Is USA pushing Tanzania to adopt her title IX of education amendment(1972)??

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
32,631
2,000
Why is USA trying to intimidate Tanzania sovereignity by imposing laws suitable for USA to be adopted in Tanzania?

Is this acceptable in the eyes of international community?
Every Nation is free to make her own laws and regulations according to the natural existing circumstances.

Tanzania under President Magufuli is dealing severely with those criminals who are impregnating young kids...this means Tanzania has decided to deal with the route couse of school drop outs and not the outcome.

This approach is the best available and workable according to the best available evidence.

We can and we should never adopt to very light laws and approaches on dealing with teenage pregnancies.

International communities and local vibaraka should be informed and accept this crucial fact.

MAMBO SABA NYUMA YA VIKWAZO MAREKANI DHIDI YA TANZANIA.

Na. Scholastica Mazula

Marekani kupitia Waziri wake mambo ya nje Bw. Pompeo imetangaza rasmi vikwazo dhidi ya Tanzania , uamuzi ambao umeungwa mkono na Bunge la Senate la Marekani na kueleza kuwa huu uwe mwanzo tu kuhakikisha demokrasia na haki za binadamu ikiwemo kulinda haki za makundi maalumu ( hasa mashoga) zinaheshimiwa!

Tamko hili limezua taharuki kubwa na kuleta tafsiri mbalimbali huku wengi wakihusisha maamuzi haya ya Marekani na utetezi wa haki za binadamu. Labda nikwasababu naomba nami niseme mambo matano(5) nyuma ya pazia la mgogoro huu;

#.Kwanza; Marekani haijawahi kupigania demokrasia wala haki za binadamu bali maslahi yake. Ndio sababu huwezi kuiona Rwanda wala Uganda kwenye vikwazo. Ndio sababu marekani analalamikia Irani yenye mfumo wa vyama vingi kuwa hakuna demokrasiea lakin humsikii kuhusu Saud Arabia inayongozwa kwa mkono wa kifalme.

# Pili, Marekani inasumbuliwa na uamuzi wa CCM mpya chini ya JPM kuamua kufumua mikataba ya madini, gesi na nishati. Mfano ni mkataba wa kufua umeme Symbion( ulioasisiwa na Richmond& Dowans) ambao ulikuwa mkataba wa wizi kuliko IPTL.

#Tatu, niwakumbushe kwamba wakati sote tulijua ufisadi wa mkataba wa Richmond/ Dowans, nimitambo hiyo ambayo baadae kampuni ya Marekani Symbion iliuziwa na kuingia mkataba wa kifisadi zaidi hata ya Richmond/ Dowans& IPTL..Siku ya kusaini mkataba huu wa hovyo, Balozi wa Marekani alituma salamu za kupongeza.

#Nne, Katika kile kinachothibitisha Serikali ya Marekani ipo kupora zaidi, aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Bi. Hillary Clinton alitembelea mitambo hiyo anayohusishwa nayo kuibariki zaidi. Na zaidi Obama alipokuja Afrika, alitumia mitambo hiyo yenye historia chafu ya ufisadi kuzindua mpango mkubwa wa Marekani uliojulikana kama Power Africa

#Tano; Niwazi kwamba uamuzi wa JPM kufumua na kusuka upya mikataba umeumiza pakubwa vigogo waliokua sehemu ya wanufaika wa mfumo wa serikali ulioruhusu upofaji kwa makampuni hayo kupora na kuwapoza kwa makombo..hivyo viongozi hao wa Serikali walionufaika ambao sasa ni wahanga wameungana na Serikali ya Marekani ama waziwazi au kwa siri ( marriage of convinience)

#Sita; dunia inajua kwamba Bank ya dunia ni ya Marekani, ipo kwa maslahi ya Marekani. IMF ni mali ya Ulaya kwa maslahi yao. Hivyo uamuzi wa Bank ya dunia na IMF kuanza mahusiano mabovu msingi wake ni ulele kwamba kampuni zao hazipati tena zilichopata kabla ya JPM

#Saba; Nirudie kusisitiza kwamba Marekani haina kiu na serikali ya kidemokrasia popote ina kiu ya kuturudisha kwenye serikali iliyosheheni uporaji kwa kisingizio cha democracy na haki za binadamu.Marekani haiwezi kuridhika na mapitio ya mikataba ya madini Barrick iliyolazimisha fomula ya kugawana faida 50/50.walikubali shinto upande wakiwa na Plan-B, ambayo ndio haya tunayoshuhudia! Uamuzi ni wetu watanzania. Kusimama na Marekani au Taifa lako..
 
Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,077
2,000
Ayatollah Khommeine aliwaita Marekani Great Satan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jabulani

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
4,513
2,000
Acha kutafuta visababu mtoeni nyoka bashite anaua watu , CIA wana taarifa anataka kuua hata watanzania walioko Marekani.
Mtoeni akipanda madaraka atakuja kuwaueni hata nyie mnaomtetea sasa.
 
ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
2,433
2,000
Kama hizo ndo akili za waTanzania bora Makonda azidi kuwaua tu huko ccm...yaani mtu ajui ata mambo mangapi aliyataja kuyazungumzia na kayazungumzia mangapi.

Mnashusha sana uwezo wa waTanzania kufikiri.
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
2,363
2,000
jingalao nakuunga mkono! USA hajawahi kujali haki za binadamu wala demokrasia katika ulimwengu huu.

1) Bunge la Iraq lilipitisha azimimio tena kwa kura kuwa Marekani aondoe wanajeshi wake katika ardhi yao, lakini tusikia majibu ya Mike na bos wake Trump kwa kauli zao tu huku wakiiweka demokrasia mfuko wa shati.

2) Mwendesha mashtaka aliwahi kusema ataichunguza Marekani juu visa vifulani vya mauaji na hapa karbuni aliitaja pia Israel lakini tuliona mtetezi wa haki za binadamu alivyotia mkwara kuwa visa yake itazuiliwa yakuingia USA na asije kujaribu kumchunguza mtetezi huyo ata siku moja.

Niseme tu USA nje ni kondoo ila ndani chui, anapenda sana watu kama Zitto.
 
jabulani

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
4,513
2,000
Watueleze na wao kifo cha Qasem Suleiman
Walishasema alipanga kuua wamarekani.

But anyone contemplating any action that would endanger our troops should know this: America protects its own. Anyone, anyone, who takes on our troops will suffer the consequences. We will fight fire with fire and then some.
- Bill Clinton 1995.
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
3,458
2,000
Tanzania was asked "HUMBLY" to amend its law concerning "PREGNANT GIRLS" to continue their studies, in return our leaders "REPLIED" the request with "SARCASM" (Yaani mtoto wa kike asome halafu katikati ya kipindi aombe akanyonyeshe mtoto? Haiwezekani!!!).

What were our leaders expecting? Havent they learned from "WOLRD TOUGH DICTATORS" the leasons?

Lets not cry like little childrens now, and expect the world to be "SORRY" for us. We should have seen it comming.

Tuache kujilizaliza, sisi si "DONA KANTRI"?, na tuliombwa kistaarabu turuhusu watoto wa kike wenye ujauzito/mimba waendelee na masomo ila tukatoa maneno ya jeuri na kejeli. Tukaambiwa tuwafutie "KESI ZA KISIASA" wanasiasa na wanahabari ila tukajifanya vichaa.

Acha tuongee lugha moja sasa mamaqe.
 
kwa kumban Makonda ndio tubadili msimamo?
kuna vichekesho sana duniani.
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
32,631
2,000
Kama hizo ndo akili za waTanzania bora Makonda azidi kuwaua tu huko ccm...yaani mtu ajui ata mambo mangapi aliyataja kuyazungumzia na kayazungumzia mangapi.

Mnashusha sana uwezo wa waTanzania kufikiri.
Uwezo wa watanzania kufikiri ni asilimia ngapi
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
32,631
2,000
Wewe jingalao naona unapata shida sana na propaganda zako.
Kwa nini CCM ya sasa hamuwezi kupinga hoja kwa hoja,bali viroja,risasi,kesi na matusi!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
areafiftyone

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
8,173
2,000
Acha kutafuta visababu mtoeni nyoka bashite anaua watu , CIA wana taarifa anataka kuua hata watanzania walioko Marekani.
Mtoeni akipanda madaraka atakuja kuwaueni hata nyie mnaomtetea sasa.
Mkuu,aidha umejaa makamasi kichwani au unatumiwa.Mbona Saudi Arabia wamemuua Kashoggi gruesomely by chopping off his body parts na wengine wengi in cold blood na hawajawekewa vikwazo.Mbona Bahrain wanatesa watu na kuua na hawawekewi vikwazo.Pompeo amekiri kwamba wanaua na kudanganya na bado anahubiri human rights,zipi anazozijua na Marekani inazozijua.Wameua na wanauaJapan, Afghanistan,Syria,Libya,Yemen nk.nk.The blood of more than 20m people is in their hands,halafu eti leo wanamuwekea vikwazo Makonda,hawana moral authority hiyo.

Muandishi yuko sahihi,wanachokisema Marekani kama sababu za kuiwekea vikwazo Tanzania sio,sababu ni economic, na aliyosema mwandishi ni sahihi kabisa.Marekani hawajali utu,wala democracy,they are driven by the love of money,kwa hiyo ukishawazuia kupora resources zako you are their enemy.I new however that under Magufuli,one day it would amount to this.

The fact is,we are now enemies of America,the great Satan.Je tutakuwa na msimamo kama wa Iran au tutakubaliana na matakwa ya Marekani,the Great Satan turuhusu ushoga,watoto waendeleze ufuska mashuleni na rasilimali zetu ziporwe,that is turudi kwenye enzi za Mkapa na Kikwete?The ball is on our feet.
 
jabulani

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
4,513
2,000
The fact is,we are now enemies of America,the great Satan.
Mkuu tafakari upya ulichoandika, wanasiasa wasikupofushe macho ukaimba usichokijua. Watanzania sio maadui wa America bali wanasiasa waandamizi wa ccm walionyimwa hela ya dili toka America , na kupigwa ban kwenda America.
 
Freddie Matuja

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
991
1,000
Why is USA trying to intimidate Tanzania sovereignity by imposing laws suitable for USA to be adopted in Tanzania?
Is this acceptable in the eyes of international community?
Every Nation is free to make her own laws and regulations according to the natural existing circumstances.
Tanzania under President Magufuli is dealing severely with those criminals who are impregnating young kids...this means Tanzania has decided to deal with the route couse of school drop outs and not the outcome.
This approach is the best available and workable according to the best available evidence.
We can and we should never adopt to very light laws and approaches on dealing with teenage pregnancies.
International communities and local vibaraka should be informed and accept this crucial fact.

MAMBO SABA NYUMA YA VIKWAZO MAREKANI DHIDI YA TANZANIA.

Na. Scholastica Mazula

Marekani kupitia Waziri wake mambo ya nje Bw. Pompeo imetangaza rasmi vikwazo dhidi ya Tanzania , uamuzi ambao umeungwa mkono na Bunge la Senate la Marekani na kueleza kuwa huu uwe mwanzo tu kuhakikisha demokrasia na haki za binadamu ikiwemo kulinda haki za makundi maalumu ( hasa mashoga) zinaheshimiwa!

Tamko hili limezua taharuki kubwa na kuleta tafsiri mbalimbali huku wengi wakihusisha maamuzi haya ya Marekani na utetezi wa haki za binadamu. Labda nikwasababu naomba nami niseme mambo matano(5) nyuma ya pazia la mgogoro huu;

#.Kwanza; Marekani haijawahi kupigania demokrasia wala haki za binadamu bali maslahi yake. Ndio sababu huwezi kuiona Rwanda wala Uganda kwenye vikwazo. Ndio sababu marekani analalamikia Irani yenye mfumo wa vyama vingi kuwa hakuna demokrasiea lakin humsikii kuhusu Saud Arabia inayongozwa kwa mkono wa kifalme.

# Pili, Marekani inasumbuliwa na uamuzi wa CCM mpya chini ya JPM kuamua kufumua mikataba ya madini, gesi na nishati. Mfano ni mkataba wa kufua umeme Symbion( ulioasisiwa na Richmond& Dowans) ambao ulikuwa mkataba wa wizi kuliko IPTL.

#Tatu, niwakumbushe kwamba wakati sote tulijua ufisadi wa mkataba wa Richmond/ Dowans, nimitambo hiyo ambayo baadae kampuni ya Marekani Symbion iliuziwa na kuingia mkataba wa kifisadi zaidi hata ya Richmond/ Dowans& IPTL..Siku ya kusaini mkataba huu wa hovyo, Balozi wa Marekani alituma salamu za kupongeza.

#Nne, Katika kile kinachothibitisha Serikali ya Marekani ipo kupora zaidi, aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Bi. Hillary Clinton alitembelea mitambo hiyo anayohusishwa nayo kuibariki zaidi. Na zaidi Obama alipokuja Afrika, alitumia mitambo hiyo yenye historia chafu ya ufisadi kuzindua mpango mkubwa wa Marekani uliojulikana kama Power Africa

#Tano; Niwazi kwamba uamuzi wa JPM kufumua na kusuka upya mikataba umeumiza pakubwa vigogo waliokua sehemu ya wanufaika wa mfumo wa serikali ulioruhusu upofaji kwa makampuni hayo kupora na kuwapoza kwa makombo..hivyo viongozi hao wa Serikali walionufaika ambao sasa ni wahanga wameungana na Serikali ya Marekani ama waziwazi au kwa siri ( marriage of convinience)

#Sita; dunia inajua kwamba Bank ya dunia ni ya Marekani, ipo kwa maslahi ya Marekani. IMF ni mali ya Ulaya kwa maslahi yao. Hivyo uamuzi wa Bank ya dunia na IMF kuanza mahusiano mabovu msingi wake ni ulele kwamba kampuni zao hazipati tena zilichopata kabla ya JPM

#Saba; Nirudie kusisitiza kwamba Marekani haina kiu na serikali ya kidemokrasia popote ina kiu ya kuturudisha kwenye serikali iliyosheheni uporaji kwa kisingizio cha democracy na haki za binadamu.Marekani haiwezi kuridhika na mapitio ya mikataba ya madini Barrick iliyolazimisha fomula ya kugawana faida 50/50.walikubali shinto upande wakiwa na Plan-B, ambayo ndio haya tunayoshuhudia! Uamuzi ni wetu watanzania. Kusimama na Marekani au Taifa lako..
Mtoa mada umekuwa very very objective.
Kwa anaepata nafasi, soma kitabu cha the Confession of an Economic Hit Man, utapata picha Marekani si muumini wa haki za binadamu.
Maana hata kule kwao watu wanauana wao kwa wao kwa bunduki, na sheria ya kuratubu namna ya kumiliki bastola na bunduki imeshindwa kupitishwa kwa maslahi ya wauza silaa.

Marekani itoe boriti kwenye jicho lake kabla ya kutoa kibanzi kwenye kibanzi cha Tanzania.

Kuna wakati huko Pakistani Gen. Pervez Musharaf alimpindua Nawaz Sharif aliekuwa waziri mkuu. Marekani akamwekea vikwazo vya kiuchumi. Wakati US inataka kutumia ardhi ya Pakistani kwenye kumsaka Osama bin Laden; over a sudden Marekani ikabadili gia angani na kufuta vikwazo kwa kuwa ilihitaji ardhi ya Pakistani kama base ya kumsaka Osama.

Marekani sio benchmark hata kidogo kwenye suala la kutujuza nani anakiuka haki za binadamu.

Kama wako fair, taarifa ya Director wa CIA Gina Haspel ilithibitisha mwana wa mfalme wa SAUDIA Mohamad Bin Salaman alihusika na mauaji ya muandishi wa habari Jamal Khashoggi kwenye Ubalozi wa Saudia huko Uturuki. Mwana wa mfalme hajawahi kuwekewa vikwazo.

Pompeo na Senate ya Marekani sio truly defenders wa haki za binadamu.Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom