapa hapa JF-Expert Member

  #312
  Nov 3, 2017
  Joined: Aug 20, 2014
  Messages: 237
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Na aibu pia
   
 14. kasulamkombe

  kasulamkombe JF-Expert Member

  #313
  Nov 3, 2017
  Joined: Oct 3, 2017
  Messages: 2,268
  Likes Received: 2,377
  Trophy Points: 280
  KUNA WATU WENGINE HAWATAKIWI KUWA JF NA HAWAJUI KWA NINI TUPO HUKU.USTAARABU SIFURI.VUMILIA BRO HII NDIO TANZANIA YETU NIMEKUANDIKIA MBEGU HAPO CHINI NZURI
   
 15. xxxxlevel

  xxxxlevel Member

  #314
  Nov 4, 2017
  Joined: Sep 20, 2015
  Messages: 50
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 15
  Asante!!!!! mbegu hii inapatikana wap??? chanzo cha kuaminika!
   
 16. kasulamkombe

  kasulamkombe JF-Expert Member

  #315
  Nov 4, 2017
  Joined: Oct 3, 2017
  Messages: 2,268
  Likes Received: 2,377
  Trophy Points: 280
  KITUO CHA UTAFITI NALIENDELE LINDI NA MOROGORO SUA NA KUNA SEHEMU HAPO DAR NA PWANI ILA SINA MAWASILIANO YAO NILIPOTEZA
   
 17. xxxxlevel

  xxxxlevel Member

  #316
  Nov 4, 2017
  Joined: Sep 20, 2015
  Messages: 50
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 15
  pale sua hazipo kwa sasa, make nilienda kuulizia j/tatu
   
 18. farah hassan

  farah hassan JF-Expert Member

  #317
  Nov 4, 2017
  Joined: Apr 9, 2016
  Messages: 491
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 80
  Nahitaji tani 50 Mihogo mikavu.nanunua kwa 350tsh kilo
   
 19. proxy

  proxy JF-Expert Member

  #318
  Nov 4, 2017
  Joined: Jul 3, 2016
  Messages: 841
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 180
  Mkuu Mimi Nina kikundi changu tunategemea kukusanya zaidi ya tani 100,hivi soko lipoje?
   
 20. farah hassan

  farah hassan JF-Expert Member

  #319
  Nov 5, 2017
  Joined: Apr 9, 2016
  Messages: 491
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 80
  Upo wapi mkuu
   
 21. farah hassan

  farah hassan JF-Expert Member

  #320
  Nov 5, 2017
  Joined: Apr 9, 2016
  Messages: 491
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 80
  Soko upo tatizo ni bei.
   
Tags:
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...