Hivi kwenye kikao cha G20 London,kilichohudhuriwa na Obama, hakukuwa na marais kutoka Afrika Kusini mwa Sahara?Kama walikuwepo,hawakukutana na Obama?Kama walikutana nae,why now tuambiwe JK ndio rais wa kwanza kutoka eneo hilo kukutana na Obama?Labda,ungesema JK anakuwa rais wa kwanza kutoka eneo hilo kukutana na Obama White House.Kwa mujibu ya matangazo ya bbc idhaa ya kiswahili yanayosikika hapa dar es salam,
jk atakutana na obama ikulu ya marekani, ambapo watazungumzia maswala mbalimbali yanayohusu nchi zetu
kikwete anakuwa rais wa kwanza wa afrika kusini mwa jangwa la sahara kukutana na obama
Surely he will...na wanaomdai michango yao kwenye kampeni ya 2005 (read as mafisadi) wanamsubiri arudi ili wapigane pasu kwa pasu from the bakuli.Any reason to be happy with that?Ni nafasi adhimu hiyo pamoja na dhihaka zenu kupata audience na US President sio mchezo, yes atatembeza bakuli na hatotoka mtupu.
Mmekalia majungu tu....
Namtakia kila la heri Rais kikwete maana pale anaenda kukutana na kichwa! Sana sana aangalie namna nzuri ya kutumia fursa hiyo nyeti kuwasaidia maskini tulio mgongoni mwake tunaoishi chini ya nusu dola moja. Hilo likiwa lengo tunamwombea afanikishe malengo yake.
Huo ndio mtazamo wangu wanajamvi. Maisha bora kwa kila mtanzania yanawezekana na yatapatikana.
Surely he will...na wanaomdai michango yao kwenye kampeni ya 2005 (read as mafisadi) wanamsubiri arudi ili wapigane pasu kwa pasu from the bakuli.Any reason to be happy with that?
Safi sana, down to the record books soon!
![]()
Mchambuzi wa Sera wa Kampuni ya Google ya Marekani, Jake Hubert, akielezea mtandao wa kampuni hiyo unavyofanya kazi kwa Rais Juma Kilaza aliyetembelea kampuni hiyo juzi mchana katika eneo la Silicon Valley, San Jose, California
Wabongo tunanufaikaje hapo? SteveD alisema ni sawa unapotembelea kiwanda cha soda unashangaa jamaa machine zinavyofanya kazi https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/29125-kikwete-usa-again-may-2009-a-11.html#post458572 ! Hapa kweli tumeliwa haswa!
Watz jamani yaani kila kitu ni lazima tumlaumu JK?
Tuwe wakweli..kuonana na Obama ni kupandisha chart yetu sisi Watz!
Je hilo pia kuna ubaya????????
Mara nyingi kama utakutana na rais wa Marekani sio ki - Official mwombaji huwa analipa fedha kwa Agent ambaye huandaa makutano kama haya. Je, sisi tumelipa ngapi!..
Mara nyingi kama utakutana na rais wa Marekani sio ki - Official mwombaji huwa analipa fedha kwa Agent ambaye huandaa makutano kama haya. Je, sisi tumelipa ngapi!..
That's the way it is, Kikwete is cruising internationally at the moment, now whether he's a flop at home that is a different matter for a different debate.
But, I would think Obama's choice of Kikwete to visit him at the White House is aimed at launching a plan to help majirani zetu Kenya, kama groundwork ya kumwezesha Obama kuzuru Kenya kabla ya kumalizika 2010. Kumbuka kwake beyond 2010 ni kampeni ya uchaguzi wa USA.
Angalau dola laki moja, hata ikiwa official lazima hiyo hela ilipwe rais wa US ... lazima nchi yenu itoe hela angalau lakini moja mpaka na nusu, na nusu ya hizo zinaenda kwenye chama chake cha siasa zingine ni za agent,
... kwa mfano bongo tukitaka kuomba msaada toka US, huyu agent lazima awe wa kwanza kufahamishwa na atoe input yake kwanza, hawa ma-agent wanaitwa ma-lobbyist