Kile kipindi ambacho nilipotea

Kile kipindi ambacho nilipotea

Visiwa vinavyozunguka Nyamisati option ya kwanza linapotokea tatizo lolote sio hospital bali ni kwa tiba mbadala yani uchawi ndio namba moja na kwakweli rasta nyoka ni msaada mkubwa na kupitia kwake nilijifunza mengi
 
Kumbe unashindana?

Ndio maana hua unawaona wale wanaopingana na mawazo yako kua ni maadui kwako,

post yangu namba 444 ndio ukweli mchungu ila inabidi uukubali tu.
Kwani tatizo ni nini mkuu kama umefuatilia story yake vizuri kasema alikuwa na baadhi ya wana jf...kwann usimuombe awaite waje wathibitishe kuliko kujaza server za jf?
 
Kitu kimoja kilicho wazi mlango wa kuingia Nyamisati uko eneo la kisiwa Simbaulanga, hapo ndio mlango wa kuingilia kutokea bahari kuu na ndio hapo hapo pa kutokea, mlango huu hata kwenye ulimwengu wa giza unatumika hivyohivyo na kuna mengi hapo yanayohusika na ulimwengu wa giza
 
Kwani tatizo ni nini mkuu kama umefuatilia story yake vizuri kasema alikuwa na baadhi ya wana jf...kwann usimuombe awaite waje wathibitishe kuliko kujaza server za jf?
Hebu jaribu kumwambia wewe ajibu post number 549 huenda wewe anaweza kukusikia kwavile ni katika ile team yake,

Hivi unaijua kweli hiyo "Server?"
Au na wewe umelikuta tu hilo neno humu watu wanalitumia nawe ukalibeba?
 
Visiwa vinavyozunguka Nyamisati option ya kwanza linapotokea tatizo lolote sio hospital bali ni kwa tiba mbadala yani uchawi ndio namba moja na kwakweli rasta nyoka ni msaada mkubwa na kupitia kwake nilijifunza mengi
Hizo picha uizoweka bado hazitabadili ukweli kwamba stori yako ni ya kutunga tu!fiksi....hata ujaze mapicha kibao huo ndo ukweli.....hata kama ulifika hayo maeneo .....suala la msingi acha fiksi ...wewe ni MTU mzima!usilazimishe hadithi za kusadikika kama hii iwe ya ukweli!
 
What a wonderful moment ....when you make your haters dance your tune according to your directions
Huna lolote wewe umeshaumbuka,unajifanya kuendeleza vistory na vipicha teh! teh!

Too little too late,

Usijihangaishe kutaka kubadili gia angani,jitafakari umri unakwenda mbele na hautorudi nyuma,uwe unatoka JF unaenda japo nje kupunga upepo kidogo,

Fuata ushauri wangu wa kutafuta kazi ya kujishughulisha kidogo kuliko kushinda JF unatema Pumba zako humu.
 
4740490313697e71be171e50ce7131ae.jpg

Hii ni nakala yake tu
 
Kitu kimoja kilicho wazi mlango wa kuingia Nyamisati uko eneo la kisiwa Simbaulanga, hapo ndio mlango wa kuingilia kutokea bahari kuu na ndio hapo hapo pa kutokea, mlango huu hata kwenye ulimwengu wa giza unatumika hivyohivyo na kuna mengi hapo yanayohusika na ulimwengu wa giza
mkuu mshana,ulisema ni jinsi gan wachawi wanapata ugumu kupaa baharini, hapa nachanganyikiwa so uchawi wao ni localized palepale kisiwan,hawaendi visiwa vingne
 
Back
Top Bottom