Kile kipindi ambacho nilipotea

Kile kipindi ambacho nilipotea

Huu uzi Unazidi kumweka Mashana Jr juu kutokana na comments nyingi za muda mfupi na tunaelekea kumaliza mwaka moderators wakitoa takwimu utasikia jamaa anaongoza kuwa na like nyingi kuliko wengi.
Members tuacha matusi, Avatar tulizoweka zinatuhukumu , aliyeweka avatar ya kike Mara wakamalizane, Avatar ya kiume kaitwa mwanamke. Hii yote ni kukosa Kwa hoja
 
Acha uongo we jamaa , nyamisati ipi unayozungumzia wewe kuwa hawaendi hospital ?? Mbona unataka kuaminisha watu ujinga
Mbona unakurupuka? Umeona nilichoandika hapo? '....visiwa vinavyozunguka Nyamisati unavifahamu?
Niambie kati ya hivi ni kipi walau kina duka la dawa?
-Becha
-Salale
-Kilwani
-Saninga
-Mchinga
-Kiomboni
-kifungutuni
Matumaima yameanza kuonekaneka wakitokea watu wengine 3 waliofika Hayo maeneo itakuwa vizuri Sana
 
Kilichonichosha kama sio kunifurahisha kwenye huu uzi ni wale haters kuniita muongo mzushi na majina mengine mabaya huku wakiweka dhihaka bila kuthibitisha uzushi wala uongo wangu...! Wameshindwa kwa kiwango cha juu mno
Nimewachezesha kisingeli kwa nguvu...wamechokonoa mpaka na backup za multiple ID bila mafanikio
If you know the secret of the game! They follow your rhythm without their will...these are what we call them silly stupid hooligans...wapo na watakuwepo
 
Ndio maana hua nakuita wewe ni bingwa wa kujitega,

Hebu rudi nyuma kasome comment number 517 kuna mdau amekutaka uthibitisha jambo fulani, je umelithibitisha?

Usihangaike kutafuta huruma za watu "sympathy" kwa hivi vicomment vyako vya kujikomba, huwezi kukipoteza hiki kizazi na hasa vijana kwenye mustakbali wao, kizazi kinachotegemewa na familia zao na taifa kwa ujumla kwa kukilisha ujinga wa kusadikika nasi tukakutazama tu, hilo sahau kabisa,
Halafu ni bora uandike kwa kiswahili tu coz unazidi kujiaibisha kwa hizo broken zako,tutakusahihisha mpaka lini?
 
6307c51f1360ad0527895badcdaef296.jpg
 
Hakuna kitu kibaya mtu kuugua maradhi sugu ya aibu huku ni mgumba na mkiwa! Upweke ni habari nyingine, watu wa kaliba hii ndivyo walivyo tuwaombee
Bro mshana... Natamani kumuona faiza fox anagananaje..., pls kama una picha yake nipatie hata pm mkuu, heshima kwako"
 
Back
Top Bottom