MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,856
- 5,561
RAIS aliposema ni kweli kwamba ALISHIRIKI kila hatua ya maamuzi ya Richmond. Na kwamba waliolikoroga ni jopo la makatibu wakuu walio teua kampuni wasio na uhakika nayo. Kasema Yeye hakujua hiyo kampuni Wala waziri wake mkuu. Makatibu ndio walio likoroga. Sentensi hizi zinaufunga leo na forever mjadala Huu wa kuchafuana.
NDIO maana Edo alisema Mwenye ushahidi aende mahakamani na hakuna Mwenye ushahidi hadi sekunde hii.
EDO IS SO CLEAN. sometime hadi machozi yanantoka, EDO katukanywa, kanyanyaswa, kavumilia yote .. this is pure Tanzanian President.
Kuna mimbwambwa huku mitandaoni haijui A Wala Z ya Richmond, imemezeshwa CD za kumtukana EDO, Sasa na Diama waufyate, Raisi keshafunga mjadala wa Richmond, EDO HAHUSIKI..
Sidhani ka amesema alishiriki kuileta Richmond!! Acha kupotosha uma kwa manufaa yako binafsi ya kutafuta kiki