Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,850
- 155,795
Kuanzia Saddam Hussein, Osama bin Laden na huyu wa sasa Gaddafi, lazima aniumize moyo.
Kuanzia Saddam Hussein, Osama bin Laden na huyu wa sasa Gaddafi, lazima aniumize moyo.
mubarak vip mkuu
lol una visa weyeee.mie nilishawaza vingine kabisaa
ndugu, hivi wairan ni waarabu?Usife moyo bado yupo yule wa Iran.
Mkuu nimeikimbilia hii thredi, hasa baada ya kuona umeumezwa afu na "Mwarabu" nikajua ni mambo yetu yaleeeee!!.
Pole sna kwa kukufikiria vibaya.
Usife moyo bado yupo yule wa Iran.
Dah! No comments......
Na wewe inakuwaje unapenda wanaume wenzako? Au? Mnhh, mnhh!
brotherly love. Only that, we ulidhani upendo gani mrembo?
kweli?
Na wewe inakuwaje unapenda wanaume wenzako? Au? Mnhh, mnhh!