Nkuna fursa nimeikia kwenye redio ikitangazwa juu ya kilimo cha mihogo. Fursa hio inaletwa na wachina wao wanasema watakupa mbegu bure awali utalima na watanunua mihogo toka kwako wao wenyewe.
Mihogo hiyo wanatumia kutengeneza starch vyakula vya kuku nk. Kama kuna mdau yeyote mwenye contact za hao wachina au anaye weza facilitate nifanikiwe kukutana nao.. msaada please