Kikwete to USA (May 2009)

Kikwete to USA (May 2009)

State visit: Tanzania

President Kikwete visits Thursday
By ALEXANDER BURNS | 05/19/09 5:34 PM
The administration announced Tuesday that President Obama will be receiving Tanzanian President Jakaya Kikwete ...

this Thursday, May 21, at the White House.

From the White House statement: "Tanzania is a strong partner in sub-Saharan Africa, and the two leaders will meet to discuss a wide range of regional and bilateral issues, including how the United States can support sound governance, economic development, and stability throughout the continent. President Obama looks forward to working closely with President Kikwete to tackle shared challenges, including the global financial crisis and its impact on sub-Saharan Africa."
 
sasa mliokuwa mnasema kuwa mkulu hatakutana na O 'bummer mko wapi?

kesho lazima nimchek akibwabwaja pale White House...

bwa bwa bwa ....Msiwe mnaleta mambo yenu ya uongo,Bongo siyo kama Kiwanja na hakuna ishu za kuvuja kama huku ambapo unaweza juwa leo ustaadhi analala nyumba ndogo ama la!
 
Kwa mujibu ya matangazo ya bbc idhaa ya kiswahili yanayosikika hapa dar es salam,

jk atakutana na obama ikulu ya marekani, ambapo watazungumzia maswala mbalimbali yanayohusu nchi zetu

kikwete anakuwa rais wa kwanza wa afrika kusini mwa jangwa la sahara kukutana na obama
 
Kuwa rais wa kwanza kukutana na Obama hitatupunguzia vipi umaskini na ufisadi unaondelea nchini?
 
Huyo jamaa ana kimbelembele sana mimi nilidhani ameenda kukutana na Hilary as if hana waziri wa mambo ya nje.Kama ni kweli ya Obama atakuwa ameilazimisha
 
Kwa mujibu ya matangazo ya bbc idhaa ya kiswahili yanayosikika hapa dar es salam,

jk atakutana na obama ikulu ya marekani, ambapo watazungumzia maswala mbalimbali yanayohusu nchi zetu

kikwete anakuwa rais wa kwanza wa afrika kusini mwa jangwa la sahara kukutana na obama

Nani ana-jali? Hakutobadirisha maisha ya kila siku ya mtanzania.
 
Sana sana anaenda kutuaibisha kutembeza bakuli la Matonya, ili hali utajiri wetu madege ya wazungu yako yanabeba kila kukicha! grrrrr
 
Mimi sishangazwi na huyu mtu bingwa wa kuridhika na viachivements vidogovidogo tu. He's simplistic.
 
Mimi kama mpiga kura wake (ambaye nilifanya kosa kubwa sana kumpigia kura) nina hamu sana ya kukutana nae na kumhoji mambo mengi kuhusu anavyoendesha nchi... Mtu gani hata website ya Ikulu hawezi kuendesha kazi kufungua blog kama michuzi halafu anajifanya anatembelea sillicon valley wakati akili zake ni sawa na enzi za steam train
 
I wish Obama would tell Kikwete to do what he's being paid to do, labda atasikia aibu arudi nyumbani atulie. Anyone knows his email address nimshtue? au was the blackberry confiscated?
 
Namtakia kila la heri Rais kikwete maana pale anaenda kukutana na kichwa! Sana sana aangalie namna nzuri ya kutumia fursa hiyo nyeti kuwasaidia maskini tulio mgongoni mwake tunaoishi chini ya nusu dola moja. Hilo likiwa lengo tunamwombea afanikishe malengo yake.
Huo ndio mtazamo wangu wanajamvi. Maisha bora kwa kila mtanzania yanawezekana na yatapatikana.
 
05_09_xh01pn.jpg

Mchambuzi wa Sera wa Kampuni ya Google ya Marekani, Jake Hubert, akielezea mtandao wa kampuni hiyo unavyofanya kazi kwa Rais Juma Kilaza aliyetembelea kampuni hiyo juzi mchana katika eneo la Silicon Valley, San Jose, California

Wabongo tunanufaikaje hapo? SteveD alisema ni sawa unapotembelea kiwanda cha soda unashangaa jamaa machine zinavyofanya kazi https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/29125-kikwete-usa-again-may-2009-a-11.html#post458572 ! Hapa kweli tumeliwa haswa!
 
05_09_xh01pn.jpg

Mchambuzi wa Sera wa Kampuni ya Google ya Marekani, Jake Hubert, akielezea mtandao wa kampuni hiyo unavyofanya kazi kwa Rais Juma Kilaza aliyetembelea kampuni hiyo juzi mchana katika eneo la Silicon Valley, San Jose, California

Wabongo tunanufaikaje hapo? SteveD alisema ni sawa unapotembelea kiwanda cha soda unashangaa jamaa machine zinavyofanya kazi! Hapa kweli tumeliwa haswa!

Acheni kibehi
Mtu huwezi kupata challenge za kufikirika Lazima uone wengine wanafanya nini ili upate uchungu nawe uje u Deploy zaidi.

Kwani unaweza kupata uchungu wa marehemu wakati hakuna aliyefariki.? JK kaona Google nimatumaini yetu atakuja kututatanzia Fibre Optics kutokana na aliyoyaona.

Hata mimi ningekuwa mshauri wa JK mambo ya ufisadi ningemshauri ayaweke kando na aangalie the way foward.
 
Mliopo Washington DC,Rais atakutana na Watanzania briefly kabla ya kumaliza ziara yake...Tafuteni time muulizie Embassy ama kwa Sokoine au Mama Munanka,ni kipindi kizuri cha kumuomba ufafanuzi wa issues za nyumbani...kama kuna chochote kipya tutafahamishana hapa.

Rais atakutana na Rais Obama (White House) kesho saa tano asubuhi (Eastern time) na kutakuwa na Press release kwa vyombo mbali mbali vya habari.
 
Duhhh
 
Bongo itakuwa saa ngapi? Tuone kama CNN international wataithamini? au walau BBCWORLD?
 
Nimemuona leo anaongea na watz walioko LA,

Bla bla tu kuwa amejenga sekondari na wanajenga roads mfano ni baada ya muda hatutakanyaga vumbi from mtwara to kagera.

Hakuna hata point alioongelea nyie mlieko huko? Msione aibu huyo ndo chaguo letu na ni demokrasia iheshimiwe
 
Mtu huwezi kupata challenge za kufikirika Lazima uone wengine wanafanya nini ili upate uchungu nawe uje u Deploy zaidi.

Juma Kilaza hana uwezo wa kufikiria hiyo ni fact!

Hata mimi ningekuwa mshauri wa JK mambo ya ufisadi ningemshauri ayaweke kando na aangalie the way foward.

Mzee uko serious ama umeteleza tu?
 
Back
Top Bottom