Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

Habari za majukumu wadau wa Jf. Nahitaj mwenye mawazo au mwenye kuelewa anishauri. Nahitaji kulima mihogo kwajir ya biashara lakin nahitaji ushaur wa aina gani ya mhogo wenye soko kwa sasa. Pia masoko yake yapoje kwasasa. Bila kusahau changamoto zake.kilimo nafanya mkoa wa Tanga. Naomba kuwasilisha.
 
Kuna wanaolima au wanaoweza kuni link na wakulima wa miogo Iringa waniunganishe niwape dili zuri.
 
Wakuu ni mbegu gani kwa sasa inatamba sokoni ambayo muhogo wake bei iko juu kuliko mingine?

Pia napenda kujua kwa anaye ijua hii mbegu inaitwa MKURANGA ONE ina sifa gani?
 
Habari wataalam wa kilimo, leo nimepata wazo la kuanzisha kilimo cha Muhogo na viazi.
Kwa kuzingatia masoko na gharama za uendeshaji, nimeona nichague eneo zuri lililopo karibu na Dar ninapoishi.

Kwa upande wa kusini maeneo ambayo yana nafasi ni Kuanzia Mkuranga, kibiti na rufiji ila tatizo hali si shwari kwa ajili ya kuanzisha shughuli za kiuchumi kwa sasa.

Je, eneo gani la PWANI la karibu zaidi upande wa kaskazini, mashariki au magharibi ambalo naweza kununua shamba kwa bei nafuu na ni zuri kwa kilimo cha MUHOGO na viazi?
Njoo bagamoyo kuna aridhi nzuri ya MUHOGO,NANASI,MAHINDI NA MIFUGO PIA KAMA MBUZI KUKU. Patakufaa tu.kwa hapa fukayosi kwa sasa bei ya shamba iko juu heka 1 ni 2 Million. Ila kwa kiwangwa heka ni laki 7 tu. Maongezi wanakubali pia. Mm majuzi nimechukua pale fukayosi heka zng mbili tu.kwajili ya project zangu kama hz.

c0a542a28fa159ae9b002496fda8a316.jpg

0a773564e31f8053f52caef54cebaf8c.jpg
 
Njoo bagamoyo kuna aridhi nzuri ya MUHOGO,NANASI,MAHINDI NA MIFUGO PIA KAMA MBUZI KUKU. Patakufaa tu.kwa hapa fukayosi kwa sasa bei ya shamba iko juu heka 1 ni 2 Million. Ila kwa kiwangwa heka ni laki 7 tu. Maongezi wanakubali pia. Mm majuzi nimechukua pale fukayosi heka zng mbili tu.kwajili ya project zangu kama hz.
c0a542a28fa159ae9b002496fda8a316.jpg

0a773564e31f8053f52caef54cebaf8c.jpg
Naomba nisaidie mawasiliano yako mkuu.
 
Wakuu nimevutiwa sana na kilimo cha mihogo naomba mwenye uzoefu anisaidie tafadhali ni wakati gani namaanisha maimu hasa hupandwa na pia mbegu bora na changamoto zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom