Kila MWARABU niliye mpenda aliniumiza moyo, hata huyu nimpendaye sasa ataniumiza.

lol una visa weyeee.mie nilishawaza vingine kabisaa

watu mkiona jina la mwarabu tu mnafikiria nini?

mimi nikiona dada wa kiswahili ana bwana wa kiarabu...
najikuta sifurahii tu lol
 
Mkuu nimeikimbilia hii thredi, hasa baada ya kuona umeumezwa afu na "Mwarabu" nikajua ni mambo yetu yaleeeee!!.

Pole sna kwa kukufikiria vibaya.
 
duh wapende hawa koko wa kariakoo au magomeni au msasani hawana hiyana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…