Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

Dr politics,

Habari mkuu, hivi ninapoandika nipo ktk wilaya ya kibiti, kata ya bungu, kijijini nymbunda ambako hakuna hata kiongozi mmoja ktk serikali ya kijiji. Wote walishauwawa na hao magaidi. Lakini maisha na shughuli zetu zinaendelea.

Karibu mkuu uje uchapekazi. Huku muhogo unastawi sanaaaaaa, na gharama za kununua au Kukodi shamba ni rahisi sana.
Zitaje hapa sasa kuwa kukodi ni gharama ngapi.
 
50000 kwa msimu mmoja
watu wanashindwa kuja kufanya kilimo bado hofu ipo juu ya mauaji mungu tusaidie nashukuru sana ndugu tejeteja kwa majibu yako nakuja na maswali mengine kwa wanaohitaj kujua zaidi a b c za kilimo cha mihogo
 
Ila kuna story nazisikia kuwa hayo maeneo ya mkuranga kuna mambo ya ushirikina, wanasema ukilima mavuno yanakuwa madogo sanaaa....
 
Ila kuna story nazisikia kuwa hayo maeneo ya mkuranga kuna mambo ya ushirikina, wanasema ukilima mavuno yanakuwa madogo sanaaa....
Hayo ni maneno tu, wawekezaji wanakuja kutoka nchi za mbali na wanajichukulia fursa.
 
Mara nying sana mkoa wa pwan ukitoa mitaaya ruvu sehem nyungine kama mkuranga,kibit na huko masaki ndan na kule kojoa ulale njia ya dondwe hawakodishi mashamba hua wanauza,,msipate shida mashamba huko mkuranga unapata mpka laki mbili unusu kwa hekar,,ila wanapenda ununue kuanzia nne,,maeneo bado yapo ni kazi kwako tu.

Pia kuna mapori nayafuatilia huku njia ya mwanzo mgumu unakatiwa tu unavyoweza mwenyewe,kazi kwako kufyeka,ardhi haijawah kulimwa na ni ule udongo mweus,,nitawatafuta walimaji kule then nitawapa mrejesho.
 
Sawa mkuu, fanya hivyo utufahamishe.
 
Sawa mkuu, fanya hivyo utufahamishe...
Kwa mtu anaanza kulima kwa mara ya kwanza ni vyema asianze kulima ktk eneo la msitu kuna matatizo yake kwanza gharama yake inaongezeka Sana, pili mihogo inakuwa inapinda pinda kutokana na mizizi ya miti. Na wakati wa Kuvuna huwa inatoka kwa taabu Sana.

Ushauri wangu ukipata eneo la msitu ni vyema miaka miwili ya kwanza ulime mazao kama ufuta, mahindi au kunde. Afu miaka itakayofuata lima muhogo.

Kijana kama unataka kulima muhogo eneo la pwani, kodi shamba ambalo limeshalimwa na usikimbilie kuanza kufyekesha msitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom