Kikwete to USA (May 2009)

Kikwete to USA (May 2009)

Sawa ili mradi asiwe kaenda huko kuiuza Tanzania na kuifanya kama Pakistan ilivyokuwa leo hapo baadaye.

Hawa jamaa tunawajua. Hata kama kuna blaki kigodani bado anaendeshwa na matycoon wa Kiyahudi na wengineo walioshika uchumi wa nchi hiyo.

Aste aste, tusijidanganye kwamba mawazo na mtaji wa kuendelea kama nchi tutaupata kutoka kwa wengine hata ikiwa ni Marekani-babu lao!

Nini kimebadilika katika siasa zao za nje hadi wa leo toka huyo Obama aingie madarakani ? Kidogo sana. Sasa? Na sisi pia tunataka kutumiwa kama Iran, Iraq, Pakistan na nchi za Marekani ya Kati na Kusini ilivyotumiwa na mambo yakishindikana wanatuachia kuuuana wenyewe kwa wenyewe. Basi isije ikawa Mungu pishia mbali Bwana mkubwa wetu atakuja kulaumiwa kama aliyetupeleka machinjioni mchana kweupeee!
 
Hawa jamaa tunawajua. Hata kama kuna blaki kigodani bado anaendeshwa na matycoon wa Kiyahudi na wengineo walioshika uchumi wa nchi hiyo.

Mkuu, unfortunately ni wachache wanaokubali huu ukweli, even the americans themselves.
Aste aste, tusijidanganye kwamba mawazo na mtaji wa kuendelea kama nchi tutaupata kutoka kwa wengine hata ikiwa ni Marekani-babu lao!

Sawia.

Wabongo tuna matatizo makubwa sana ya kutotaka kutumia resources zetu kutatua matatizo yetu..Na resources ya kwanza tunayotakiwa kutengeneza wigo wa fikra chanya na kuzitumia. Rais wetu ni mfano hai.Rais wetu anatangatanga kuzidi ku-portray utupu wetu wa fikra. Hana alijualo, na hana fikra..ni kama debe tupu..likipigwa lalia kwelikweli na likipigwa teke laenda mbali mpaka White House.
 
Kama kiongozi wetu angejiuliza maswali yafuatayo kama vile tuna madini, maji, mlima kilimanjaro, utalii. Kwa nini usikae na wadau WATZ ukatengeneza katiba na kujitegemea kama RAISI WA LIBYA. Hii ni utumwa hata nyerere hakuwa vile. Wazungu aliwafukuza lakini watoto shule walipata madaftari, matibabu bure na vitu lukuki. Leo hii mara uko america, South Africa, Mara kenya. Mbona mwai kibaki haji na akija anakaa siku moja we RAIS wetu unakaa one week unafanya nini?? Watza tulifanya kosa kubwa kumpa madara mkwere hana jipya HE IS NOT A GOOD THINKTANKER ni hayo tu. CCM hawana jipya KATIBU WAO ANASEMA CHAGUENI CHAMA CHENYE FEDHA, hivi si tunataka chama chenye fedha au serikali iweze kujitegemee na si kutegemee hawa weupe kama nguruwe.
 
Watz jamani yaani kila kitu ni lazima tumlaumu JK?

Tuwe wakweli..kuonana na Obama ni kupandisha chart yetu sisi Watz!

Je hilo pia kuna ubaya????????

Kupandisha chart???? Give me a break! Chart ya nani. Huyu jamaa ameshanichosha BIG TIME. Anazunguka zunguka tu... ahhaaa..
 
Kupandisha chart???? Give me a break! Chart ya nani. Huyu jamaa ameshanichosha BIG TIME. Anazunguka zunguka tu... ahhaaa..

Mkuu hilo ndo inalo tuchefua wabongo tulio wengi, utadhani alichaguliwa ili akatalii? he doesnt care what is happening back home! sijawahi ona kiongozi wa namna hii!
 
Huyu tumemzoea na record zake zisizokuwa na kichwa wala miguu kama vile Rais wa kwanza kutembelea wafungwa gerezani, ... wa kwanza kfika tandale na kushika maharage sokoni, .. wa kwanza kuongea kiswahili AU ,...wa kwanza kucheka kila mahali hata misibani, ....kumtaja mchezaji wa staz kwajina alimwita ivooo! karume,...wa kwanza kupigwa mawe, wa kuzomewa akiwa madarakani, wa kwanza kwenda kuzika sinza makaburini,.... eehu! ni nyingi mno lakini zooote hamna kitu
 
Hii ndizo sababu alizozitoa Rais Kikwete kuhusu safari zake: [FONT=times new roman, new york, times, serif]"Our local businessmen cannot reach other executive areas on their own without the President's presence. During my visit to the US, we had a luncheon with NASDAQ officials, who later held talks with Tanzanian businesspersons. Under normal circumstances, the NASDAQ president, whose stock exchange volume stands at USD7.1 trillion, cannot meet a person of the stature of TCCIA president Elvis Musiba. But because I was there, the NASDAQ president personally attended that event...When I visited Tiffany, a big jewelers company turning out billions of dollars, its officials were in some other place and had to be summoned to meet Tanzanian [T]anzanite dealers...This is how they could meet; because I was there otherwise it would have been difficult for local Tanzanite dealers to meet their US counterparts... [/FONT][FONT=times new roman, new york, times, serif]It is after I had talks with the NASDAQ president that we now have the US Tanzania Business Association where businessmen from the two countries can meet. I visited New York Stock Exchange, whose business volume is USD22.8 trillion, where we were given the honour to open the day's business. It is because I was there on that day that we were given that honour...Do you think Jonathan Njau [Head of Dar es Salaam Stock Exchange] can meet those guys up there on his own? (laughter). People should not just simplify these things" - President Jakaya Kikwete quoted by The Guardian in December 2006 [/FONT]
 
Last edited:
Sasa atueleze matunda ya safari hizi so far Wall Street, Stock Exchange etc. etc. Mwenye kuona haambiwi tazama.
 
this is shameful...unajua huyu jamaa amekuwa US toka lini bila recognition ya Obama...anajiabisha sana, kuna kazi nyingine wala sio yeye anayepaswa kufanya...kwenda google,IBM, Cisco...sio kazi yake, tunao mawazairi wa sayansi na technologia,mambo ya nje,viwanda na biashara....na pia tunao TIC ambao ndio wanaotakiwa kuwavutia wawekezaji...sio yeye...au anatafuta 10%???? huwezi ukaenda US siku 8 kama raisi wa nchi na bila kuonana na mwenyeji wako siku za mwanzo...nani aseme huyu bwana anaishu gani lakini??? hapa nchini ana mangapi yanamngoja...ameondoka wakati mabomu mbagala yameripuka, kitu ambacho ni janga kubwa....huyu bwana nchi imemshinda kabisaaaa...katika hali ya kiuchumi duniani anafanya ziara ya siku 8 USA???
 
Matunda yapo, unataka tuanze kuzitaja?
1. Safari ya Bush TZ na Millenium.....
2. Kupata Misaada (soma MIKOPO)
3.
4
5.....
 
Huyu tumemzoea na record zake zisizokuwa na kichwa wala miguu kama vile Rais wa kwanza kutembelea wafungwa gerezani, ... wa kwanza kfika tandale na kushika maharage sokoni, .. wa kwanza kuongea kiswahili AU ,...wa kwanza kucheka kila mahali hata misibani, ....kumtaja mchezaji wa staz kwajina alimwita ivooo! karume,...wa kwanza kupigwa mawe, wa kuzomewa akiwa madarakani, wa kwanza kwenda kuzika sinza makaburini,.... eehu! ni nyingi mno lakini zooote hamna kitu

Wa kwanza kupima HIV hadharani, wa kwanza kutosafiri na mkewe safari nyingi, wakwanza kuwa masihara, wa kwanza kubeep, wa kwanza kusafiri sana etc etc jazieni
 
10:10AM: President Obama delivers major speech on national security

11:10AM: President Obama receives Presidential Daily Briefing

11:30AM: President Obama receives the Economic Daily Briefing

12:10PM: President Obama meets with senior advisers

1:30PM: President Obama welcomes the Pittsburgh Steelers to the White House and participates in service event

4:15PM: President Obama meets with President Jakaya Kikwete of Tanzania [/quote]

...I hope atatokea reporter wa kumtwanga JK swali la chap chap;
"...Mr Prez, ili kutuepushia tukio kama la 1988, mabomu mangapi yamepotea kutokana na milipuko ya Mbagala?!"


Guantanamo inmate gets US trial


_45803415_000229179-1.jpg
Ahmed Ghailani is considered a "high value detainee" by the CIA

An al-Qaeda suspect is to become the first inmate at the Guantanamo Bay camp to stand trial in a US civilian court. Ahmed Ghailani will face charges in a federal court in New York over the 1998 US embassy bombings in East Africa, the justice department announced.
The news comes as the US Senate voted against funding President Obama's plans to close down Guantanamo Bay detention centre and transfer its 240 detainees.
Mr Obama is due to address concerns in a major speech later on Thursday.
He is under pressure from both Democrats and Republicans over his pledge to shut the camp in Cuba by January 2010.
At the same time, former vice-president Dick Cheney is due to give his own address - explaining why President Obama's national security policies are leaving Americans less safe.

Apology
"By prosecuting Ahmed Ghailani in federal court, we will ensure that he finally answers for his alleged role in the bombing of our embassies in Tanzania and Kenya," Attorney General Eric Holder said.

o.gif
start_quote_rb.gif
The American people don't want these men walking the streets of America's neighbourhoods
end_quote_rb.gif


Ghailani, a Tanzanian, was seized in Pakistan in 2004 and was one of 14 so-called "high-value detainee"
 
Wakuu,ni ukweli usiofichika kuwa Rais Kikwete anastahili kupewa credit kwa kuleta mahusiano mazuri na nchi za nje.ikiwemo Marekani. Rais Kikwete aliweza kuconvice jumuia ya Leon Sullivan Foundation kufanyia mkutano Arusha. Sullivan Summits are a bridge between America and Afica and the world serving as a forum for economic and cultural cooperation. Kikwete was able bring Mr Bush to Tanzania na kusaini mkataba wa misaada kupitia Millenium Challenge. . Haya mambo si rahisi. Kwa hiyo kwenda kukutana na Obama ni achievement ktk kuleta mahusiano mazuri na Marekani. Baadhi ya wachangiaji nadhani mnayo chuki na Rais Kikwete. Hata afanye zuri lipi hamlikubali.
 
Mkuu hilo ndo inalo tuchefua wabongo tulio wengi, utadhani alichaguliwa ili akatalii? he doesnt care what is happening back home! sijawahi ona kiongozi wa namna hii!

Ni sawa na baba mlevi anakimbia familia kwa hiyo kila siku anaona bora arudi kishalewa gongo saa nane usiku watoto wamelala
 
Back
Top Bottom