Naomba kujuzwa zaidi kuhusu Kilimo cha mihogo

The ice breaker

JF-Expert Member
Apr 20, 2023
543
1,163
Bonjour

Wakuu nimepata idea ya kulima kilimo Cha mihogo kibiashara, ila nahitaji kufahamu vitu

Ni maeneo gani naweza kupata shamba

Aina ya mbegu inayo faa Kwa matokeo mazuri

Gharama ya kununua au kukodi shamba Kwa heka moja

Ni muda gani sahihi Kwa kulima Cha mihogo

Hari ya soko , I mean demand and supply

Na bei ya kununulia mihogo
 
Hongera sana mkuu! Uko wapi?

Mashamba yapo maeneo mengi tu nchini kwetu: Pwani, Singida, Kigoma, Morogoro, Katavi, n.k.
 
Nipo dar kigamboni
Nilijaribu kulima kipindi cha 2018/19, ijapokuwa sikuwa na idea nayo ila kutokana na muongozo wa mawili matatu kwa watu nilibahatika kulima kama ekari 3.5,
Mimi nililimia kibiti maeneo ya PAGAE

MCHANGANUO WAKE
*Kuandaa shamba ilikuwa 50k kwa ekari moja
*kupanda 30k kwa ekari,kipindi cha kuandaa shamba ilikuwa ni mwezi wa tisa na mpaka ilivyofika mwezi wa 11 tulipanda mbegu.
*Palizi tulikuwa tunagawa kila robo heka ni 5k
*Mbegu ilikuwa shilingi 10k kwa mzigo moja ambao una wastani wa kupanda ekari moja
aina ya mbegu tulizopanda kipindi hiko ilikuwa ni MKAGILE,.MWEUPE n.k,

*Palizi hufanyika mara tatu mpaka unavuna

MAZINGATIO
*Hakikisha unaanda shamba lako vyema
*Usiwe na kilimo cha kupiga simu haswa kipindi cha kupanda na kipindi cha palizi, hakikisha unakuwepo kwenye matukio yote hayo
*Usiwaamini binadamu, haswa sisi tulikutana na watu wasio waamini(Wandengereko) sio wa kuwaamini sana,walianza kuvuna mihogo kabla yetu sisi
*Uwe na uvumilivu katika kusubiri mfano sisi tulipanda mwezi 11,.tukaja kutoa muhogo mwezi 5/6 kulingana na mbegu.

Ingawa nilikumbana na changamoto ya kuto kuuza muhogo nje kutokana na agizo la Mwendazake la kuzuia kutokuuza muhogo.nje ya mipaka,.ilipelekea muhogo kukosa soko mwishowe tukaangukia pua, mwaka ujao,.INSHAALLAH nataka nijiweke sawa nirudi ULINGONI.
 
Gudi Sana blaza
 
Uhakika
 
Sina Nia ya kuharibu Uzi wa watu,ila ni ushuhuda wangu, Niliingia katika kilimo hiki 2017 maeneo ya Kimanzichana wilaya Mkuranga,kipindi hicho muhogo ndio ulikuwa habari ya mjini,nikapiga heka zangu zaidi ya 20. muhogo ukastawi sana,tatizo lilikuja KWENYE mauzo, sitarudia tena kilimo cha muhogo kibiashara,nikaamua kugeuka na kujikita KWENYE kilimo cha korosho,
 
Changamoto ilikuwa nin mkuu, shea nasi plz
 
Bonjour

Wakuu nimepata idea ya kulima kilimo Cha mihogo kibiashara, ila nahitaji kufahamu vitu

Ni maeneo gani naweza kupata shamba

Aina ya mbegu inayo faa Kwa matokeo mazuri

Gharama ya kununua au kukodi shamba Kwa heka moja

Ni muda gani sahihi Kwa kulima Cha mihogo

Hari ya soko , I mean demand and supply

Na bei ya kununulia mihogo
Mbegu nzuri ya mihogo inaitwa Rasta
 
Nilijaribu kulima kipindi cha 2018/19, ijapokuwa sikuwa na idea nayo ila kutokana na muongozo wa mawili matatu kwa watu nilibahatika kulima kama ekari 3.5,
Mimi nililimia kibiti maeneo ya PAGAE

MCHANGANUO WAKE
*Kuandaa shamba ilikuwa 50k kwa ekari moja
*kupanda 30k kwa ekari,kipindi cha kuandaa shamba ilikuwa ni mwezi wa tisa na mpaka ilivyofika mwezi wa 11 tulipanda mbegu.
*Palizi tulikuwa tunagawa kila robo heka ni 5k
*Mbegu ilikuwa shilingi 10k kwa mzigo moja ambao una wastani wa kupanda ekari moja
aina ya mbegu tulizopanda kipindi hiko ilikuwa ni MKAGILE,.MWEUPE n.k,

*Palizi hufanyika mara tatu mpaka unavuna

MAZINGATIO
*Hakikisha unaanda shamba lako vyema
*Usiwe na kilimo cha kupiga simu haswa kipindi cha kupanda na kipindi cha palizi, hakikisha unakuwepo kwenye matukio yote hayo
*Usiwaamini binadamu, haswa sisi tulikutana na watu wasio waamini(Wandengereko) sio wa kuwaamini sana,walianza kuvuna mihogo kabla yetu sisi
*Uwe na uvumilivu katika kusubiri mfano sisi tulipanda mwezi 11,.tukaja kutoa muhogo mwezi 5/6 kulingana na mbegu.

Ingawa nilikumbana na changamoto ya kuto kuuza muhogo nje kutokana na agizo la Mwendazake la kuzuia kutokuuza muhogo.nje ya mipaka,.ilipelekea muhogo kukosa soko mwishowe tukaangukia pua, mwaka ujao,.INSHAALLAH nataka nijiweke sawa nirudi ULINGONI.
Tunashukuru sana kwa mwongozo huu ubarikiwe sana naomba ushauri pa kupata mbegu nzuri za mihogo , maana na mimi nataka niipange huu mwaka.
 
Sina Nia ya kuharibu Uzi wa watu,ila ni ushuhuda wangu, Niliingia katika kilimo hiki 2017 maeneo ya Kimanzichana wilaya Mkuranga,kipindi hicho muhogo ndio ulikuwa habari ya mjini,nikapiga heka zangu zaidi ya 20. muhogo ukastawi sana,tatizo lilikuja KWENYE mauzo, sitarudia tena kilimo cha muhogo kibiashara,nikaamua kugeuka na kujikita KWENYE kilimo cha korosho,
Ungejizima dawa ukamenya muhogo wote na kuuanika Kisha ukapaki makopa kwenye magunia utatafuta stoo , ukaifanyia fumigation ukapaki makopa kwenye pallet kila baada ya miezi 5- 6 unafanya fumigation kuzuia wadudu waharibifu naamini ungepata zaidi niliwahi fanya miaka ya nyuma nilipata sana coz watu wenye kisukari wengi wanatumia unga wa muhogo sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom