Kikwete Kutunikiwa PHD nyingine leo?

RayB

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
2,752
193
Ni kwa taarifa tu natambua kuwa leo MUHAS wanafanya mahafali yao ya nne na JK akiwa mgeni rasmi. I will not be surprised if they will 'offer' him another the so called 'honourable doctorate' lakini najaribu kuangalia napata taabu kwa Muhumbili ni kwa nyanja ipi labda afya ya jamii (Public Health) kwa campaign zake dhidi ya malaria na ukimwi.

Assumption hizi zinatokana na ukweli sasa kuwa kila chuo kinatamani tu kimtundike udaktari.

mahafali%202010.pdf
 
samora10

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
7,600
4,785
Wakuu leo katika mahafali ya nne ya chuo kikuu cha afya muhimbili, mkuu wa nchi atatunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa afya ya jamii ya chuo kikuu cha afya muhimbili.

habari kutoka ndani kabisa zinasema mkuu kailazimishia sana kupewa hiyo shahada.
nachojiuliza mimi kwanini ulazimishe kupwa shahada? mi nadhani unatakiwa uzawadiwe kutokana na yale uliyoyafanya
 
Attachments

  • mahafali 2010.pdf
    290.8 KB · Views: 117

MWANALUGALI

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
601
34
"Once upon time, Tanzania had a Prezo who had 10 Doctorate degrees " ........ the history making.
Congratulation to the Prezo handlers who are fooling themself and their master, the history will never honour a president who did not work for his people.
 
Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,477
1,693
mbona udokta wa nyerere haupingwi, unapingwa huu tu...tuache hizo..tutakufa nacho ...kijiba cha roho
 
MWANALUGALI

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
601
34
Nafikiri ni muda mwafaka na mama yetu mpendwa Mama salma naye apate PHD ya heshima kwa kazi kubwa aliyowafanyia Watanzania na kwa uvumilivu usiokuwa na kifani. Pia Mama yetu mpendwa anaweza kupata kwa sababu ndiye First lady ambaye amedhihirisha kwa vitendo kuwa Mwanamke ukimpa fursa anaweza! amemkampenia mumewe kwa Nguvu kubwa, ari kubwa na nini sijui!!
 
NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,668
362
Hongera JK!!!

Am planning to prepare and ride my bicycle to your White House bringing you a Honorary Doctorate in Fame by Force
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,519
6,084
hivi anashindwa nini kuingia darasani akapewa U Dr kama wa Magufuli??? wampe na udokta wa kusakata kiduku
 
NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,668
362
mbona udokta wa nyerere haupingwi, unapingwa huu tu...tuache hizo..tutakufa nacho ...kijiba cha roho

Nyerere ali-force???? Je mchango wa Nyerere haukuwa wazi kiasi cha kila mtu ndani na nje ya nchi kuukubali??

Kinachohojiwa hapa ni mlolongo wa Doctorate zisizoelezeka wala kuwa na base yoyote na wala sio idadi gani au nani kapewa. Kuna mahali inafika mtu anapewa na kila mtu anaona, Yes, that man deserved it

Personally bila itikadi wala chochote history iko wazi, Nyerere deserved and more.
 
Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,774
3,226
Huyu Prof Lyamuya alisota sana alipokuwa anachukua degree yake ya pili alikuwa ana specialize obstretrics and gynecology aka shindana na Prof Kaisi wakamdisco baadaye akajiunga na microbiology akapita anafundisha wanafunzi pale mtu aliyesota namna hiyo anakuwa kati ya makurumbembe wa kujipendekeza kutoa degree ya bure kwa Jakaya wakati wanafunzi hapo muhimbili wanalala kumi kumi kwenye vyumba hospitali yenyewe ya muhimbili wanakofundishia wanafunzi wao kwa vitendo hawana vifaa kabisa afya ya jamii imeshuka kabisa ndio maana Tanzania ni nchi tunaongoza kwa magonjwa kama yaa TB,Malaria,UKIMWI,upungufu wa damu kwa wanawake na watoto,surua na magonjwa ya kuhara kikiwemo kipindupindu ,hawa wasomi wetu wamekamatika hawawezi hata kufurukuta pole zao kugeuka wanasiasa
 
NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,668
362
hivi anashindwa nini kuingia darasani akapewa U Dr kama wa Magufuli??? wampe na udokta wa kusakata kiduku

Mjomba susluba ya PhD ya darsani si mchezo. Lazima kibwebwe kifungwe. Alafu ukipiga mahesabu ya msoto na hekaheka za ma-prof wa vyuo vyetu wakati unasaka PhD then mtu anakunyitia tu Mi-PhD ya lazima, inaumiza mjomba

Kilaza na darasa ni kideri na kuku
 
MWANALUGALI

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
601
34
mbona udokta wa nyerere haupingwi, unapingwa huu tu...tuache hizo..tutakufa nacho ...kijiba cha roho

udokta wa Nyerere haukuvumishwa kama wa huyu jamaa!!! Nyerere aliendelea kuwa mwalimu hadi mauti yalipomfika! Mkapa aliendelea kuwa Benjamin william Mkapa hadi leo, tena yeye alikataa hata ule Utukufu aliokuwa amejipachika mtangulizi wake!! Hivi angeliendelea kuitwa Luteni Kanali Jakaya Kikwete ( cheo alichosomea) kungelikuwa na tatizo gani?
 
samora10

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
7,600
4,785
mbona udokta wa nyerere haupingwi, unapingwa huu tu...tuache hizo..tutakufa nacho ...kijiba cha roho

Wa nyerere haupingwi kwa sababu alipewa na hakuna anayebisha kua alistahili kupewa( na mwalimu hakupenda kuitwa Dr)... sasa tatizo huyu mwingine analazimishia kupewa why?
 
Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
5,955
2,012
Huyu Prof Lyamuya alisota sana alipokuwa anachukua degree yake ya pili alikuwa ana specialize obstretrics and gynecology aka shindana na Prof Kaisi wakamdisco baadaye akajiunga na microbiology akapita anafundisha wanafunzi pale mtu aliyesota namna hiyo anakuwa kati ya makurumbembe wa kujipendekeza kutoa degree ya bure kwa Jakaya wakati wanafunzi hapo muhimbili wanalala kumi kumi kwenye vyumba hospitali yenyewe ya muhimbili wanakofundishia wanafunzi wao kwa vitendo hawana vifaa kabisa afya ya jamii imeshuka kabisa ndio maana Tanzania ni nchi tunaongoza kwa magonjwa kama yaa TB,Malaria,UKIMWI,upungufu wa damu kwa wanawake na watoto,surua na magonjwa ya kuhara kikiwemo kipindupindu ,hawa wasomi wetu wamekamatika hawawezi hata kufurukuta pole zao kugeuka wanasiasa

nadhani mkuu wa skuli ya public health(pubis medicine) sio Lyamuya asingeweza kumpa kamwe! Inawezekana kafanya ka course cha wiki 2 hivi na hivyo wakaamua kumchomekea hiyo PHD ya heshima.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom