Kwa mara nyingine Tena Rais Samia analivusha mwaka Taifa likiwa limetamalaki kwa amani na umoja wa kitaifa

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,305
9,734
Ndugu zangu watanzania,

Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Fadhila kwa kuendelea kumjalia Rais wetu mama Samia afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania wote kwa usawa na haki pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile. Tukiwa tunaelekea ukingoni katika kuumaliza mwaka na kuanza mwaka mpya ,Kwa dhati ya moyo wangu na kwa unyenyekevu mkubwa Nampongeza Rais wetu kwa kuendelea kuimarisha amani ,upendo , mshikamano na umoja wa kitaifa ambao umetokana na matendo ya haki yanayotendwa na kuhubiriwa na Rais samia maana haki huinua Taifa.

Watanzania tunashuhudia namna Taifa lilivyo ungana ,shikamana na kuwa kitu kimoja.hakuna mpasuko wala mgogoro wa aina yoyote ile ndani ya Taifa letu yenye kutikisa misingi ya Taifa,.wote tunazungumza lugha moja,hakuna aliyeachwa nyuma,hakuna kundi lililopuuzwa au kutelekezwa,hakuna sauti ambayo haijasikilizwa masikioni mwa Rais samia na serikali yake,hakuna machozi yaliyobubujishwa na serikali ya Rais samia kwa watanzania kwa uonevu,kila mtu na kila kundi limesikilizwa na kupewa kipaombele.

Ndio maana Taifa letu limeendelea kuwa lenye nguvu na ushawishi.ndio maana wawekezaji,watalii, wafanyabishara wakubwa wameendelea kumiminikia Tanzania kutokana na kutamalaki kwa amani ,utulivu na usalama wa hali ya juu sana jambo lililowavutia wengi kuja na kuitembelea Tanzania na kutaka kufanya kazi au biashara au kuwekeza Tanzania. Tumekuwa na nguvu na ushawishi mkubwa kuanzia ndani mpaka nje ya mipaka kutokana na ukweli kuwa sisi wenyewe tayari tulishaungana na kuunganisha nguvu zetu kutokea ndani.na ikimbukwe kuwa ushindi wowote ule unaanzia ndani ya nyumba.

Kwa nguvu yetu kuanzia ndani ya Taifa letu ndio maana tukatengeneza ushawishi kimataifa mpaka kufanikiwa kutoa Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU mh Dr Tulia Acksoni Mwansasu speaker wa bunge letu.ni kwa ushawishi huo wa Taifa letu tumefanikiwa kuvuta mamilioni ya dollar za kimarekani kupitia uwekezaji , biashara,utalii na michango mbalimbali kutoka kwa wadau wa maendeleo.

Haimaanishi kuwa kama Taifa hatukupitia changamoto au kukumbana na changamoto.bali kila tulipokumbana na changamoto ya aina yoyote ile ya ukubwa wowote ule tuliitana na tulikaa mezani kama Taifa tukazungumza ,kushauriana na kubadilishana mawazo na tukafikia muafaka kwa amani. changamoto hazikutugawa bali zilituunganisha na kulipa ushindi Taifa letu.ndio maana kama Taifa sote ni washindi na ushindi uliopatikana katika kila jambo ni ushindi wetu sote.ndio maana kila mmoja ana amani moyoni mwake kwa kuwa chochote tulichopata kama taifa kila mmoja wetu anajiona kuwa ni sehemu yake na anamchango katika ushindi tulioupata na anastahili kujivunia mafanikio yetu.

Hakuna anayejiona mnyonge katika Taifa letu.kwa kuwa kila mtu anayo nafasi ya kuchangia mawazo yake na kusikilizwa vyema.kila mtu ana nafasi sawa mbele ya Ujenzi wa Taifa letu.kila sauti inasikilizwa,. Haki ndio itaendelea kuwa chachu ya umoja ,amani na mshikamano wetu kama Taifa na ndio maana Rais wetu ameendelea kusisitiza haki na utendekaji wa haki kwa watu wote pasipo ubaguzi.

Rais wetu hataki mtu aonewe,apokonywe mali zake kwa uonevu,afungwe jela kwa uonevu,abambikiwe kesi kwa uonevu,afungiwe biashara kwa uonevu,akadiliwe kodi kubwa kwa uonevu,achotewe pesa benki kwa uonevu, apigwe na kudhalilishwa kwa uonevu,anyimwe huduma kwa uonevu.

