Asilimia 35% ya watanzania wote tuna magonjwa ya Akili ya Ngono

Mr Alpha

Senior Member
Jul 31, 2018
195
522
Watu wenye magonjwa haya, si lazima watembee wakiokota makopo, kuvua nguo au kuwa na nywele ambazo hazijachanwa.

- Unasikiliza taarifa ya habari jioni. Unasikia kuwa, mwanaume amembaka mtoto wa miezi mitatu.

- Mapenzi kwa njia ya simu
Wapo watu ambao hupata hisia za ngono kwa kuzungumza lugha ya matusi inayohusisha viungo vya mwili au vitendo vya kingono.

- Ugonjwa wa akili ya ngono wa kupenda kuacha mwili wazi especially kwa wadada ambapo mtu huweza kuamua kuacha wazi maziwa, mapaja.

- Ndani ya daladala
Wanawake wengi wamekuwa wakilalamika kuwa wanapopanda katika magari ya abiria hasa nyakati za asubuhi au jioni pindi mabasi yanapokuwa yamejaa kupindukia, wapo wanaume ambao huwasogelea na kuwabana kwa kiasi kikubwa.
 
2aad6483206565a5fede1af9ea910903.jpg
 
Mbona kama umeiongelea dunia.
Kukaa uchi, mapenzi ya simu.
Angalia ID channel dstv uone ulaya huko. Mtu anamuua mke wake shida anaenjoy kupulika tu.
 
Back
Top Bottom