Proud Patriot
JF-Expert Member
- Oct 13, 2010
- 224
- 11
Mkuu ,Nyerere alikufa bado akiitwa MWALIMu
mwambie mropokaji huyo, eti DOKTA NYERERE, Amesikia wapi hiyo! Ashirikishe ubongo bwana,
Mkuu ,Nyerere alikufa bado akiitwa MWALIMu
Well said mkuu"Once upon time, Tanzania had a Prezo who had 10 Doctorate degrees " ........ the history making.
Congratulation to the Prezo handlers who are fooling themself and their master, the history will never honour a president who did not work for his people.
Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi,Muhimbili Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi akimtunukia Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete Digrii ya Heshima ya Udaktari wa Afya ya Jamii(Doctor of Public Health,Honoris Causa) wakati wa mahafali ya nne ya Chuo hicho iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kushoto akiangalia ni Makamu Mkuu wa Chuo Profesa Kisali Pallangyo.
Baadhi ya wahitimu wa digrii ya Udaktari wa Afya ya Meno(Doctor of Dental Surgery) wakila kiapo cha uaminifu na utii wa miiko ya udaktari wakati wa Mahafali ya nne ya Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi,Muhimbili iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo mchana(picha na Freddy Maro)
Wakuu leo katika mahafali ya nne ya chuo kikuu cha afya muhimbili, mkuu wa nchi atatunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa afya ya jamii ya chuo kikuu cha afya muhimbili.
habari kutoka ndani kabisa zinasema mkuu kailazimishia sana kupewa hiyo shahada.
nachojiuliza mimi kwanini ulazimishe kupwa shahada? mi nadhani unatakiwa uzawadiwe kutokana na yale uliyoyafanya
una uhakika hebu angalia anayemtunuku, Mwinyi walewale watu wa propaganda wenyewe...Bahati nzuri hajawahi kuomba atunukiwe hizo hon. PhDs.
Nafikiri ni muda mwafaka na mama yetu mpendwa Mama salma naye apate PHD ya heshima kwa kazi kubwa aliyowafanyia Watanzania na kwa uvumilivu usiokuwa na kifani. Pia Mama yetu mpendwa anaweza kupata kwa sababu ndiye First lady ambaye amedhihirisha kwa vitendo kuwa Mwanamke ukimpa fursa anaweza! amemkampenia mumewe kwa Nguvu kubwa, ari kubwa na nini sijui!!