Mama yetu hataki mambo hayo yafanyike kwa kuwa anajuwa yanazalisha chuki mioyoni mwa watu,yanachochea mioyo ya visasi,yanapunguza hali ya kulipenda Taifa,yanaleta migogoro,yanaligawa na kulipasua Taifa,yanapunguza na kuondoa maelewano na kuaminiana miongoni mwetu.ndio maana Rais samia ameyadhibiti na kuyapiga marufuku kwa kauli na matendo.sasa ni amani amani na nyuso za tabasamu kwa watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
We mama ni chizi kweli kweli
Kwani huoni namna amani ilivyotawala hapa nchini .huoni namna taifa lilivyotamalaki kwa upendo na mshikamano.huoni demokrasia ilivyoshamiri na watu walivyo huru kuzungumza japo wengine kama wewe mnatumia uhuru huo kutukana matusi kama vichaa au wendawazimu 😄😄
 
Samia hatoi teuzi kwa washamba kama wewe
Unafanya nini humu jukwaani ewe mlevi na mvuta Bangi wakati ulisema utakwenda kuandamana? Kwanini huendi? Unataka nani aende kwa niaba yako? Nenda kaandamane kama wewe mwanaume uone moto wake kama hayo mabangi hayajakutoka kichwani.
 
Nionyeshe tukio la uvunjifu wa amani Tanzania ukiachana na vita dhidi ya Iddi Amini ya mwaka 78?
Licha ya migogoro yetu lakini watanzania hawawezi kufikia hatua ya kushikiana mapanga au silaha nzito, utatumika mdomo tu mmoja akichoka lishapita ilo.
 
Ndugu zangu watanzania,

Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Fadhila kwa kuendelea kumjalia Rais wetu mama Samia afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania wote kwa usawa na haki pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile. Tukiwa tunaelekea ukingoni katika kuumaliza mwaka na kuanza mwaka mpya ,Kwa dhati ya moyo wangu na kwa unyenyekevu mkubwa Nampongeza Rais wetu kwa kuendelea kuimarisha amani ,upendo , mshikamano na umoja wa kitaifa ambao umetokana na matendo ya haki yanayotendwa na kuhubiriwa na Rais samia maana haki huinua Taifa.

Watanzania tunashuhudia namna Taifa lilivyo ungana ,shikamana na kuwa kitu kimoja.hakuna mpasuko wala mgogoro wa aina yoyote ile ndani ya Taifa letu yenye kutikisa misingi ya Taifa,.wote tunazungumza lugha moja,hakuna aliyeachwa nyuma,hakuna kundi lililopuuzwa au kutelekezwa,hakuna sauti ambayo haijasikilizwa masikioni mwa Rais samia na serikali yake,hakuna machozi yaliyobubujishwa na serikali ya Rais samia kwa watanzania kwa uonevu,kila mtu na kila kundi limesikilizwa na kupewa kipaombele.

Ndio maana Taifa letu limeendelea kuwa lenye nguvu na ushawishi.ndio maana wawekezaji,watalii, wafanyabishara wakubwa wameendelea kumiminikia Tanzania kutokana na kutamalaki kwa amani ,utulivu na usalama wa hali ya juu sana jambo lililowavutia wengi kuja na kuitembelea Tanzania na kutaka kufanya kazi au biashara au kuwekeza Tanzania. Tumekuwa na nguvu na ushawishi mkubwa kuanzia ndani mpaka nje ya mipaka kutokana na ukweli kuwa sisi wenyewe tayari tulishaungana na kuunganisha nguvu zetu kutokea ndani.na ikimbukwe kuwa ushindi wowote ule unaanzia ndani ya nyumba.

Kwa nguvu yetu kuanzia ndani ya Taifa letu ndio maana tukatengeneza ushawishi kimataifa mpaka kufanikiwa kutoa Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU mh Dr Tulia Acksoni Mwansasu speaker wa bunge letu.ni kwa ushawishi huo wa Taifa letu tumefanikiwa kuvuta mamilioni ya dollar za kimarekani kupitia uwekezaji , biashara,utalii na michango mbalimbali kutoka kwa wadau wa maendeleo.

