Kile kipindi ambacho nilipotea

Kile kipindi ambacho nilipotea

Namuunga mkono Faizafox, hili jamaa liongo sana, nashangaa nyie vichwa Maji mnamsikiliza ujinga na upuuzi wake. Nyamisati Mimi naijua vizuri na huko ni kwetu, anayoeleza hapa ni uongo mtupu, ongo sana hili lijamaa
 
Visiwa vinavyozunguka Nyamisati option ya kwanza linapotokea tatizo lolote sio hospital bali ni kwa tiba mbadala yani uchawi ndio namba moja na kwakweli rasta nyoka ni msaada mkubwa na kupitia kwake nilijifunza mengi
Acha uongo we jamaa , nyamisati ipi unayozungumzia wewe kuwa hawaendi hospital ?? Mbona unataka kuaminisha watu ujinga
 
Acha uongo we jamaa , nyamisati ipi unayozungumzia wewe kuwa hawaendi hospital ?? Mbona unataka kuaminisha watu ujinga
Mbona unakurupuka? Umeona nilichoandika hapo? '....visiwa vinavyozunguka Nyamisati unavifahamu?
Niambie kati ya hivi ni kipi walau kina duka la dawa?
-Becha
-Salale
-Kilwani
-Saninga
-Mchinga
-Kiomboni
-kifungutuni
 
Namuunga mkono Faizafox, hili jamaa liongo sana, nashangaa nyie vichwa Maji mnamsikiliza ujinga na upuuzi wake. Nyamisati Mimi naijua vizuri na huko ni kwetu, anayoeleza hapa ni uongo mtupu, ongo sana hili lijamaa
5ef59d06e61eae83024abfd0f1bff422.jpg
Multiple ID kwa ajili ya kuongeza mashambulizi
 
Fanya kazi Mzee sio kushinda humu JF na stori zako za kitoto, unajaza watoto wa watu ujinga mtupu kuwa na aibu basi
Mkuu huo ushauri nimemshauri sana lakini inaonekana kazi yake kuu ndio hii ya kuwajaza ujinga watu wasiojielewa na wenye uwezo mdogo wakutafakari mambo.
 
4740490313697e71be171e50ce7131ae.jpg

Hii ni nakala yake tu
Wewe unaweza kuumba wa hivyo? Acha kumkufuru Mungu,hii picha ingekua imetumwa hapa na kufanywa kichekesho na Mzungu,Mwarabu,Mchina n.k watu wangetokwa povu kua ni ubaguzi na udhalilishaji pia,
Lakini kwavile katuma "Mswahili" imekua ni kichekesho, eti mleta mada nae kaiquote na kuicheka hii picha!!!!
 
Hakika Faiza Foxy amepata alichokipata...pagr nyingi zinamzungumzia yeye kuliko mada yenyewe!
 
Wewe unaweza kuumba wa hivyo? Acha kumkufuru Mungu,hii picha ingekua imetumwa hapa na kufanywa kichekesho na Mzungu,Mwarabu,Mchina n.k watu wangetokwa povu kua ni ubaguzi na udhalilishaji pia,
Lakini kwavile katuma "Mswahili" imekua ni kichekesho, eti mleta mada nae kaiquote na kuicheka hii picha!!!!

Wewe dada vipi? Mungu unamletaje ghafla kwenye post yangu? Tafadhali sana nakuomba usinichonganishe na Mungu endelea kugombana na Mshana Jr. Mimi sijamgusa Mungu wala wewe inakuwaje uje na kunisakama na maandishi ya uchochezi. Weka Mungu mbali na hii picha.
 
Hamna nisiyempenda. Hata wewe nnakupenda sana.

Nnaona hekima na busara zimekuwa adimu sana kwenu si hasha mkawa mnaamini sana katika upuuzi, hata jinsi mnavyoandika inaashiria ukosefu wa busara.
Follow your heart ....Hakuna sababu ya kuendeleza malumbano.
 
Follow your heart ....Hakuna sababu ya kuendeleza malumbano.

Naam, umenena vyama kabisa.

Kama kutanabahisha tumesha tanabahisha sasa tunafata ilm tuliyoletewa na Allah:

Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
Maelezo
 
Wewe dada vipi? Mungu unamletaje ghafla kwenye post yangu? Tafadhali sana nakuomba usinichonganishe na Mungu endelea kugombana na Mshana Jr. Mimi sijamgusa Mungu wala wewe inakuwaje uje na kunisakama na maandishi ya uchochezi. Weka Mungu mbali na hii picha.
Najua umenielewa vyema kabisa,

Umeleta hiyo picha kwa nia ya kuidhihaki na kufurahisha,ndio maana mlengwa wako huyo mleta mada akaiquote na kuidhihaki pia na hilo ndio lengo lako,

Siku nyingine jitafakari kabla ya kutenda,

Pia unapokua hujui jinsia ya mtu jaribu kutumia neno Mkuu, jiangalie sana unaweza kua unamuita Baba yako mzazi Dada bila kujijua.
 
Ukweli ni kuwa hakuna vitu kama hivyo ni uongo tu.

Huyo mtu anakila dalili za kuja kutapeli watu na wengine kuna siku mtakuja kulalamika humu.

Asiyesikia la mkuu...
Ukiwakosoa viongozi wako wa serikali ndo nitakubali kama wewe hupendi kudanganywa
 
Mshana hapa kaamua wale ndugu wafivu kwa kuvuatilia unzi hapa lazima wasome unzi kila page manake story himo katika mpangilio mvya.hehee.
 
Back
Top Bottom