Kilichotutokea jana Bambalaga - Dodoma

Tukiwa tunapta vinywaji tukiwa na jamaa zangu, mmoja wetu alimtaka demu mmoja mbaye inaonekana alikuwa muuzaji wa K, jamaa alimwimbisha demu akakubali akajumuika na sisi.

Yule demu alikuwa anafanya movement ambazo nizitilia shaka, mara kadhaa alikuwa anaenda kuongea na mabaunsa sikujua walikuwa wanaongea nini lakini niligundua aliakuwa wanafanya mipango ya kumdhuru jaama ya yetu, alimchukuwa jamaa na kwenda kwenye parking ili huku yule demu akiwa ameshika chupa yake (ya huyu binti), Binafsi kwakuwa nilishamtilia shaka na mimi nikanyanyuka bila wao kujua nikawa nawafutilia, Basi yule demu akaanza kumpa yule jamaa denda, huku akitomasa mshikaji.

Bada ya dk kama 5 hivi nikaona jamaa yupo hoi kalegea balaa demu akawa kamuacha wakaja jamaa wawili mmoja ni dogo mmoja mweusi hivi alikuwa anaangalia watu ikiwa walikuwa wanapata huduma na mwingine ni muhudumu wa kiume mweupe hivi. Walianza kumpapasa jamaa wachukuwe simu na wallet ilibidi nishitue oya mbona unataka kumubia mshikaji, wakaanza kuwa na hofu, ahaaa kalewa tunataka tumsaidie mara ooh hajalipa bili alitaka kukimbia, ikawa mzozo balaa.

Huwezi amini mabaunsa walikuja wakamkomalia jamaa alitaka kuondoka bila kulipa bili, chap wakaandika karatasi ya bili 48,000, wakati bili hiyo tuliilipa mapema kabisa.

Kwakuwa jamaa walikuwa wamejipanga ikabidi tu nilipe tena kwa niaba ya jamaa ili kumnusuru maana niliona jamaa wamedhamiria.

Ikibidi tuondoke ila jamaa akawa hajitambui, mchana huu ndiyo anapata nafuu.

Inaonekana wale wadada poa wanashirikiana na wafanyakazi wa pale kuwawekea wateja madawa ya kulevya

Kwa hiyo ndugu zangu mkienda pale muwe na taadhari sana.
Tz inatisha! Polisi hivyo, siasa hovyo, serikali hovyo. Wananchi tunaishi Kwa ubabe tu.
 
Umefanya ujinga kutoripoti polisi hili tukio maana hakijakaa sawa.
 
Weka jina la baa tuokoane walevi turushe na whatsapp
 
Hicho kibaa kina mambo ya aibu na uhuni sana Dodoma nzima, huwa kinamilikiwa na Jamaa mmoja mfupi anaitwa mtei.
Ni bar ya kihuni kwani wahudumu ni wahuni, walinzi ni wahuni na wanaenda wahuni tu pale, mtu na heshima yako ukienda pale lazima ukimbie!
 
Kinachoudhi zaidi unakuta vijana wa kiume wanafanana na dada zao.

Wengine wametinda nyusi, scribes za nguvu, kucha wamepaka rangi n.k.

Wengine ukiwaangalia umri umesonga lakini wana-act u-tinagers!!

Kazi ipo!!

Inakera sana na kusikitisha,
 
Ila Dodoma kwa umalaya Sasa haijambo! Watoto wanauza K kama nanasi za Chalinze. Sio Malaika,Mara kule Chako,Mara Bambalaga,Mara sijui CBC. Sitasahau,Ile nimeshuka tu Toka kwenye Mwewe wetu wa Taifa- AirTZ Ile mdogomdogo natoka getin nikachukua boda. Atari sana, sikujivunga nikamshirikisha boda. Bodaboda aliwahi niunganisha na mtoto Mkale maeneo ya Makole, tukachati badae mtoto akanambia ngoja kwanza nikutumie picha zangu unione, kama ukinielewa sawa, ntakuja. Duuu! Ile anatuma 2 za mwanzo tu.Nikamwambia njoo haraka. Nilikula mzigo safi, mpaka nikabaki nasikiliza wimbo... Jaman Dodomaaa, Dodoma yetu. Nina Imani mwaka huu nitaenda tena Dom,nikale nyama ya kisi. Hao malaya wa Bambalaga wakomeshwe mapema,au pafungwe maana wanatunyima viongozi watarajiwa kula maisha na kuweka akili freshi.
Jamani dodoma eeeheee
 
Tukiwa tunapta vinywaji tukiwa na jamaa zangu, mmoja wetu alimtaka demu mmoja mbaye inaonekana alikuwa muuzaji wa K, jamaa alimwimbisha demu akakubali akajumuika na sisi.

Yule demu alikuwa anafanya movement ambazo nizitilia shaka, mara kadhaa alikuwa anaenda kuongea na mabaunsa sikujua walikuwa wanaongea nini lakini niligundua aliakuwa wanafanya mipango ya kumdhuru jaama ya yetu, alimchukuwa jamaa na kwenda kwenye parking ili huku yule demu akiwa ameshika chupa yake (ya huyu binti), Binafsi kwakuwa nilishamtilia shaka na mimi nikanyanyuka bila wao kujua nikawa nawafutilia, Basi yule demu akaanza kumpa yule jamaa denda, huku akitomasa mshikaji.

Bada ya dk kama 5 hivi nikaona jamaa yupo hoi kalegea balaa demu akawa kamuacha wakaja jamaa wawili mmoja ni dogo mmoja mweusi hivi alikuwa anaangalia watu ikiwa walikuwa wanapata huduma na mwingine ni muhudumu wa kiume mweupe hivi. Walianza kumpapasa jamaa wachukuwe simu na wallet ilibidi nishitue oya mbona unataka kumubia mshikaji, wakaanza kuwa na hofu, ahaaa kalewa tunataka tumsaidie mara ooh hajalipa bili alitaka kukimbia, ikawa mzozo balaa.

Huwezi amini mabaunsa walikuja wakamkomalia jamaa alitaka kuondoka bila kulipa bili, chap wakaandika karatasi ya bili 48,000, wakati bili hiyo tuliilipa mapema kabisa.

Kwakuwa jamaa walikuwa wamejipanga ikabidi tu nilipe tena kwa niaba ya jamaa ili kumnusuru maana niliona jamaa wamedhamiria.

Ikibidi tuondoke ila jamaa akawa hajitambui, mchana huu ndiyo anapata nafuu.

Inaonekana wale wadada poa wanashirikiana na wafanyakazi wa pale kuwawekea wateja madawa ya kulevya

Kwa hiyo ndugu zangu mkienda pale muwe na taadhari sana.
""Mlikuwa na jamaa zenu""...ina maana mlikuwa zaidi ya wawili (watatu n.k) mnawezaje kulazimishwa/kubambikiwa bili mkiwa wengi/mnajitambua?!?!?

Wakat wa huo mzozo, wenzenu hawakuja kuongeza support?!?!
 
Ilishanitokea hiyo Kampala siatasahau , nilikokota pisi maeneo ya speke road nikaipeleka Hotel, nilinyonya sana maziwa mwisho wa siku nilikuja kushtuka saa nane mchana ila uzuri ChuMbAN ilikuwa nimelipia zaidi ya siku MOJa
Malaya hanyonywi nyonyo au sehemu za Siri, ukiwa malaya inabidi uwe smart mtajageuzwa na madildo yakiume ooh. Malaya wengi hujipaka madawa kwenye nyonyo zao shtukeni
 
Back
Top Bottom