Haimaanishi kuwa kama Taifa hatukupitia changamoto au kukumbana na changamoto.bali kila tulipokumbana na changamoto ya aina yoyote ile ya ukubwa wowote ule tuliitana na tulikaa mezani kama Taifa tukazungumza ,kushauriana na kubadilishana mawazo na tukafikia muafaka kwa amani. changamoto hazikutugawa bali zilituunganisha na kulipa ushindi Taifa letu.ndio maana kama Taifa sote ni washindi na ushindi uliopatikana katika kila jambo ni ushindi wetu sote.ndio maana kila mmoja ana amani moyoni mwake kwa kuwa chochote tulichopata kama taifa kila mmoja wetu anajiona kuwa ni sehemu yake na anamchango katika ushindi tulioupata na anastahili kujivunia mafanikio yetu.

Hakuna anayejiona mnyonge katika Taifa letu.kwa kuwa kila mtu anayo nafasi ya kuchangia mawazo yake na kusikilizwa vyema.kila mtu ana nafasi sawa mbele ya Ujenzi wa Taifa letu.kila sauti inasikilizwa,. Haki ndio itaendelea kuwa chachu ya umoja ,amani na mshikamano wetu kama Taifa na ndio maana Rais wetu ameendelea kusisitiza haki na utendekaji wa haki kwa watu wote pasipo ubaguzi.

Rais wetu hataki mtu aonewe,apokonywe mali zake kwa uonevu,afungwe jela kwa uonevu,abambikiwe kesi kwa uonevu,afungiwe biashara kwa uonevu,akadiliwe kodi kubwa kwa uonevu,achotewe pesa benki kwa uonevu, apigwe na kudhalilishwa kwa uonevu,anyimwe huduma kwa uonevu.

Mama yetu hataki mambo hayo yafanyike kwa kuwa anajuwa yanazalisha chuki mioyoni mwa watu,yanachochea mioyo ya visasi,yanapunguza hali ya kulipenda Taifa,yanaleta migogoro,yanaligawa na kulipasua Taifa,yanapunguza na kuondoa maelewano na kuaminiana miongoni mwetu.ndio maana Rais samia ameyadhibiti na kuyapiga marufuku kwa kauli na matendo.sasa ni amani amani na nyuso za tabasamu kwa watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Nachokupendea unamaliza kwa kuweka namba ya simu;
 
Kwani huoni namna amani ilivyotawala hapa nchini .huoni namna taifa lilivyotamalaki kwa upendo na mshikamano.huoni demokrasia ilivyoshamiri na watu walivyo huru kuzungumza japo wengine kama wewe mnatumia uhuru huo kutukana matusi kama vichaa au wendawazimu 😄😄
Kwahiyo uhuru ni kwa hisani ya CCM? Shame on you
 
Zawadi na tunu za Taifa tulizojaaliwa na Mungu, zipo salama, chini ya mikono salama ya mwanamke Shupavu Dr.SSH
 
Yaani kweli watanzania tunavyo teseka na maisha magumu, KODI kilamahali mpaka kwenye utilities[luku]
na umeme wa nusu siku, ukosefu wa ajira, ukandamizaji na mengineyo.
KWEL UNAANDIKA KWA KUJIONA UPOSAWA NA UME POST KITU CHA MAANAAAAA
KATUBU NDUGU YANGU
KAMA UNALELEA TUMBO LAKO KWA KUPOST VITU AMBAVYO HAVIPO ACHA
UTAJIKUTA HATA FAMILIA YAKO UNAILISHA DHAMBI BILA KUJUA
KAUNGAME.
 
Suala la ajira nafikiri itakuwa wewe siyo mfuatiliaji wa mambo hapa nchini.maana Rais samia ndani ya muda mfupi ametoa maelfu ya ajira kwa vijana nyingi zaidi kulinganisha na ajira zote zilizotolewa katika miaka sita iliyopita .

Suala la ukandamizaji nalo sijuwi umeandika ukiwa unawaza nini maana halina ukweli wowote ule,maana ni wakati huu wa Rais samia tumeona watu wakiwa huru kuzungumza,kufanya mikutano ya hadhara,kutoa maoni au mawazo kwa uhuru,vyombo vya habari kuandika bila hofu wala wasiwasi wowote ule.mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa inafanyika bila shida yoyote ile.

Suala la umeme nalo kwa sasa hali ni nzuri na muda siyo mrefu changamoto hiyo itabakia katika vitabu vya historia,kwa kuwa ukamilikaji wa bwawa la mwalimu Nyerere litatupatia mega watti 2115,lakini pia serikali inaendelea kuanzisha vyanzo vingine vya umeme kama vile umeme wa gas na jua ili tusipate shida panapotokea mabadiliko ya hali ya hewa yanayopelekea ukame.
 
Back
Top Bottom