Kilichotutokea jana Bambalaga - Dodoma

Malaya anamla denda malaya mwenzie.
Smh.
Mnapapatika mno mjini. Mtakuja mfanyiwe kitu msisahau. Ohooo. Bar zinakuwaga na majambazi na club 84 zamani ndio ilikuwa michezo yao.
 
Umeandika kama levi fulani hivi. Edit ili isomeke vizuri we mgogo wa Kongwa
sijaona mahali pa kuEdit na wala JF sio mahali pa kutangaza biashara, nenda Facebook
km huijui Bambalaga Club 64 Waswanu kaa hukohuko Kolomije
acha tusherehekee uteuzi wa Wawaziri SKG safari hii hamjaambulia kitu
tuna siku 3 mpaka 11/ january ni sherehe tupu na Mawaziri wapya
Dodoma wa3 Pwani 5 tena vijana tupu Makatibu ndio usiseme Mtumba na Bambaga ni pua na mdomo
 
Jamaa yako wa kipekee sana! Yaaani anathubutu kumla Denda Malaya na unaeza kuta Malaya katoka kunyonya Dushe na wazungu kawanywa... Hiyo iwe fundisho kwenu na msije kurudia hiyo michezo ya kujitoa ufahamu
 
Tukiwa tunapta vinywaji tukiwa na jamaa zangu, mmoja wetu alimtaka demu mmoja mbaye inaonekana alikuwa muuzaji wa K, jamaa alimwimbisha demu akakubali akajumuika na sisi.

Yule demu alikuwa anafanya movement ambazo nizitilia shaka, mara kadhaa alikuwa anaenda kuongea na mabaunsa sikujua walikuwa wanaongea nini lakini niligundua aliakuwa wanafanya mipango ya kumdhuru jaama ya yetu, alimchukuwa jamaa na kwenda kwenye parking ili huku yule demu akiwa ameshika chupa yake (ya huyu binti), Binafsi kwakuwa nilishamtilia shaka na mimi nikanyanyuka bila wao kujua nikawa nawafutilia, Basi yule demu akaanza kumpa yule jamaa denda, huku akitomasa mshikaji.

Bada ya dk kama 5 hivi nikaona jamaa yupo hoi kalegea balaa demu akawa kamuacha wakaja jamaa wawili mmoja ni dogo mmoja mweusi hivi alikuwa anaangalia watu ikiwa walikuwa wanapata huduma na mwingine ni muhudumu wa kiume mweupe hivi. Walianza kumpapasa jamaa wachukuwe simu na wallet ilibidi nishitue oya mbona unataka kumubia mshikaji, wakaanza kuwa na hofu, ahaaa kalewa tunataka tumsaidie mara ooh hajalipa bili alitaka kukimbia, ikawa mzozo balaa.

Huwezi amini mabaunsa walikuja wakamkomalia jamaa alitaka kuondoka bila kulipa bili, chap wakaandika karatasi ya bili 48,000, wakati bili hiyo tuliilipa mapema kabisa.

Kwakuwa jamaa walikuwa wamejipanga ikabidi tu nilipe tena kwa niaba ya jamaa ili kumnusuru maana niliona jamaa wamedhamiria.

Ikibidi tuondoke ila jamaa akawa hajitambui, mchana huu ndiyo anapata nafuu.

Inaonekana wale wadada poa wanashirikiana na wafanyakazi wa pale kuwawekea wateja madawa ya kulevya

Kwa hiyo ndugu zangu mkienda pale muwe na taadhari sana.
We ni fala sna,nguvu huna na mkwara huna
 
Duuuh, nimewah kwenda mara moja tu pale, sema jamaa wamejitahid kuwekeza (maboresho) ila ndo ujinga mwingi ikiwemo show off nyingi na meza nyingi kuwekewa vibao vya reserved
, kuna ujinga jinga mwingi sana hapo. Ubishoo wa kipuzi puzi mwingi sana hapo.

Halafu vijamaa na vi-crown, athletes, ist, subaru, alteza, premio, fuga, alphard, voltz, noah, brevis, rumnio na jamii nyingine za baby walker wanajazana humo.

Utakuta vifunguo vya baby walker wanavitikisa tikisa ili kuwakoga vicheche na sampuli zingine za washamba washamba.
 
Tukiwa tunapta vinywaji tukiwa na jamaa zangu, mmoja wetu alimtaka demu mmoja mbaye inaonekana alikuwa muuzaji wa K, jamaa alimwimbisha demu akakubali akajumuika na sisi.

Yule demu alikuwa anafanya movement ambazo nizitilia shaka, mara kadhaa alikuwa anaenda kuongea na mabaunsa sikujua walikuwa wanaongea nini lakini niligundua aliakuwa wanafanya mipango ya kumdhuru jaama ya yetu, alimchukuwa jamaa na kwenda kwenye parking ili huku yule demu akiwa ameshika chupa yake (ya huyu binti), Binafsi kwakuwa nilishamtilia shaka na mimi nikanyanyuka bila wao kujua nikawa nawafutilia, Basi yule demu akaanza kumpa yule jamaa denda, huku akitomasa mshikaji.

Bada ya dk kama 5 hivi nikaona jamaa yupo hoi kalegea balaa demu akawa kamuacha wakaja jamaa wawili mmoja ni dogo mmoja mweusi hivi alikuwa anaangalia watu ikiwa walikuwa wanapata huduma na mwingine ni muhudumu wa kiume mweupe hivi. Walianza kumpapasa jamaa wachukuwe simu na wallet ilibidi nishitue oya mbona unataka kumubia mshikaji, wakaanza kuwa na hofu, ahaaa kalewa tunataka tumsaidie mara ooh hajalipa bili alitaka kukimbia, ikawa mzozo balaa.

Huwezi amini mabaunsa walikuja wakamkomalia jamaa alitaka kuondoka bila kulipa bili, chap wakaandika karatasi ya bili 48,000, wakati bili hiyo tuliilipa mapema kabisa.

Kwakuwa jamaa walikuwa wamejipanga ikabidi tu nilipe tena kwa niaba ya jamaa ili kumnusuru maana niliona jamaa wamedhamiria.

Ikibidi tuondoke ila jamaa akawa hajitambui, mchana huu ndiyo anapata nafuu.

Inaonekana wale wadada poa wanashirikiana na wafanyakazi wa pale kuwawekea wateja madawa ya kulevya

Kwa hiyo ndugu zangu mkienda pale muwe na taadhari sana.
umesema jamaa alikua ANATOMASWA?
 
Hii Ni aibu sana
eti Malaya anarisk mpaka kudrug mteja wake ili amdhurumu elfu 48.

Bila shaka Ela ambayo ungemlipa isingezidi iyo 48.

Mwanaume unayejitambuaTafuta Malaya angalau wa kuanzia 100k, ukipata wa 300k unakua na amani hata ukisahau simu yako unajua iko sehemu salama.

Cheap is always expensive
 
Pambalaga ni genge la vibaka, wauza unga na malaya. Ukienda pale basi ujue umeenda kuibiwa/kuiba, kusaka malaya au kununua unga. Wenyeji wa Dodoma wanapajua fresh na wengi hawaendi tena pale, wamebakia wageni wa Dodoma ndio wanakwenda pale na wengi hulizwa.
 
Back
Top Bottom